4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
kwahiyo makosa ya Saddam Hussein na lisu ni sawa .......Saddam alikuwa anajua watu damu zao anacholea Raman au kuandikia maandishi kwenye vitabu au barua kwenda Kwa mtu .......wakati wewe na baba Ako kijijini mnatumia penisadam hussein akiwa mahakamani alikua na drama kama hizo unazoita vibe zaidi lakini ikawa ni useless na nonsense tu
kwahiyo hapa kinajadiliwa drama, vibe, uropokaji mahakamani au makosa gentleman?kwahiyo makosa ya Saddam Hussein na lisu ni sawa .......Saddam alikuwa anajua watu damu zao anacholea Raman au kuandikia maandishi kwenye vitabu au barua kwenda Kwa mtu .......wakati wewe na baba Ako kijijini mnatumia peni
Mashahidi wa upande wa lissu walindeni kwa wivu mkubwa , sio mda watatakiwa kufika mahakama kuu toa maelezokwahiyo hapa kinajadiliwa drama, vibe, uropokaji mahakamani au makosa gentleman?
mbona una weweseka sana kwa mihemko aise?
Hawa hawawezi kuwa wa siri...hao ndo mashahidi wa siri wenyewe
vibe na drama mahakamani vitamsaidia sana kwenye ushahidiMashahidi wa upande wa lissu walindeni kwa wivu mkubwa , sio mda watatakiwa kufika mahakama kuu toa maelezo
Toka umekatwa utia Nia dogo unasumbua sana kaka zako hatulali .....kausha basi endelea kufikiria petty teuzi zenukwahiyo hapa kinajadiliwa drama, vibe, uropokaji mahakamani au makosa gentleman?
mbona una weweseka sana kwa mihemko aise?
karibu kwenye misa ya shukrani baada ya uteuzi wa wa chama Aug.23 na uteuzi wa tume huru ya uchaguzi Aug.27 gentlemanToka umekatwa utia Nia dogo unasumbua sana kaka zako hatulali .....kausha basi endelea kufikiria petty teuzi zenu
Mtu mmoja tu anaitetemesha Serikali na CCM yote, ogopa huyo mtuKwisha habari yake.
atavuna alicho kipanda, alidhani eti yuko juu ya sheria.
Unaujua mchezo wampira?.sikuhizi chadema inaongozwa na vitoto,
Waliokutuma puresha ziko juu yaa ni ni kukata kambaHahaaha anafuraha ya kufake tu moyo umejaa damu anailazimisha furaha
USSR
Mbona unayeumia ni weweHobgera zake kwa kuchangamka kinafiki mdomoni anacheka rohoni anaumia sana
Unafiki ni kutokuwa consistent mdomoni na rohoni
Lisu mnafiki
Hata wewe ukikaa pekeako unakubali Lissu ni zaidi mpambanaji, ni kiongozi madhubuti hatishwi wala hababaishwi na form 4 failure!akibaki pekeyake anajuta, sikuhizi anaongea kwa adabu
In my opnion: This Game is over....kwahiyo hapa kinajadiliwa drama, vibe, uropokaji mahakamani au makosa gentleman?
mbona una weweseka sana kwa mihemko aise?
Hata mgonjwa wa terminal cancer kabla hajaiaga dunia huwa ana vibe kweli!ππππ
Thank you.Ushuhuda unaoishi, TAL....
Yeah. Mguu mmoja wa Lissu haufanyi kazi. Asante kwa watu wasiojulikana.Naiomba serekali kuputia DPP imfutie Lissu mashitaka nimepata huruma kuona kaishiwa hata nguvu ya kuzungusha ngumi anataka kudondoka
Kumzidi mumeo?Lisu mnafiki
Khee ..kumbe nawanaume mnajua kuifinyia kwa ndaniπkwen
kwenda zako hao hata kufira hawajui, ikiminyiwa kwa ndani siwatapiga kelele hadi walinzi waje