Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Tumia hata mfano wa Chalamila bana 😅😅Kifalsafa hii hoja ni " A Priori fallacy".
Umeanza na jibu la uongo. Halafu mzigo wa kuthibitisha unawapa wengine.
Ni sawa na mimi nikuambie hapa unajibizana na Jeff Bezos tajiri mkubwa, bilionea wa Kimarekani. Mimi ni Jeff Bezos.
Ukibisha kosa si langu, kosa ni lako uliyeshindwa kuthibitisha mimi ni Jeff Bezos bilionea wa Kimarekani.
Yani nasema kitu cha uongo ambacho hakiwezi kuthibitishika, halafu mzigo wa kuthibitisha nakupa wewe.
Unaelewa ukisema hakuna anayeweza kuthibitisha Mungu hayupo hujathibitusha Mungu yupo?Hii dini ya ukana Mungu uongo mtupu mwanzo mwisho. Hakuna hata mmoja anayeweza kuthibitisha Mungu hayupo.
Hayo ni mahubiri.Unataka uthibitishe kuwa MUNGU yupo?? imani huja kwa njia ya kusikia neno la MUNGU ni hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasioonekana.
Unanipangia hata mfano wa kutumia?Tumia hata mfano wa Chalamila bana [emoji28][emoji28]
Haya ni ya miaka mingi sana hata kabla hajaanza intetnational ministry. Sio baada ya kufaHao wanaomhukumu nao watahukumiwa, kwanini hawakutujuza haya mwaka jana⁉️
Kama Mungu hayupo hakuna kitu kinaitwa mabaya wala mema. Hakuna upendo wala kutokupenda na binadamu ni muundo wa kemikali tu. So hakuna swali wala jibu. That simple.Unaelewa ukisema hakuna anayeweza kuthibitisha Mungu hayupo hujathibitusha Mungu yupo?
Unaelewa huu ulimwengu uliopo unaoruhusu mabaya unathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo?
Nimekuwa nikifuatilia kifo cha gwiji huyu wa gospo tangu kilipotokea.
Jana nilishangaa hoja ambazo Jumuia ya makanisa ya kikristo ya Nigeria na Jumuia ya makanisa ya kipentekoste kumkataa kabisa TB Joshua kama Mkristo mwenzao.
Alipoulizwa sababu ya kumkataa, mwenyekiti mmoja wa jumuia hiyo aliwahi kusema.
TB hajawahi kubatizwa, au kuonyesha alimpokea Yesu lini na wapi na kwa pastor yupi. Hawakubaliani na agenda yake kuwa yeye Yesu alimalizana naye tangu akiwa tumboni mwa mama yake mimba ambayo ilikaa miezi 15.
Kwa kanuni za kikristo na Kibiblia mtu akiwa na akili timamu ndio anatakiwa amchague Yesu sio tumboni. Lakini pia kwa wengine akiwa mtoto hubatizwa. Lkn sio tumboni na angalau aonyeshe ushahidi wao hawatapata shida kabisa.
Huyu ndiye Gwiji wa injili aliyekuza sekta ya utalii nigeria kwa njia ya injili. Kuna mwaka ulifika ndege ikitua na wazungu 10 nigeria zaidi ya sita wote walikuwa wanaenda SCOAN kulamba upako.
naona unapata shida sana kumwelezea mtu asiyetaka kuelewaNimetoa mfano wa wegner ambae idea yake baada ya karne 1 ilithibitika ni kweli.
Mungu ni idea ambayo kwa sasa haina uthibitisho, hivyo kusema yupo au hayupo zote ni imani. Wewe unaposema Mungu hayupo hiyo ni imani yako, imani ambayo huwezi kuithibitisha kama hao unaosema wanadanganywa.
Mwizi aliitwa DISMASView attachment 1813227
Ubatizo wa maji ni udhihirisho wa nje kwamba umempokea Kristo!
Wapo waliompokea Kristo pasipo udhihirisho huo wa nje na kuokolewa!
Ref: Mwizi msalabani aliye mkiri Kristo na kuokolewa pasipo ubatizo wa maji.
Kama Mungu hayupo hakuna mabaya wala memq kwa mujibu wa nani?Kama Mungu hayupo hakuna kitu kinaitwa mabaya wala mema. Hakuna upendo wala kutokupenda na binadamu ni muundo wa kemikali tu. So hakuna swali wala jibu. That simple.
Huwezi kuthibitisha Mungu hayupo. Unaamini tuhivyo!
Tatizo sio dini bali ni wewe ambaye unalazimisha jambo mahali ambako si pake, yani unajua kwamba suala la kuwepo Mungu ni imani kwamba watu wanaamini hivyo ila wewe unataka upate ushahidi wa nje wa hiyo imani.Hizi dini uongo mtupu mwanzo mwisho.
Hakuna hata mmoja anayeweza kuthibitisha huyo Mungu yupo.
