Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vita ya kugombea waumini inahusika hapa. Temitope Joshua alikuwa anawaburuza kwa wafuasi wengi hence sadaka ya kutosha. Kwa kifo chake wapo viongozi wa makanisa watakao'nnya' mafungu mafungu kwa furaha. Dunia simamaaaaa nishuke.
{A} Mungu mjuzi wa yote,mwenye uwezo wote na upendo wote.Ulimwengu huu unawezekana kuwepo bila Mungu. In fact, ulimwengu huu hauwezi kuwepo ikiwa huyo Mungu yupo.
Umeng'ang'ania kwamba huyo Mungu ndiye lazima awe chanzo cha ulimwengu.
Hujakubali kwamba ulimwengu inawezekana umekuwepo bila Mungu kuwepo.
Ndiyo maana ulimwengu una mabaya.
Ni muhimu uelewe kwamba, contradiction ya kuwepo ulimwengu wenye kuruhusu mabaya inakuwepo tu ikiwa ulimwengu huo umeruhusiwa kuwepo na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Mungu huyo kuumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na mabaya ndiyo conradiction yenyewe.
Ikiwa ulimwengu umetokana na sababu nyingine, tofauti na huyo Mungu, hapo hakuna contradiction.
Naona post yako imeandikwa kwa mtazamo wa mtu ambaye hajaelewa contradiction iko wapi.
Ni kama vile unasema ulimwengu kuweza kuwa na mabaya, hata kama Mungu hayupo, ni contradiction bado. Na unaihoji hii contrsdiction hata katika ulimwengu ambao Mungu hayupo.
Ulimwengu kuweza kuwa na mabaya tu si contradiction. After all, what does that contradict? A contradiction must have two parts.Diction and its contra. Put that togeth3r, you get contradiction.
This contradicts that. A contradicts B. Ulimwengu kuweza kuwa na mabaya in itself is not a contradiction.
Ila, ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya (item A) ulioumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote (item B) ni contradiction.
Item A contradicts item B.
Ama Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo, na ulimwengu unaoruhusu mabaya haupo.
Au, ulimwengu unaoruhusu mabaya upo, na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Viwili hivi haviwezi vyote kuwepo pamoja. Kwenye set theory vinaitwa "mutually exclusive".
Na tunaona ulimwengu unaoruhusu mabaya upo, tuna ushahidi.
Conclusion?
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Habari za kuwepo kwake ni hadithi tupu za watu tu.
Kwa sababu, Mungu huyo na ulimwengu huu ni vitu viwili vilivyo mutually exclusive.{A} Mungu mjuzi wa yote,mwenye uwezo wote na upendo wote.
{B} Kaumba ulimwengu wenye maovu.
Vitu hivyo viwili ukiviweka pamoja ndio inakuwa contradiction kwa maana haiwezekani huyo Mungu kuwa ndio kaumba huu ulimwengu, na kwa sababu huo ulimwengu unaodaiwa kuumbwa na huyo Mungu upo maana yake huu ulimwengu haujambwa au kuundwa na huyo Mungu.
Sasa hoja yangu ni kwamba kwanini unakimbilia kuhitimisha kuwa huyo {A}Mungu mwenyewe upendo wote ujuzi wote na uwezo wote kuwa hayupo na si kufikiri kwamba huyo Mungu wa sifa hizo hahusiki na na uumbaji wa {B}ulimwengu wenye maovu? kwa sababu contradiction hapa ipo kwa huyo Mungu kuwa ndiye kaumba huu ulimwengu sasa suala la kusema kuwa huyo Mungu hayupo hilo jambo unalilazimisha tu hapa kwa sababu kama nilivyosema kuwa inawezekana huyo Mungu akawepo ila asiwe anahusika na kuwepo kwa huu ulimwengu.
Ni vp hivyo vitu viwili haviwezi kuwepo ikiwa havihusiani? narudi tena kwamba hoja yako ya contradiction ipo Kwenye huyo Mungu kuhusishwa na huu ulimwengu sasa ikiwa hivyo vitu viwili havihusiani utasemaje haiwezekani vyote kuwepo?Kwa sababu, Mungu huyo na ulimwengu huu ni vitu viwili vilivyo mutually exclusive.
Mungu huyo akiwepo, ulimwengu huu hauwezi kuwepo.
Ulimwengu huu ukiwepo, Mungu huyo hayupo.
Ulimwengu huu upo.
Hivyo, Mungu huyo hayupo.
Kwa nini unasema vitu viwili hivyo havihusiani?Ni vp hivyo vitu viwili haviwezi kuwepo ikiwa havihusiani? narudi tena kwamba hoja yako ya contradiction ipo Kwenye huyo Mungu kuhusishwa na huu ulimwengu sasa ikiwa hivyo vitu viwili havihusiani utasemaje haiwezekani vyote kuwepo?
