TB Joshua hakuwahi kubatizwa wala kumpokea Yesu! Nimeshangaa sana

Imani ni imani tu maana yake nini? Imani inayoyotokana na upotofu ni sawa na inayotokana na ukweli?
Ugali na pilau vyote ni vyakula japo vinatofautiana, sawa na imani iwe ya kweli au uongo zote ni imani na wakati mwengine ukweli au uongo wa imani hutofautiana kati ya mtu na mtu.
 
Kama huja define vitu vizuri, of course.

Lakini, imaninya kwqmba kuna Mungu, mjuzi wa uote, mwenye upendo wote na uwezo wote, aliyeumba huu ulimwengu, ni ya uongo.

Tunadanganyqmana tu kumtumia huyu Mungu kama chaka la kutupia maswali yote ambayo hatuna majibu.

Ukichunguza kimantiki bila bias utaona misingi ya kuamini uwepo wa huyu Mungu ni potofu. Ni ya uongo.
 
Nimekuwa nikifuatilia kifo cha gwiji huyu wa gospo tangu kilipotokea.

Jana nilishangaa hoja ambazo Jumuia ya makanisa ya kikristo ya Nigeria na Jumuia ya makanisa ya kipentekoste kumkataa kabisa TB Joshua kama Mkristo mwenzao.

Alipoulizwa sababu ya kumkataa, mwenyekiti mmoja wa jumuia hiyo aliwahi kusema.

TB hajawahi kubatizwa, au kuonyesha alimpokea Yesu lini na wapi na kwa pastor yupi. Hawakubaliani na agenda yake kuwa yeye Yesu alimalizana naye tangu akiwa tumboni mwa mama yake mimba ambayo ilikaa miezi 15.

Kwa kanuni za kikristo na Kibiblia mtu akiwa na akili timamu ndio anatakiwa amchague Yesu sio tumboni. Lakini pia kwa wengine akiwa mtoto hubatizwa. Lkn sio tumboni na angalau aonyeshe ushahidi wao hawatapata shida kabisa.

Huyu ndiye Gwiji wa injili aliyekuza sekta ya utalii nigeria kwa njia ya injili. Kuna mwaka ulifika ndege ikitua na wazungu 10 nigeria zaidi ya sita wote walikuwa wanaenda SCOAN kulamba upako.
Waongo wivu tu unawasumbua. Kabla T. B Joshua hajaanza Huduma alikuwa muumini wa kanisa nadhani kijijini kwake. Ila baba huyu hakuomba msaada na hakujipendekeza kwao. Alianzisha Huduma mwenyewe bila msaada was mtu. Alikubalika sana ulimwenguni. Wao wanajulikana Nigeria tu. Huyu alimpact watu wa mataifa mengi. Wanasumbuliwa na jealousy hao achana nao.
 
Kama huja define vitu vizuri, of course.

Lakini, imaninya kwqmba kuna Mungu, mjuzi wa uote, mwenye upendo wote na uwezo wote, aliyeumba huu ulimwengu, ni ya uongo.

Tunadanganyqmana tu kumtumia huyu Mungu kama chaka la kutupia maswali yote ambayo hatuna majibu.

Ukichunguza kimantiki bila bias utaona misingi ya kuamini uwepo wa huyu Mungu ni potofu. Ni ya uongo.
Tatizo lako wewe ni kwamba unapinga uwepo wa Mungu ila unakosa sababu za msingi za kupinga huo uwepo wa Mungu.
 
Kwanza kabisa, si mimi ninayepinga kuwepo kwa Mungu.

Sifa mnazompa huyo Mungu zinapingana.

Mimi naonesha tu kuwa hapa mnasema Mungu ni mjuzi wa yote, hapa mnasema ana uwezo wote, hapa mnasema ana upendo wote, hapa mnasema kaumba ulimwengu, hapa mnasema ulimwengu una mabaya mengi.

Sawa.

Nawaambia hii picha ina mushkeli.

Mungu huyo kimantiki hawezi kuwepo.

Kimantiki Mungu huyo kuwepo ni sawa na square root ya 2 kuwa 10 katika bade 10 math.

Kwa sababu habari zote ni contradictions.

Mungu huyo ni hadithi za watu tu.
 
Sasa mbona unaishia tu kusema huyo Mungu ndio hayupo vp kuhusu ulimwengu nao upo au haupo?
 
Umekubali huyo Mungu hayupo?

Ulimwengu upo, kwani ulimwengu kuwepo kunathibitisha nini?

Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo?
 
Nimekuwa nikifuatilia kifo cha gwiji huyu wa gospo tangu kilipotokea.

