Tazama vibe la Lissu wakati akitoka Mahakama ya Kisutu, leo Agosti 18, 2025

Tazama vibe la Lissu wakati akitoka Mahakama ya Kisutu, leo Agosti 18, 2025

Hobgera zake kwa kuchangamka kinafiki mdomoni anacheka rohoni anaumia sana

Unafiki ni kutokuwa consistent mdomoni na rohoni

Lisu mnafiki
Nasikia kuna maombi maalum ukimchukia Lisu unakufa na auendi mbinguni.

Wanasema aliyemsukuma Lisu tayari kakufa na mpaka sasa yupo nje ya geti la mbinguni.😅😂

haaa,,makamanda wanatafuta pakushika asee🤣
 
Lissu is born a winner...ni ujinga kumbambukizia kesi hii ya ujinga ati unafikiri unamkomoa. Umenoa ndugu.
Tafuta mtu yoyote Duniani anayeishi leo aliyepigwa risasi 16 zikaingia mwilini kwake na still ana survive na mzima wa afya.
 
Kwisha habari yake.
atavuna alicho kipanda, alidhani eti yuko juu ya sheria.
 

20250712_193436.jpg
 
Back
Top Bottom