Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

Tafiti gani ya kijinga hii?? Kwani nilazima kila mwanachama wa Chadema wachange?? Kwani wncama wote wanauwezo wa kifedha?? Hii ni propaganda ya kitoto sana rudi tena wakuandikie tena
 
Unachokifanya ni kumpigia promo lisu!
 
Mmeumbuka ile mbaya na ma uongo yenu ya kupika matakiwmu ya kizushi na kitapeli.
Ukitaka kujua kubwa wapinzani ni wengi kuliko chama cha kijani uone jinsi inavyokuwa ngumu kuunda tume huru ya uchaguzi, ninaamini kuwa kama mngekuwa na uhakika wapinzani ni wachache kiasi hicho mngeunda tume huru ya UCHAGUZI. Hamfanyi hivyo kwa kuwa mnajua kwa dhati ya moyo kukiwa na tume huru hamtoboi. Jaribuni Muone
 

Hoja yangu imewakaba koo na kuwanyima pumzi.ndio maana unaona wanatukana matusi tu kama wamechanganyikiwa vile.maana hawana majibu.wamepigwa na nyundo nzito sana kichwani mwao mpa akili zimewaruka.
Kwan walioingia kanisani wote wanatoa sadaka?
 
Napata raha sana nikiona comments zako. Moyo Wangu unachanua kwa furaha utafikiri maua ya bustani ya kitalii.
Hii nguvu unayotumia hapa kwa jambo la hiyari na lisilokuhusu, ungeitumia kuhoji kilipo kile kivuko kilichopelekwa Mombasa kwa matengenezo na kulipiwa 7b+ zaidi ya mwaka sasa.
 
Kwani uvmchangiaji umeisha? Mbona una washwa sana mleta mada?!
 
Viongozi kama lisuu wanapaswa kukemewa na kupingwa pamoja na kukataliwa na watanzania wote. Ni lazima tupeleke ujumbe mzito kwa watu kama Lissu kuwa tunahitaji siasa lakini siyo siasa za kutugawa na kutengeneza nyufa na mipasuko kwa Taifa letu.
Tutoke kwa wapinzani turudi serikalini pamoja na ndani ya chama tawala!!!! Hivi unafikili Lucas serikali ya sasa (iliyoko madarakani) inafuata misingi ya demokrasia na utawala bora??? Thibitisha. Ikiwa haifanyi hivyo utawahukumu vipi wapimzani wakat role model wao ni serikali na chama tawala????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…