Huu uzi siyo size yako kima wa kijani wawe! Case ya Sadam Hussein unaifananisha na the great TAL? Jinga kabisa wewe! Inaonekana hata darasani ulikuwa unaburuza mkia....pumbaf!sadam hussein akiwa mahakamani alikua na drama kama hizo unazoita vibe zaidi lakini ikawa ni useless na nonsense tu
tokazenu eti kukinukisha ni uhaini haiwezekani kutoa harufu Kali yakuoza ni kwenda kumpindua Samiakaribu kwenye misa ya shukrani baada ya uteuzi wa wa chama Aug.23 na uteuzi wa tume huru ya uchaguzi Aug.27 gentleman
Kweli!!!???Kwisha habari yake.
atavuna alicho kipanda, alidhani eti yuko juu ya sheria.
Nasikia ni ile damu yako iliyomwagika leo pale mahakamani KisutuHahaaha anafuraha ya kufake tu moyo umejaa damu anailazimisha furaha
USSR
Kwani mwanadamu mwenzio akiteseka wewe unapata faida gani mpaka ushangilie hivyo.sadam hussein akiwa mahakamani alikua na drama kama hizo unazoita vibe zaidi lakini ikawa ni useless na nonsense tu
Mbona wewe una PhD ya uropokaji au hujijui?kwahiyo hapa kinajadiliwa drama, vibe, uropokaji mahakamani au makosa gentleman?
mbona una weweseka sana kwa mihemko aise?
Nimejua kumbe kunenepa sio kula sana. Sayansi ya Wazungu ni Uongo.
Ni tabia za watu waliokosa upendo. Furaha yao nikuona wengine wanapata matesoKwani mwanadamu mwenzio akiteseka wewe unapata faida gani mpaka ushangilie hivyo.
Hii ndio inazidi kuwachanganya
Na Mfalme Hezekia pia. Hado aliongezwa miaka 15 ya kuishi😂
Hata Lazaro baada ya kufufuliwa na Yesu hakuwa na Hofu na mambo ya dunia tena
Tembo tu Moja tu haamkiLissu is born a winner...ni ujinga kumbambukizia kesi hii ya ujinga ati unafikiri unamkomoa. Umenoa ndugu.
Tafuta mtu yoyote Duniani anayeishi leo aliyepigwa risasi 16 zikaingia mwilini kwake na still ana survive na mzima wa afya.
Zamu ya kile kibibi ifike haraka..hopefullyUzuri gerezeni ni kwa wote ili mradi uwe binadamu hata hao wakubwa ipo siku watakuja kuingia, ndiyo maana hakuna gereza la wanyama ila yote ni kwa ajili ya wanadamu
Hahaaha anafuraha ya kufake tu moyo umejaa damu anailazimisha furaha
USSR
ÉvidenceNasikia kuna maombi maalum ukimchukia Lisu unakufa na auendi mbinguni.
Wanasema aliyemsukuma Lisu tayari kakufa na mpaka sasa yupo nje ya geti la mbinguni.😅😂
haaa,,makamanda wanatafuta pakushika asee🤣
Relax gentleman 🐒Mbona wewe una PhD ya uropokaji au hujijui?
kwani ukiropoka uongo, uzushi na kuporomoshea wengine matusi kwenye mikutano ya hadhara unapata faida gan gentleman 🐒Kwani mwanadamu mwenzio akiteseka wewe unapata faida gani mpaka ushangilie hivyo.
uropokaji unaokiuka sheria lazima ukomeshwe kwa mujibu wa sheria ili iwe fundisho kwa waropokaji wengine chadema masalia 🐒tokazenu eti kukinukisha ni uhaini haiwezekani kutoa harufu Kali yakuoza ni kwenda kumpindua Samia
Ama kweli tundu lisu ni yule mnyama NYEGERE(honey badger ) mama yenu alikosea kumwita SIMBA mana Simba mwenyewe Kwa NYEGERE ni sawa na sisimizi .......wehu wakubwa nyie na mawakili wenu uchwara hao
Mbona wewe unaongonzwa na Mkeo na hatusemisikuhizi chadema inaongozwa na vitoto,