Jana nilishangaa hoja ambazo Jumuia ya makanisa ya kikristo ya Nigeria na Jumuia ya makanisa ya kipentekoste kumkataa kabisa TB Joshua kama Mkristo mwenzao.

Alipoulizwa sababu ya kumkataa, mwenyekiti mmoja wa jumuia hiyo aliwahi kusema.

TB hajawahi kubatizwa, au kuonyesha alimpokea Yesu lini na wapi na kwa pastor yupi. Hawakubaliani na agenda yake kuwa yeye Yesu alimalizana naye tangu akiwa tumboni mwa mama yake mimba ambayo ilikaa miezi 15.

Kwa kanuni za kikristo na Kibiblia mtu akiwa na akili timamu ndio anatakiwa amchague Yesu sio tumboni. Lakini pia kwa wengine akiwa mtoto hubatizwa. Lkn sio tumboni na angalau aonyeshe ushahidi wao hawatapata shida kabisa.

Huyu ndiye Gwiji wa injili aliyekuza sekta ya utalii nigeria kwa njia ya injili. Kuna mwaka ulifika ndege ikitua na wazungu 10 nigeria zaidi ya sita wote walikuwa wanaenda SCOAN kulamba upako.
Mimi haya makanisa ya mwendo kasi nayapitaga mbali sana. Huwa nashangaa watu na akili zao timamu wanaamini hata ukijalibu kuwashtua hawaambiliki. Nawasikitikia sana.
 
Umekubali huyo Mungu hayupo?

Ulimwengu upo, kwani ulimwengu kuwepo kunathibitisha nini?

Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo?
Sasa kama huyo Mungu hayupo huo ulimwengu unaodaiwa kuumbwa na yeye inawezekana vp kuwepo?
 
Bila Mungu.

Kwa nini ulimwengu uhitaji Mungu ili uwepo?

Hususan kama huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Ulimwengu una mastaajabu makubwa sana kuliko habari ya Mungu.

Yani habari ya Mungu ni story ya kitoto sana ukiilinganisha na mastaajabu ya ulimwengu.
 
Bado haujajibu swali,nauliza hivi Mungu mwenye upendo wote,ujuzi wote na uwezo aliyeumba ulimwengu wenye maovu anayedaiwa kuwepo ni kwamba unasema hayupo kutokana na contradiction sasa je inawezekana vp kuwepo huo ulimwengu wenye maovu ambao inadaiwa kauumba?

Kama huyo Mungu uwepo wake ni story tu za uongo si kitu cha kweli hivyo pia hata suala la kuwepo huo ulimwengu itakuwa ni story tu huo ulimwengu hauwezi kuwepo.
 
Hizi dini uongo mtupu mwanzo mwisho.

Hakuna hata mmoja anayeweza kuthibitisha huyo Mungu yupo.

Sababu 10 Kuamini Mungu Yupo​

Picture

1. Kilichoanza huanzishwa na Muanzilishi
Kila kitu ulimwenguni kina mwanzo ulioanzishwa. Aya hii ipo hapa kwa kuwa mwandishi alimwaga wino juu ya ukurasa huu. Nani aliye hai ambaye hakupokea uhai toka kwa wazazi? Ni mama yupi anayepasisha kwa wanawe uhai ambao hakuupokea kutoka kwa waliomtangulia? Mwanzoni mwa mapokezano hayo ya uhai yupo nani kama si Yeye Aliye na uzima, uzima usio wa kupewa au kuazimwa? Pasipo Mwenye-kitabu hakuna kitabu cha kuazimwa. Tuna uhai wa kuazimwa kwa kuwa yupo Mwenye uhai aliyetuazima. Yeye daima "hapatikani na mauti" (1Tim 6:16); na "ndani yake yeye tunaishi, tunakwenda, na kuwa na uhai wetu" (Matendo 17:28)

Picture

2. Mabadiliko huletwa na Mbadilishaji
Vitu vyote hubadilika: iwe mata (matter) au nguvu (energy), wakati (time) au nafasi (space). Mwenye hekima mmoja alisema vizuri, ‘hakuna kisichobadilika isipokuwa badiliko lenyewe.” Kwa kutazama kwa macho au darubini, vitu vina uwezekano wa kubadilika na si uwezo wa kubadilika. Mchanga huhamishwa na upepo na ua ukaushwa na jua. Uwezo wa kubadilika hutoka nje ya kitu husika. Kwa kuwa ulimwengu katika ujumla wake unabadilika, basi yupo Mleta-mabadiliko nyuma yake. Kama hayupo Mbadilishaji basi ulimwengu ungebakia ulivyokua daima. Mleta-Mabadiliko Mkuu wa ulimwengu yupo, yeye habadilishwi na habadiliki. Biblia inamtaja huyo kama,"Baba wa mianga; [ambaye] kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeuka-geuka" (Yakobo 1:17; lingasha na Malaki 3:6; Waebrania 3:18; Zaburi 102:24-27)

