Kinengunengu
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,716
- 4,375
Unanipotezea muda. Kwa heriUmenidharau na kunipuuza wakati huwezi hata kujizuia usinijibu?
Sina mpya wakati zangu za zamani umeshindwa kuzijibu, mpya nikupe za nini wakati za zamani huziwezi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanipotezea muda. Kwa heriUmenidharau na kunipuuza wakati huwezi hata kujizuia usinijibu?
Sina mpya wakati zangu za zamani umeshindwa kuzijibu, mpya nikupe za nini wakati za zamani huziwezi?
@Kiranga wewe una akili?Siku gani, hebu taja tarehe turudi hapa kuhakiki.
Unaelewa hata kuwepo kwa ugonjwa unaousema kunathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo?
Akili ni nini na unaipimaje kujua hii akili na hii si akili?@Kiranga wewe una akili?
WE mfuasi kificho wa TB au mnadini kificho ya kumpinga Mungu nyie. Inamtetea kijanja muumini mwenzako TBSiku gani, hebu taja tarehe turudi hapa kuhakiki.
Unaelewa hata kuwepo kwa ugonjwa unaousema kunathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo?
Hata kama hilo ni kweli, kitu ambacho si kweli.WE mfuasi kificho wa TB au mnadini kificho ya kumpinga Mungu nyie. Inamtetea kijanja muumini mwenzako TB
Namkubali gwajima. Hawa ndo wahubiri wa kisasa tunaowahitaji. They preach to africans how to survive the world.Ukipata muda naomba umchunguze na baba askofu Gwajima Kama amempokea yesu na kubatizwa ili nijue sadaka yangu jumapil naipeleka kwake au nitombeee tu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Itakuchukua mda sana kumuelewa tb joshua. Tb joshua ni product ya elimu ya kiafrika inayofundisha uovu ni upi na ubaya ni upi in african way. Lakini kwa kutumia mfumo ule ule wa european. Kwa sababu usipotumia huo mfumo wananchi wengi hawatakuelewa. Kwa hiyo the only way ni kuwafata kwenye area yao ya imani na kuwaingilia hukohuko.Nimekuwa nikifuatilia kifo cha gwiji huyu wa gospo tangu kilipotokea.
Jana nilishangaa hoja ambazo Jumuia ya makanisa ya kikristo ya Nigeria na Jumuia ya makanisa ya kipentekoste kumkataa kabisa TB Joshua kama Mkristo mwenzao.
Alipoulizwa sababu ya kumkataa, mwenyekiti mmoja wa jumuia hiyo aliwahi kusema.
TB hajawahi kubatizwa, au kuonyesha alimpokea Yesu lini na wapi na kwa pastor yupi. Hawakubaliani na agenda yake kuwa yeye Yesu alimalizana naye tangu akiwa tumboni mwa mama yake mimba ambayo ilikaa miezi 15.
Kwa kanuni za kikristo na Kibiblia mtu akiwa na akili timamu ndio anatakiwa amchague Yesu sio tumboni. Lakini pia kwa wengine akiwa mtoto hubatizwa. Lkn sio tumboni na angalau aonyeshe ushahidi wao hawatapata shida kabisa.
Huyu ndiye Gwiji wa injili aliyekuza sekta ya utalii nigeria kwa njia ya injili. Kuna mwaka ulifika ndege ikitua na wazungu 10 nigeria zaidi ya sita wote walikuwa wanaenda SCOAN kulamba upako.
African way of living is not the same as roman/christian way of living. So hawa ni watu waliokua wanawarudisha waafrika kwenye basics zao za maishaItakuchukua mda sana kumuelewa tb joshua. Tb joshua ni product ya elimu ya kiafrika inayofundisha uovu ni upi na ubaya ni upi in african way. Lakini kwa kutumia mfumo ule ule wa european. Kwa sababu usipotumia huo mfumo wananchi wengi hawatakuelewa. Kwa hiyo the only way ni kuwafata kwenye area yao ya imani na kuwaingilia hukohuko.
Kuna sababu kubwa sana why jiwe( pan africanist) alikua anampenda tb joshua na gwajima. There is a reason. Do your research
Soma vizuri weka ushabiki na Kiherehere pembeni utaelewa qlicho maanisha mdau hapo juuMungu yupo na hayupo at the same time?
What are you smoking?
