Tazama vibe la Lissu wakati akitoka Mahakama ya Kisutu, leo Agosti 18, 2025

Hobgera zake kwa kuchangamka kinafiki mdomoni anacheka rohoni anaumia sana

Unafiki ni kutokuwa consistent mdomoni na rohoni

Lisu mnafiki
Kwa unafiki huyo Samia mja wa laana.
 
Hahaaha anafuraha ya kufake tu moyo umejaa damu anailazimisha furaha

USSR
Hata ningekua mimi ni ccm, hii ingeniuma yani pamoja na wanavyomtesa lakini simba anatabasamu tuu! Itawachoma sana rohoni walidhani Lissu ni babu seya! Una muundia zengwe la kipumbavu ili aumie yeye anakuonyesha tabasamu!😁😁😁😁🙌🙌🙌
 
Hobgera zake kwa kuchangamka kinafiki mdomoni anacheka rohoni anaumia sana

Unafiki ni kutokuwa consistent mdomoni na rohoni

Lisu mnafiki
BreakingNews# :
Tundu Lissu kaipiga mahakama na Jamhuri TKO ya hatari:

1. Ataja mashahidi wa upande wake kuwa ni:
Bi Samia Suluhu Hassan (Rais wa JMT), Isidory Mpango (VP - JMT) na Kassimu Majaliwa (Waziri Mkuu - JMT) wapewe summons kuja mahakamani kuja kueleza namna walivyotishiwa

2. Hakimu Franco Kiswaga, kaogopa kuingia kwenye mtego huo. Akamwambia mshitakiwa, hao ataenda kuwaomba huko akiwa mahakama kuu, yeye hawezi kuandika chochote kuhusu mashahidi hao kwenye hatua hii ya commital ktk mahakama hii ya chini..

3. Kwa kifupi ni kuwa, hawakutegemea kupigwa TKO ya namna ile. Na kwa hiyo tunaweza kusema bila shaka yoyote kuwa, h
akimu Franco Kiswaga ameamua kuchanja mbuga, huku Mawakili wa serikali wakiwa hawana cha kusema. Sasa ni lazima watakuwa wamejipanga kwenda kujazwa mengine na Mafwele na Jumanne Muliro..

4. Jeuri yao kwishwa habari. Ukilaza wao wawekwa adharani na Tundu Lissu 🙌

Shotocan unadhani mpaka hapo unaiona hii kesi ikielekea wapi?
 
Hata ningekua mimi ni ccm, hii ingeniuma yani pamoja na wanavyomtesa lakini simba anatabasamu tuu! Itawachoma sana rohoni walidhani Lissu ni babu seya! Una muundia zengwe la kipumbavu ili aumie yeye anakuonyesha tabasamu!😁😁😁😁🙌🙌🙌
akibaki pekeyake anajuta, sikuhizi anaongea kwa adabu
 
Mliokuwepo ndani ya mahakama nasikia mwamba kasema uanaharakati alianza mwaka 1985 job mrema na katuga walikuwa darasa langapi
 
BreakingNews# :
Tundu Lissu kaipiga mahakama na Jamhuri TKO ya hatari:

1. Ataja mashahidi wa upande wake kuwa ni:
Bi Samia Suluhu Hassan (Rais wa JMT), Isidory Mpango (VP - JMT) na Kassimu Majaliwa (Waziri Mkuu - JMT) wapewe summons kuja mahakamani kuja kueleza namna walivyotishiwa

2. Hakimu Franco Kiswaga, kaogopa kuingia kwenye mtego huo. Akamwambia mshitakiwa, hao ataenda kuwaomba huko akiwa mahakama kuu, yeye hawezi kuandika chochote kuhusu mashahidi hao kwenye hatua hii ya commital ktk mahakama hii ya chini..

3. Kwa kifupi ni kuwa, hawakutegemea kupigwa TKO ya namna ile. Na kwa hiyo tunaweza kusema bila shaka yoyote kuwa, h
akimu Franco Kiswaga ameamua kuchanja mbuga, huku Mawakili wa serikali wakiwa hawana cha kusema. Sasa ni lazima watakuwa wamejipanga kwenda kujazwa mengine na Mafwele na Jumanne Muliro..

4. Jeuri yao kwishwa habari. Ukilaza wao wawekwa adharani na Tundu Lissu 🙌

Shotocan unadhani mpaka hapo unaiona hii kesi ikielekea wapi?
hao ndo mashahidi wa siri wenyewe
 
Lissu is born a winner...ni ujinga kumbambukizia kesi hii ya ujinga ati unafikiri unamkomoa. Umenoa ndugu.
Tafuta mtu yoyote Duniani anayeishi leo aliyepigwa risasi 16 zikaingia mwilini kwake na still ana survive na mzima wa afya.
Yuko peke yake dunia muzima.
 
Unafikiri waliomnyonga wataishi milele ? Kweli wewe kinyaaa kama unafikiri ukifanya maovu unakuwa shujaaaa
hizo porojo nyingine hazina maana gentleman, ni vizuri kuaziacha mahakama zifanye kazi zake kwa uhuru :NoGodNo:
 
Hahaaha anafuraha ya kufake tu moyo umejaa damu anailazimisha furaha

USSR
Yaani naona chama la majizi lengo lenu halijatimia mnapata hasira vibaya. Mlitegemea Lisu akiletwa mahakamani awe amenywea ili mfurahi uoga m aopandikiza unazidi kupata nguvu. Lakini mnachokiona kutoka kwake ni fedheha kwenu, na huo ushahidi wa jamuhuri wa kitoto ndio aibu mazima.
 
Back
Top Bottom