3. Sanaa humtangaza Msanii
Ulimwengu ni sanaa iliyobuniwa. Tupia macho nyota za angani au maua ya kondeni. Ni nini mbele yako? Si uzuri huo? Aidhaa uzuri huo umebuniwa na mbuni aliyejipanga au umeibuliwa na mlipuko usiokusudiwa (wanafizikia wauita, “big bang”). Lakini, iweje mlipuko usiopangilika uzue maumbile yaliyopangilika? Waweza kuamini herufi hizi usoni mwako ni matokeo ya wino uliojimwagikia badala ya binadamu aliyefikiria? Daima, sanaa hubuniwa na kubakia mali halali ya msanii. Kufurahia uvumbuzi na kutomtambua mvumbuzi ni nini kama si ubakaji wa sanaa, ukatili kwa msanii, na ukiukwaji wa haki ya msanii kutambulika? “Kwa sababu mambo yake [Mungu]….yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake; yaani, uweza wake wa milele na Uungu wake; hata wasiwe na udhuru” (Warumi 1:20😉
Picture

4. Hali ya kutambua/ kutambulika yatoka kwa Mwasisi-Mtambuzi
Ulimwengu uliobuniwa unatambulika. Kilimanjaro ya theluji au ngorongoro ya kijani yatambulika kwa macho. Ijapokuwa tunautambua ulimwengu lakini wenyewe haujitambui. Mata (matter) na nguvu (energy), mwamba na umeme, kompyuta na roboti havijitambui. Havina utambuzi wa nafsi. Haviwezi kutambua nafsini kwa kufikiri, kusikiliza, kukumbuka, kuongea, kuhisi, kuhiari, na hapo hapo kung’amua walichokitambua. Mwanadamu anatoa wapi utambuzi huo? Kama gesi iliyojilipukia (“big bang”) ilizua wanadamu wenye utambuzi, iweje chanzo kisichojitambua (mlipuko) kitofautiane na zao lake linalojitambua (mtu)? Hakika, wanadamu wenye ufahamu wametoka kwa Muumba mwenye-ufahamu. Mtu anamtambua Muumba na Muumba anamtambua mtu—wawili wanafahamiana hata kama wachukua muda kujuana. Mungu ndiye "akiisha kuwawekea walimwengu nyakati alizoziamuru tangu zamani, na mipaka ya makazi yao; ili wamtafute Mungu, ingawa ni kwa kupapasa-papasa, wakamwone, ijapokuwa hawi mbali na kila mmoja wetu." (Matendo 17:26b,27)

