Tazama vibe la Lissu wakati akitoka Mahakama ya Kisutu, leo Agosti 18, 2025

Hahaaha anafuraha ya kufake tu moyo umejaa damu anailazimisha furaha

USSR
Kumbuka mwezio katolewa risasi 16 na moja ipo mwilini sasa huyu unaweza kusema ni mnafiki? Wewe hata hauna Mbigiri ya takoni.
 
uropokaji unaokiuka sheria lazima ukomeshwe kwa mujibu wa sheria ili iwe fundisho kwa waropokaji wengine chadema masalia 🐒
Shida yako ni chadema na Lisu na siyo vinginevyo. Mbona kwenye majukwa ya siasa wengine ni zaidi ya Lisu au masikio yako yanakuwa yameziba?
 
Huoni bado amenawiri? Furaha ya ku fake angekuwa kama walivyo kuwa kina seth na rugemalila ,lissu hana hofu yeyote
Kweli furaha ya kweli ni muhimu sana. Ruge ni bilionea lakini alinyauka.
 
Huoni bado amenawiri? Furaha ya ku fake angekuwa kama walivyo kuwa kina seth na rugemalila ,lissu hana hofu yeyote
Nikikumbuka Sabaya, Habinda Seth, Mo, Manji ndio namvulia Kofia Lissu
 
uropokaji unaokiuka sheria lazima ukomeshwe kwa mujibu wa sheria ili iwe fundisho kwa waropokaji wengine chadema masalia 🐒
Wakili wenu mkuu katuga tushajua namna kapata elimu yake(sikwa kufunga huko). job mrema tayari chuo first digri kutoka chuo Cha ruco iringa sasa rucu na ya pili palepale(masters) naeleke kutafuta shule advance ,,,,,,, olevo ninayo tayari kweli ndo hao mkaona ndowapo nguli ofisninkwenu washindane TUNdu lisu ......sijui Leo Dunia pangekuwa mubashara mngetia aibu na penyewe mama yenu hana hata cheti kidato Cha nne mana alifeli
 
Hata wewe ukikaa pekeako unakubali Lissu ni zaidi mpambanaji, ni kiongozi madhubuti hatishwi wala hababaishwi na form 4 failure!
mganga njaa tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…