4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Kama upo na ndugu ,mme, mke unajua ni moja wa mashahidi wa kificho ,msihi asijiingize huko, kama kaisha kula pesa ya maana mwambie atafute nchi alale mbele ,vinginevyo Mungu atapita naye kwa upanga mkali sana