Unajuaje sijasoma vizuri? Unajuaje wewe siye unayeleta ushabiki na kiherehere kwa kuniambia naleta ushabiki na kiherehere bila hata kuonesha wapi nimeleta ushabiki na kiherehere?Soma vizuri weka ushabiki na Kiherehere pembeni utaelewa qlicho maanisha mdau hapo juu
Kanuni inasema hivi aaminiye na kubatizwa ataokoka asiyeamini atahukumiwa.View attachment 1813227
Ubatizo wa maji ni udhihirisho wa nje kwamba umempokea Kristo!
Wapo waliompokea Kristo pasipo udhihirisho huo wa nje na kuokolewa!
Ref: Mwizi msalabani aliye mkiri Kristo na kuokolewa pasipo ubatizo wa maji.
Hao wanaomhukumu nao watahukumiwa, kwanini hawakutujuza haya mwaka jana⁉️Nimekuwa nikifuatilia kifo cha gwiji huyu wa gospo tangu kilipotokea.
Jana nilishangaa hoja ambazo Jumuia ya makanisa ya kikristo ya Nigeria na Jumuia ya makanisa ya kipentekoste kumkataa kabisa TB Joshua kama Mkristo mwenzao.
Alipoulizwa sababu ya kumkataa, mwenyekiti mmoja wa jumuia hiyo aliwahi kusema.
TB hajawahi kubatizwa, au kuonyesha alimpokea Yesu lini na wapi na kwa pastor yupi. Hawakubaliani na agenda yake kuwa yeye Yesu alimalizana naye tangu akiwa tumboni mwa mama yake mimba ambayo ilikaa miezi 15.
Kwa kanuni za kikristo na Kibiblia mtu akiwa na akili timamu ndio anatakiwa amchague Yesu sio tumboni. Lakini pia kwa wengine akiwa mtoto hubatizwa. Lkn sio tumboni na angalau aonyeshe ushahidi wao hawatapata shida kabisa.
Huyu ndiye Gwiji wa injili aliyekuza sekta ya utalii nigeria kwa njia ya injili. Kuna mwaka ulifika ndege ikitua na wazungu 10 nigeria zaidi ya sita wote walikuwa wanaenda SCOAN kulamba upako.
Ukienda kwa maandishi bila kujua muktadha utapotea!Kanuni inasema hivi aaminiye na kubatizwa ataokoka asiyeamini atahukumiwa.
Hujui neno unakurupuka tu.
Hivi atazikwa peku?Nimekuwa nikifuatilia kifo cha gwiji huyu wa gospo tangu kilipotokea.
Jana nilishangaa hoja ambazo Jumuia ya makanisa ya kikristo ya Nigeria na Jumuia ya makanisa ya kipentekoste kumkataa kabisa TB Joshua kama Mkristo mwenzao.
Alipoulizwa sababu ya kumkataa, mwenyekiti mmoja wa jumuia hiyo aliwahi kusema.
TB hajawahi kubatizwa, au kuonyesha alimpokea Yesu lini na wapi na kwa pastor yupi. Hawakubaliani na agenda yake kuwa yeye Yesu alimalizana naye tangu akiwa tumboni mwa mama yake mimba ambayo ilikaa miezi 15.
Kwa kanuni za kikristo na Kibiblia mtu akiwa na akili timamu ndio anatakiwa amchague Yesu sio tumboni. Lakini pia kwa wengine akiwa mtoto hubatizwa. Lkn sio tumboni na angalau aonyeshe ushahidi wao hawatapata shida kabisa.
Huyu ndiye Gwiji wa injili aliyekuza sekta ya utalii nigeria kwa njia ya injili. Kuna mwaka ulifika ndege ikitua na wazungu 10 nigeria zaidi ya sita wote walikuwa wanaenda SCOAN kulamba upako.
Hii dini ya ukana Mungu uongo mtupu mwanzo mwisho. Hakuna hata mmoja anayeweza kuthibitisha Mungu hayupo.Hizi dini uongo mtupu mwanzo mwisho.
Hakuna hata mmoja anayeweza kuthibitisha huyo Mungu yupo.
Mwengaaaa...!!!!Ukipata muda naomba umchunguze na baba askofu Gwajima Kama amempokea yesu na kubatizwa ili nijue sadaka yangu jumapil naipeleka kwake au nitombeee tu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unataka uthibitishe kuwa MUNGU yupo?? imani huja kwa njia ya kusikia neno la MUNGU ni hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasioonekana.Schrodinger's Cat scenario inaweza kupimwa kwa experiment.
Mungu amepimwa wapi kwa experiment?