Imani ukiileta JF umeruhusu ihojiwe.Tatizo sio dini bali ni wewe ambaye unalazimisha jambo mahali ambako si pake, yani unajua kwamba suala la kuwepo Mungu ni imani kwamba watu wanaamini hivyo ila wewe unataka upate ushahidi wa nje wa hiyo imani.
Wewe umekaririshwa hiyo contradiction na kuhitimisha kuwa hakuna Mungu ila ukiambiwa ufafanue ni vp hiyo contradiction inahitimisha kuwa hakuna Mungu unaingia mitini.Si vyote visivyoweza kuthibitisha havipo.
Lakini wewe unajuaje hiki hakiwezi kuthibitishwa kwa sababu hakipo na hiki hakiwezi kuthibitishwa lakini kipo?
Mathalani, unajuaje Mungu yupo, hawezi kuthibitishwa tu?
Umeshawahi kufikiri kwamba pengine Mungu hawezi kuthibitishwa kwa sababu hayupo, ni hadithi za kutungwa na watu tu?
Siyo tu Mungu huyu hawezi kuthibitishwa kuwepo, bali pia uwepo wake unakuwa contradicted na hali halisi kwa namna ambayo inaonesha hayupo.
Unaambiwa Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
Aliweza kuumba dunia isiyo na kifo, mabaya, magonjwa, etc.
Lakini hakuumba hiyo, akaumba hii ya ma pandemic na matetemekonya ardhi na ma tsunami.
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote awe mkatili hivyo kwa viumbe wake?
Sijazungumzia kuhoji mbona kuhoji watu wanahoji sana mambo ya dini na hadi wanatofautiana masuala mbalimbali kutokana na uelewa, ila mimi nazungumzia suala la wewe kutaka uthibitisho kuwa Mungu kweli yupo nje ya imani yenyewe hapo ndio kwenye tatizo.Imani ukiileta JF umeruhusu ihojiwe.
Kama unataka isihojiwe, baki nayo kanisani, msikitini etc kwako.
Motto ya JF hapo juu imeandikwa.
"Where We Dare To Talk Openly".
Kwani nikitaka uthibitisho sijahoji?Sijazungumzia kuhoji mbona kuhoji watu wanahoji sana mambo ya dini na hadi wanatofautiana masuala mbalimbali kutokana na uelewa, ila mimi nazungumzia wewe kutaka uthibitisho kuwa Mungu kweli yupo nje ya imani yenyewe hapo ndio kwenye tatizo.
Nimekuwa nikifuatilia kifo cha gwiji huyu wa gospo tangu kilipotokea.
Jana nilishangaa hoja ambazo Jumuia ya makanisa ya kikristo ya Nigeria na Jumuia ya makanisa ya kipentekoste kumkataa kabisa TB Joshua kama Mkristo mwenzao.
Alipoulizwa sababu ya kumkataa, mwenyekiti mmoja wa jumuia hiyo aliwahi kusema.
TB hajawahi kubatizwa, au kuonyesha alimpokea Yesu lini na wapi na kwa pastor yupi. Hawakubaliani na agenda yake kuwa yeye Yesu alimalizana naye tangu akiwa tumboni mwa mama yake mimba ambayo ilikaa miezi 15.
Kwa kanuni za kikristo na Kibiblia mtu akiwa na akili timamu ndio anatakiwa amchague Yesu sio tumboni. Lakini pia kwa wengine akiwa mtoto hubatizwa. Lkn sio tumboni na angalau aonyeshe ushahidi wao hawatapata shida kabisa.
Huyu ndiye Gwiji wa injili aliyekuza sekta ya utalii nigeria kwa njia ya injili. Kuna mwaka ulifika ndege ikitua na wazungu 10 nigeria zaidi ya sita wote walikuwa wanaenda SCOAN kulamba upako.
Neno la Mungu linasema hivi,Kama tukistahimili,tutamiliki pamoja naye;kama tukimkana yeye,yeye naye atatukana sisi.2Timotheo2:19,sasa huyo kwakuwa keshaamua kumkana Mungu asitegemee kumuona,atabakia kila siku kupinga kuwa hayupo ni kwakuwa alishakanwa siku nyingi...Wewe umekaririshwa hiyo contradiction na kuhitimisha kuwa hakuna Mungu ila ukiambiwa ufafanue ni vp hiyo contradiction inahitimisha kuwa hakuna Mungu unaingia mitini.
Nazungumzia imani sizungumzii uongo labda kama kwa tafsiri yako wewe ni kwamba imani ni uongo.Kwani nikitaka uthibitisho sijahoji?
Halafu unataka nihoji uongo ndani ya uongo huohuo?
Kwani imani haiwezekani kuwa ya uongo, imejengwa juu ya assumptions za uongo?Nazungumzia imani sizungumzii uongo labda kama kwa tafsiri yako wewe ni kwamba imani ni uongo.