5. Wazo lenyewe linaakisi uhalisia wake
Wanadamu wote wanamuwazia Mungu. Waumini, wasioamini, au wanaodai hawajui kuwa Mungu yupo huwa wanachukua msimamo wao baada ya kuingiwa na kupambana na wazo lenyewe. Lakini, wazo linatua kichwani likitokea wapi? Aidha wazo limetoka ndani ya mtu au nje. Tujuavyo, chanzo huwa kikuu kupita matokeo yake (Mjapani ni mkuu kuliko Toyota). Kwa kuwa “Mungu” wa vichwani mwao hufikiriwa kuwa mkuu (katika wema, uweza na busara) kuliko yeyote wanayemjua (kuliko baba au mama), basi dhana ya uwepo wa Mungu ni akisi ya uhalisia uliopo nje ya vichwa vyao. Dhana haikuibuka vichwani mwao kama uyoga. Kutoka nje, Mungu ameweka, "milele ndani ya mioyo" yao. Ndiyo maana, pamoja na mahangaiko ya kitambo na wakati uliopo, kwa kujua au kutokujua, watu wote huangaikia umilele, hatima yao baada ya maisha yao duniani (Mhubiri 3:11; Matendo 17:26,27).
6. Usemi ‘Mungu yupo’ hudai uwepo wa Mungu
Usemi wowote uletao maana hupangika kisarufi bila kugongana kimantiki. "Duara ni pembe tatu" Sarufi? Sawa. Maana? Hakuna. “Mungu hayupo” huangukia hukumu hiyo hiyo. Vichwani mwetu, "Mungu" ni Yeye astahiliye kuabudiwa kwa kuwa ni Mkamilifu katika uweza na uadilifu. “Mungu” ataitwa Mungu kwa kuwa yupo. Mrembo aliyeko kwenye jeneza si mrembo, na “Mungu” asiyekuwepo si “Mungu.” Kusema, ‘"Mungu” hayupo’ ni kumhesabu Aliye hai miongoni mwa wasio hai. Mtu huthubutu vipi kusema “Mungu hayupo” kama hajateleza ulimi pasipo kujitambua? (Zaburi 51:1-2;14:1-2). “Duara ni nyuzi 360” na “Mungu yupo” ni tungo mbili sahii kwa muundo na maana zake.
7. Kufahamika kwa maadili hutangaza Mtunzi wake
Yapo maadili-msingi yanayotambuliwa na watu wa kila zama na kila mahali. Japo wanaishi mbele ya utisho wa kutoweka na kila huyo akipambana abakie, watu wote wanajua nafsini mwao kutunza uhai wa wengine ni muhimu kuliko kuupoteza, kuonesha huruma ni bora kuliko ukatili, urafiki kuliko usaliti. Wanaafiki heshima yafaa kuliko dharau, ushujaa kuliko woga, bidii kuliko uvivu, ukweli kuliko uongo, kutakiana heri kuliko kuoneana wivu, na kuridhika kuliko kutamani. Kufahamika kwa maadili yanayofanana ulimwengu kote ni uthibitisho wa uwepo wa mtunzi wake mmoja. Baba wa mema yote amewaachia wanadamu kanuni 10 za namna ya kuishi na akaziandika kwa wino usiofutika (Kutoka 20; Warumi 2:14,15). Maadili ya Bwana Mungu hutia mjinga hekima na kumpatia raha moyoni. Sheria yake ni kweli na haki. Tena ni tamu kuliko asali na hutamanika kuliko dhahabu safi (Zaburi 19:7-14). Kwa nini kizuri kisijitangaze?
Picture

8. Sauti ya dhamira inayohukumu ushuhudia hakimu anayehukumu
Tofauti na wanyama, mwanadamu mwenye ufahamu ana dhamira inayomsonda au "sauti ndogo" nafisini. Sauti hii hujuza mema ("fanya hivi") na mabaya ("usifanye hivyo"). Kama ladha ilivyo kwa vyakula ndivyo dhamira ilivyo kwa maadili. Dhamira uhukumu: umtetea mtu na kumletea amani; pengine, umshutumu na kumletea huzuni. Hata isemaje, watu wote hukubali ni vema kutii dhamira yako. Lakini, dhamira imepata wapi mamlaka hayo ya kusikilizwa? Kutoka maumbile yangu asilia? Iweje asili iliyo chini yangu inikalie? Iweje nihuzunike ninapoiasi ikiwa mimi ndiye niliyeitunga? Kama imepewa mamlaka na jamii iliyonilea, iweje wana jamii walio sawa nami wawe juu yangu? Ni nani aliye na sauti ya mwisho kunipeleleza niliye chini, halafu kuniruhusu au kunikataza kabla sijatenda, kunitetea au kunishtaki baada ya kutenda? Hakika, "pumzi [neshamah kiebrania, au roho, dhamira,] ya mwanadamu ni taa ya Bwana; hupeleleza yote yaliyomo ndani yake" (Mithali 20:27)

9. Tamaa ya asili hutimizwa na kitu halisi
Kila hitaji asilia hutimizwa na kitu halisia. Njaa huzimwa na chakula. Upweke humalizwa na mpenzi. Kwa kila haja ya kimambile lipo jibu nje ya maumbile husika. Lakini ipo tamaa ya kibinadamu isiyoweza kutoshelezwa na mazingira ya mwanadamu. Elimu ya kidunia na ajira mali na madaraka na mapenzi haviwezi kukidhi haja hiyo. Nani asiyetamani kufurahia ua lisilonyauka, muziki usiochuja, na upendo usiopoa. Nani hana hamu ya kukutana na rafiki pasipo kuagana, kucheka pasipo kulia, na kuzaliwa pasipo kufa? Nani asiyependa kuongea na kusikilizwa, kugusa na kuguswa, kujua na kujulikana, na kupenda na kupendwa. Shauku ya kufaidi uzima katika ukamilifu wake ni kiu halisi ya ulimwengu huu na utimizo wake hupatikana katika uhalisia wake nje ya ulimwengu. Zaidi ya ulimwengu upo uhalisia, Mungu Baba halisi, utimilifu wa tamaa ya vizazi vyote. "Kila kipaji chema na kila zawadi kamilifu hutoka mbinguni; hutoka kwa Baba, Muumba wa mianga,...” (Yakobo 1:17)
Picture

