Tazameni Ulevi mwingine wa Madaraka wa huyu RC

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Kweli ulevi haufai popote pale duniani.

Tazameni Mkuu wa Mkoa anawalazimisha wananchi wenye ndoa wasiachane.

Hivi huu ulevi ameutoa wapi au kwa sheria ipi anayotumia kuingilia ndoa za watu?

Hakika nchi hii ni ngumu sana kuishi bila kucheka.

Kweli ulevi haufai popote pale duniani.

Tazameni mkuu wa mkoa anawalazimisha wananchi wenye ndoa wasiachane .

Hakika nchi hii ni ngumu sana kuishi bila kucheka.View attachment 2624573
Wewe umezoea story za sugu na mkewe mara Mbowe na mkewe wanaachana unaona kawaida huwezi kuwa na akili za kuona ndoa ni jambo la msingi

Watu wengi wangekuwa hawashauriwi kukaa pamoja na kuombana misamaha ndoa nyingi zisingekuwepo

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofautisha kushauri na kulazimisha
 
Talaka Ni laana,
Hizi talaka zinaumiza Sana

Pia Wanoathirika zaid na talaka ninwale wasiohusika na magomvi ya wanaotalikiana[emoji26]
 
Changamoto ya viongozi wetu wanacanganya matumizi ya mind na emotions..kuwa RC sio kuwa baba tena wa familiya ya kibantu kwamba una overallpower
 
Kweli ulevi haufai popote pale duniani.

Tazameni mkuu wa mkoa anawalazimisha wananchi wenye ndoa wasiachane .

Hivi huu ulevi ameutoa wapi au kwa sheria ipi anayotumia kuingilia ndoa za watu?

Hakika nchi hii ni ngumu sana kuishi bila kucheka.View attachment 2624573
Sasa wewe walazimishe waachane! Mpuuzi mmoja
 
Wewe umezoea story za sugu na mkewe mara Mbowe na mkewe wanaachana unaona kawaida huwezi kuwa na akili za kuona ndoa ni jambo la msingi

Watu wengi wangekuwa hawashauriwi kukaa pamoja na kuombana misamaha ndoa nyingi zisingekuwepo

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndg. Mbona hupoagi?
Wa moto kila wakati?
Mbona moyo wako kama una kidonda na wana ufipa?
Kuna siri gani?
Walikuibia mwali?
 
Kweli ulevi haufai popote pale duniani.

Tazameni Mkuu wa Mkoa anawalazimisha wananchi wenye ndoa wasiachane.

Hivi huu ulevi ameutoa wapi au kwa sheria ipi anayotumia kuingilia ndoa za watu?

Hakika nchi hii ni ngumu sana kuishi bila kucheka.

View attachment 2624573
Kwani wewe watu wakiachana unapata faida gani!
 
Inasikitisha sana na sijui kama kabla ya kutoa hayo matamko huwa wanajiuliza kwanza mapokeo yake?
Ndoa ni msingi wa familia na uendelevu wa maisha Duniani!
Ukilitambua hili, huwezi huwezi kutilia mashaka kauli ya RC.
 
Back
Top Bottom