Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Na anazidi kunenepa.....analazimisha kujaza mwili....hahahaHahaaha anafuraha ya kufake tu moyo umejaa damu anailazimisha furaha
USSR
Na anazidi kunenepa.....analazimisha kujaza mwili....hahahaHahaaha anafuraha ya kufake tu moyo umejaa damu anailazimisha furaha
USSR
Kumbuka mwezio katolewa risasi 16 na moja ipo mwilini sasa huyu unaweza kusema ni mnafiki? Wewe hata hauna Mbigiri ya takoni.Hahaaha anafuraha ya kufake tu moyo umejaa damu anailazimisha furaha
USSR
CCM na akili zenu za kujipendekeza kwa SingaSinga.Na anazidi kunenepa.....analazimisha kujaza mwili....hahaha
Kwani Lisu aliwahi kufa?😂
Hata Lazaro baada ya kufufuliwa na Yesu hakuwa na Hofu na mambo ya dunia tena
Wanadai alichungulia kaburiKwani Lisu aliwahi kufa?
Huoni bado amenawiri? Furaha ya ku fake angekuwa kama walivyo kuwa kina seth na rugemalila ,lissu hana hofu yeyoteHahaaha anafuraha ya kufake tu moyo umejaa damu anailazimisha furaha
USSR
Shida yako ni chadema na Lisu na siyo vinginevyo. Mbona kwenye majukwa ya siasa wengine ni zaidi ya Lisu au masikio yako yanakuwa yameziba?uropokaji unaokiuka sheria lazima ukomeshwe kwa mujibu wa sheria ili iwe fundisho kwa waropokaji wengine chadema masalia 🐒
Kweli furaha ya kweli ni muhimu sana. Ruge ni bilionea lakini alinyauka.Huoni bado amenawiri? Furaha ya ku fake angekuwa kama walivyo kuwa kina seth na rugemalila ,lissu hana hofu yeyote
Nikikumbuka Sabaya, Habinda Seth, Mo, Manji ndio namvulia Kofia LissuHuoni bado amenawiri? Furaha ya ku fake angekuwa kama walivyo kuwa kina seth na rugemalila ,lissu hana hofu yeyote
Wakili wenu mkuu katuga tushajua namna kapata elimu yake(sikwa kufunga huko). job mrema tayari chuo first digri kutoka chuo Cha ruco iringa sasa rucu na ya pili palepale(masters) naeleke kutafuta shule advance ,,,,,,, olevo ninayo tayari kweli ndo hao mkaona ndowapo nguli ofisninkwenu washindane TUNdu lisu ......sijui Leo Dunia pangekuwa mubashara mngetia aibu na penyewe mama yenu hana hata cheti kidato Cha nne mana alifeliuropokaji unaokiuka sheria lazima ukomeshwe kwa mujibu wa sheria ili iwe fundisho kwa waropokaji wengine chadema masalia 🐒
Yale marisasi 🐼Kwani Lisu aliwahi kufa?
mganga njaa tu,Hata wewe ukikaa pekeako unakubali Lissu ni zaidi mpambanaji, ni kiongozi madhubuti hatishwi wala hababaishwi na form 4 failure!
Sawa tajiri ulieshiba!mganga njaa tu,