10. Uzoefu wa wengi ni ushuhuda wa nguvu
Historia na anthropolojia hushuhudia kuwa uzoefu wa dini ni wa kiulimwengu. Watu wa kila zama na tamaduni wamedai kuwa na uzoefu na "Uungu." Wamemkaribia “Mungu” kwa kusujudu, kuheshimu, kusifu, na kushukuru. Je! Yawezekana waabudu wote hao wanainama kiti kilicho tupu? Kwamba uzoefu wanaoujua sio halisia? Kweli, hapo kale walimwengu wengi walijua kimakosa kuwa jua linaizunguka dunia. Lakini uzoefu wao ulikuwa sahii. Kwa uzoefu walijua bila kukosea kuwa jua lipo, dunia ipo na mzunguko upo. Huenda waabudu wakakosea kujua Mungu yukoje, lakini haiwezekani wakakosea kujua yupo. Ikiwa wengine hawajui uzoefu unaojulikana sana, huenda shida ni mishipa ya fahamu, mishipa iliyopoteza uwezo wake wa kuhisi na kujua. “Kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza.” (Warumi 1:21)

Picture
 
Bado haujajibu swali,nauliza hivi Mungu mwenye upendo wote,ujuzi wote na uwezo aliyeumba ulimwengu wenye maovu anayedaiwa kuwepo ni kwamba unasema hayupo kutokana na contradiction sasa je inawezekana vp kuwepo huo ulimwengu wenye maovu ambao inadaiwa kauumba?

Kama huyo Mungu uwepo wake ni story tu za uongo si kitu cha kweli hivyo pia hata suala la kuwepo huo ulimwengu itakuwa ni story tu huo ulimwengu hauwezi kuwepo.

Ulimwengu huu unawezekana kuwepo bila Mungu. In fact, ulimwengu huu hauwezi kuwepo ikiwa huyo Mungu yupo.

Umeng'ang'ania kwamba huyo Mungu ndiye lazima awe chanzo cha ulimwengu.

Hujakubali kwamba ulimwengu inawezekana umekuwepo bila Mungu kuwepo.

Ndiyo maana ulimwengu una mabaya.

Ni muhimu uelewe kwamba, contradiction ya kuwepo ulimwengu wenye kuruhusu mabaya inakuwepo tu ikiwa ulimwengu huo umeruhusiwa kuwepo na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Mungu huyo kuumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na mabaya ndiyo conradiction yenyewe.

Ikiwa ulimwengu umetokana na sababu nyingine, tofauti na huyo Mungu, hapo hakuna contradiction.

Naona post yako imeandikwa kwa mtazamo wa mtu ambaye hajaelewa contradiction iko wapi.

Ni kama vile unasema ulimwengu kuweza kuwa na mabaya, hata kama Mungu hayupo, ni contradiction bado. Na unaihoji hii contrsdiction hata katika ulimwengu ambao Mungu hayupo.

Ulimwengu kuweza kuwa na mabaya tu si contradiction. After all, what does that contradict? A contradiction must have two parts.Diction and its contra. Put that togeth3r, you get contradiction.

This contradicts that. A contradicts B. Ulimwengu kuweza kuwa na mabaya in itself is not a contradiction.

Ila, ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya (item A) ulioumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote (item B) ni contradiction.

Item A contradicts item B.

Ama Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo, na ulimwengu unaoruhusu mabaya haupo.

Au, ulimwengu unaoruhusu mabaya upo, na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Viwili hivi haviwezi vyote kuwepo pamoja. Kwenye set theory vinaitwa "mutually exclusive".

Na tunaona ulimwengu unaoruhusu mabaya upo, tuna ushahidi.

Conclusion?

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Habari za kuwepo kwake ni hadithi tupu za watu tu.
 
Sababu 10 Kuamini Mungu Yupo​

Picture

1. Kilichoanza huanzishwa na Muanzilishi
Kila kitu ulimwenguni kina mwanzo ulioanzishwa. Aya hii ipo hapa kwa kuwa mwandishi alimwaga wino juu ya ukurasa huu. Nani aliye hai ambaye hakupokea uhai toka kwa wazazi? Ni mama yupi anayepasisha kwa wanawe uhai ambao hakuupokea kutoka kwa waliomtangulia? Mwanzoni mwa mapokezano hayo ya uhai yupo nani kama si Yeye Aliye na uzima, uzima usio wa kupewa au kuazimwa? Pasipo Mwenye-kitabu hakuna kitabu cha kuazimwa. Tuna uhai wa kuazimwa kwa kuwa yupo Mwenye uhai aliyetuazima. Yeye daima "hapatikani na mauti" (1Tim 6:16); na "ndani yake yeye tunaishi, tunakwenda, na kuwa na uhai wetu" (Matendo 17:28)