Hivyo vitu viwili vikihusishwa ndio inatokea hiyo contradiction, sasa hapo huwezi kusema tu Mungu hayupo kwa sababu ya hiyo contradiction maana suala la Mungu kuwa hayupo ni jambo lengine si sababu ya hiyo contradiction, contradiction hapa ni kuhusishwa vitu viwili huyo Mungu anayeelezewa na huu ulimwengu kuwa ndio kaumba hapo ndio kwenye contradiction yako.Kwa nini unasema vitu viwili hivyo havihusiani?
Tabia ya huyo Mungu ya upendo wote haitaruhusu aache ulimwengu wenye magonjwa, njaa, matetemeko, ma tsunami etc uwepo.
Uwezo wote na ujuzi wote unamfanya aweze kuumba ulimwengu ambao hauna na hauwezi kuwa na mabaya hayo.
Ulimwengu wenye mabaya hayo ukiwepo, Mungu huyo hayupo.
Wanathibitisha mkuu!Hizi dini uongo mtupu mwanzo mwisho.
Hakuna hata mmoja anayeweza kuthibitisha huyo Mungu yupo.
Mungu mwenye upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote hawezi kuwepo akaruhusu ulimwengu wenye mateso mengi uwepo.Hivyo vitu viwili vikihusishwa ndio inatokea hiyo contradiction, sasa hapo huwezi kusema tu Mungu hayupo kwa sababu ya hiyo contradiction maana suala la Mungu kuwa hayupo ni jambo lengine si sababu ya hiyo contradiction, contradiction hapa ni kuhusishwa vitu viwili huyo Mungu anayeelezewa na huu ulimwengu kuwa ndio kaumba hapo ndio kwenye contradiction yako.
Nani? Wapi?Unahakikishaje wanathibitisha?Wanathibitisha mkuu!
We huwezi kuwaelewa ila wenyewe kwa wenyewe wanathibitishiana kupitia vitabu vyao wenyeweNani? Wapi?Unahakikishaje wanathibitisha?
Inawezekana kwel Mungu yupo Ila kwa din apo na uhakika tulidanganywa na dhumun la kudnganywa Ni ili tutawalike kirahisHizi dini uongo mtupu mwanzo mwisho.
Hakuna hata mmoja anayeweza kuthibitisha huyo Mungu yupo.
Sasa kama Mungu hahusiki na huu ulimwengu hiyo hoja ya Mungu kutoruhusu ulimwengu wenye mateso inakujaje ikiwa hahusiki na huu ulimwengu?Mungu mwenye upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote hawezi kuwepo akaruhusu ulimwengu wenye mateso mengi uwepo.
Ama Mungu huyo yupo na ulimwengu huo haupo.
Ama ulimwengu huo upo na Mungu huyo hayupo.
Ulimwengu huo upo, ni huu tunaouona.
Hivyo, Mungu huyo hayupo.
Hii ndiyo sababu huwezi kuthibitisha Mungu huyo yupo, unabaki kuamini tu.
Kama unabisha, thibitisha Mungu huyo yupo.
Kwan akiamin hayupo lakini akamkuta atamfanya Nini wakati yeye mwenyewe kaamua asionekane Wala kudhibitika mpka kuleta taharuki kma hiiKatika karne ya 19 Alfred Wegner alitoa wazo la continental drift, lakini kulingana technologia duni ya wakati huo jumuiya ya wanasayansi duniani ilimcheka na kutupilia mbali wazo lake, But guess what! Katika karne ya 20 his idea was not only proven but also accepted.
Huo ni mfano wa idea ambayo ilikua karibu na uwezo wetu kibinadamu na ilichukua karne moja kuthibitishwa. Now! Think of an idea that is greater than any one of us could ever imagine, the idea that cannot be proven yet, Idea ya uwepo wa Mungu.
Bila uthibitisho inamaanisha Mungu yupo na Mungu hayupo at the same time, na hapa ndipo dini/imani inapo anzia. Kuamini uwepo wa Mungu ni imani, na kuamini kutokuwepo kwa Mungu ni imani pia maana huna uthibitisho wa kutokuwepo kwa Mungu. Je! Ni nani anajidanganya?
Ni bora uamini yupo usimkute kuliko uamini hayupo umkute[emoji23][emoji23].
[emoji1] Kama kawaida mzeeHizi dini uongo mtupu mwanzo mwisho.
Hakuna hata mmoja anayeweza kuthibitisha huyo Mungu yupo.
Mbona nasikia huyo TB joshua ni cha mtoto hata 8 bora kwa utajiri wa wachungaji huko naija hayumo.Waongo wivu tu unawasumbua. Kabla T. B Joshua hajaanza Huduma alikuwa muumini wa kanisa nadhani kijijini kwake. Ila baba huyu hakuomba msaada na hakujipendekeza kwao. Alianzisha Huduma mwenyewe bila msaada was mtu. Alikubalika sana ulimwenguni. Wao wanajulikana Nigeria tu. Huyu alimpact watu wa mataifa mengi. Wanasumbuliwa na jealousy hao achana nao.