Picture

2. Mabadiliko huletwa na Mbadilishaji
Vitu vyote hubadilika: iwe mata (matter) au nguvu (energy), wakati (time) au nafasi (space). Mwenye hekima mmoja alisema vizuri, ‘hakuna kisichobadilika isipokuwa badiliko lenyewe.” Kwa kutazama kwa macho au darubini, vitu vina uwezekano wa kubadilika na si uwezo wa kubadilika. Mchanga huhamishwa na upepo na ua ukaushwa na jua. Uwezo wa kubadilika hutoka nje ya kitu husika. Kwa kuwa ulimwengu katika ujumla wake unabadilika, basi yupo Mleta-mabadiliko nyuma yake. Kama hayupo Mbadilishaji basi ulimwengu ungebakia ulivyokua daima. Mleta-Mabadiliko Mkuu wa ulimwengu yupo, yeye habadilishwi na habadiliki. Biblia inamtaja huyo kama,"Baba wa mianga; [ambaye] kwake hakuna kubadilika, wala kivuli cha kugeuka-geuka" (Yakobo 1:17; lingasha na Malaki 3:6; Waebrania 3:18; Zaburi 102:24-27)

3. Sanaa humtangaza Msanii
Ulimwengu ni sanaa iliyobuniwa. Tupia macho nyota za angani au maua ya kondeni. Ni nini mbele yako? Si uzuri huo? Aidhaa uzuri huo umebuniwa na mbuni aliyejipanga au umeibuliwa na mlipuko usiokusudiwa (wanafizikia wauita, “big bang”). Lakini, iweje mlipuko usiopangilika uzue maumbile yaliyopangilika? Waweza kuamini herufi hizi usoni mwako ni matokeo ya wino uliojimwagikia badala ya binadamu aliyefikiria? Daima, sanaa hubuniwa na kubakia mali halali ya msanii. Kufurahia uvumbuzi na kutomtambua mvumbuzi ni nini kama si ubakaji wa sanaa, ukatili kwa msanii, na ukiukwaji wa haki ya msanii kutambulika? “Kwa sababu mambo yake [Mungu]….yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake; yaani, uweza wake wa milele na Uungu wake; hata wasiwe na udhuru” (Warumi 1:20😉
Picture

4. Hali ya kutambua/ kutambulika yatoka kwa Mwasisi-Mtambuzi
Ulimwengu uliobuniwa unatambulika. Kilimanjaro ya theluji au ngorongoro ya kijani yatambulika kwa macho. Ijapokuwa tunautambua ulimwengu lakini wenyewe haujitambui. Mata (matter) na nguvu (energy), mwamba na umeme, kompyuta na roboti havijitambui. Havina utambuzi wa nafsi. Haviwezi kutambua nafsini kwa kufikiri, kusikiliza, kukumbuka, kuongea, kuhisi, kuhiari, na hapo hapo kung’amua walichokitambua. Mwanadamu anatoa wapi utambuzi huo? Kama gesi iliyojilipukia (“big bang”) ilizua wanadamu wenye utambuzi, iweje chanzo kisichojitambua (mlipuko) kitofautiane na zao lake linalojitambua (mtu)? Hakika, wanadamu wenye ufahamu wametoka kwa Muumba mwenye-ufahamu. Mtu anamtambua Muumba na Muumba anamtambua mtu—wawili wanafahamiana hata kama wachukua muda kujuana. Mungu ndiye "akiisha kuwawekea walimwengu nyakati alizoziamuru tangu zamani, na mipaka ya makazi yao; ili wamtafute Mungu, ingawa ni kwa kupapasa-papasa, wakamwone, ijapokuwa hawi mbali na kila mmoja wetu." (Matendo 17:26b,27)

5. Wazo lenyewe linaakisi uhalisia wake
Wanadamu wote wanamuwazia Mungu. Waumini, wasioamini, au wanaodai hawajui kuwa Mungu yupo huwa wanachukua msimamo wao baada ya kuingiwa na kupambana na wazo lenyewe. Lakini, wazo linatua kichwani likitokea wapi? Aidha wazo limetoka ndani ya mtu au nje. Tujuavyo, chanzo huwa kikuu kupita matokeo yake (Mjapani ni mkuu kuliko Toyota). Kwa kuwa “Mungu” wa vichwani mwao hufikiriwa kuwa mkuu (katika wema, uweza na busara) kuliko yeyote wanayemjua (kuliko baba au mama), basi dhana ya uwepo wa Mungu ni akisi ya uhalisia uliopo nje ya vichwa vyao. Dhana haikuibuka vichwani mwao kama uyoga. Kutoka nje, Mungu ameweka, "milele ndani ya mioyo" yao. Ndiyo maana, pamoja na mahangaiko ya kitambo na wakati uliopo, kwa kujua au kutokujua, watu wote huangaikia umilele, hatima yao baada ya maisha yao duniani (Mhubiri 3:11; Matendo 17:26,27).
6. Usemi ‘Mungu yupo’ hudai uwepo wa Mungu
Usemi wowote uletao maana hupangika kisarufi bila kugongana kimantiki. "Duara ni pembe tatu" Sarufi? Sawa. Maana? Hakuna. “Mungu hayupo” huangukia hukumu hiyo hiyo. Vichwani mwetu, "Mungu" ni Yeye astahiliye kuabudiwa kwa kuwa ni Mkamilifu katika uweza na uadilifu. “Mungu” ataitwa Mungu kwa kuwa yupo. Mrembo aliyeko kwenye jeneza si mrembo, na “Mungu” asiyekuwepo si “Mungu.” Kusema, ‘"Mungu” hayupo’ ni kumhesabu Aliye hai miongoni mwa wasio hai. Mtu huthubutu vipi kusema “Mungu hayupo” kama hajateleza ulimi pasipo kujitambua? (Zaburi 51:1-2;14:1-2). “Duara ni nyuzi 360” na “Mungu yupo” ni tungo mbili sahii kwa muundo na maana zake.
7. Kufahamika kwa maadili hutangaza Mtunzi wake
Yapo maadili-msingi yanayotambuliwa na watu wa kila zama na kila mahali. Japo wanaishi mbele ya utisho wa kutoweka na kila huyo akipambana abakie, watu wote wanajua nafsini mwao kutunza uhai wa wengine ni muhimu kuliko kuupoteza, kuonesha huruma ni bora kuliko ukatili, urafiki kuliko usaliti. Wanaafiki heshima yafaa kuliko dharau, ushujaa kuliko woga, bidii kuliko uvivu, ukweli kuliko uongo, kutakiana heri kuliko kuoneana wivu, na kuridhika kuliko kutamani. Kufahamika kwa maadili yanayofanana ulimwengu kote ni uthibitisho wa uwepo wa mtunzi wake mmoja. Baba wa mema yote amewaachia wanadamu kanuni 10 za namna ya kuishi na akaziandika kwa wino usiofutika (Kutoka 20; Warumi 2:14,15). Maadili ya Bwana Mungu hutia mjinga hekima na kumpatia raha moyoni. Sheria yake ni kweli na haki. Tena ni tamu kuliko asali na hutamanika kuliko dhahabu safi (Zaburi 19:7-14). Kwa nini kizuri kisijitangaze?
Picture

8. Sauti ya dhamira inayohukumu ushuhudia hakimu anayehukumu
Tofauti na wanyama, mwanadamu mwenye ufahamu ana dhamira inayomsonda au "sauti ndogo" nafisini. Sauti hii hujuza mema ("fanya hivi") na mabaya ("usifanye hivyo"). Kama ladha ilivyo kwa vyakula ndivyo dhamira ilivyo kwa maadili. Dhamira uhukumu: umtetea mtu na kumletea amani; pengine, umshutumu na kumletea huzuni. Hata isemaje, watu wote hukubali ni vema kutii dhamira yako. Lakini, dhamira imepata wapi mamlaka hayo ya kusikilizwa? Kutoka maumbile yangu asilia? Iweje asili iliyo chini yangu inikalie? Iweje nihuzunike ninapoiasi ikiwa mimi ndiye niliyeitunga? Kama imepewa mamlaka na jamii iliyonilea, iweje wana jamii walio sawa nami wawe juu yangu? Ni nani aliye na sauti ya mwisho kunipeleleza niliye chini, halafu kuniruhusu au kunikataza kabla sijatenda, kunitetea au kunishtaki baada ya kutenda? Hakika, "pumzi [neshamah kiebrania, au roho, dhamira,] ya mwanadamu ni taa ya Bwana; hupeleleza yote yaliyomo ndani yake" (Mithali 20:27)

9. Tamaa ya asili hutimizwa na kitu halisi
Kila hitaji asilia hutimizwa na kitu halisia. Njaa huzimwa na chakula. Upweke humalizwa na mpenzi. Kwa kila haja ya kimambile lipo jibu nje ya maumbile husika. Lakini ipo tamaa ya kibinadamu isiyoweza kutoshelezwa na mazingira ya mwanadamu. Elimu ya kidunia na ajira mali na madaraka na mapenzi haviwezi kukidhi haja hiyo. Nani asiyetamani kufurahia ua lisilonyauka, muziki usiochuja, na upendo usiopoa. Nani hana hamu ya kukutana na rafiki pasipo kuagana, kucheka pasipo kulia, na kuzaliwa pasipo kufa? Nani asiyependa kuongea na kusikilizwa, kugusa na kuguswa, kujua na kujulikana, na kupenda na kupendwa. Shauku ya kufaidi uzima katika ukamilifu wake ni kiu halisi ya ulimwengu huu na utimizo wake hupatikana katika uhalisia wake nje ya ulimwengu. Zaidi ya ulimwengu upo uhalisia, Mungu Baba halisi, utimilifu wa tamaa ya vizazi vyote. "Kila kipaji chema na kila zawadi kamilifu hutoka mbinguni; hutoka kwa Baba, Muumba wa mianga,...” (Yakobo 1:17)
Picture

10. Uzoefu wa wengi ni ushuhuda wa nguvu
Historia na anthropolojia hushuhudia kuwa uzoefu wa dini ni wa kiulimwengu. Watu wa kila zama na tamaduni wamedai kuwa na uzoefu na "Uungu." Wamemkaribia “Mungu” kwa kusujudu, kuheshimu, kusifu, na kushukuru. Je! Yawezekana waabudu wote hao wanainama kiti kilicho tupu? Kwamba uzoefu wanaoujua sio halisia? Kweli, hapo kale walimwengu wengi walijua kimakosa kuwa jua linaizunguka dunia. Lakini uzoefu wao ulikuwa sahii. Kwa uzoefu walijua bila kukosea kuwa jua lipo, dunia ipo na mzunguko upo. Huenda waabudu wakakosea kujua Mungu yukoje, lakini haiwezekani wakakosea kujua yupo. Ikiwa wengine hawajui uzoefu unaojulikana sana, huenda shida ni mishipa ya fahamu, mishipa iliyopoteza uwezo wake wa kuhisi na kujua. “Kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza.” (Warumi 1:21)

Picture
Kwanza sitaki kuamini nataka kujua.

Pili, unaelewa kwamba ukisema kila kitu kimeanzishwa na muanzilishi, unakubali Mungu mjuzi wa yote mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo?

Unaelewa kauli hiyo kimsingi inasema hata Mungu ana muumba wake, na huyo muumba wake ana muumba wake, na huyo muumba wa muumba wake ana muumba wake, ad infinitum, ad nauseam?

Na hivyo kihalisia hakuna Mungu muanzisha yote, kuna mfululizo wa kuumbana?
 
Vita ya hao wachungaji dhidi ya Tb Joshua ulianza siku nyingi sana. Tb J alisema haitaji ushahidi au uthibitisho wowote na kwa mtu yoyote kwamba amebatizwa au kumkiri Yesu kama ilivyokua madai yao.

Walitaka uthibitisho ili wamsaidie nini? Je, kwa sababu hakutoa uthibitisho kwao na hawamtambua mpaka sasa, je, kumezuia yeye kufanikisha kusudi alilo mwitia Mungu?

Tb kukataliwa sio ajabu sababu hata aliemtuma yaani Yesu alikataliwa na hata kuuwawa
 
Kama hujaokoka hupaswi kujadili habari na Mtumishi huyu. Kwanza haikuhusu Wanaohusika nae wamenyamaza
Yaani hawamjui Tb J hata kidogo. Watu wengine tumeanza kufwatilia huduma zake tangu tukiwa wadogo na tumeona msaada wa mafundisho yake kwenye maisha yetu...mtu anadandia juu juu tu baada ya kifo chake
 
Hahahaha.
Huwa siwafuatilii hadi wawe kwenye headline. Simuamini hivyo kufuatilia habari zake hadi liwepo tukio. Sadaka we toa tu ila amini umempa Mungu kupitia watu wake. Ukigundua ni wasanii pelekea hata yatima au Bibi kijijini asogeze siku uchote na baraka.

Mwizi tunajua, ila yeye jamaa wanasema hawajui wala hajasema. Ya tumboni akiwa zygote hiyo wanagoma. Hahaha
Sasa kama huwafwatilii udhaifu na uzuri wao unaujulia wapi? Unawezaje kumkosoa mtu na huna evidence zenye mashiko?
 
Back
Top Bottom