TB Joshua hakuwahi kubatizwa wala kumpokea Yesu! Nimeshangaa sana

TB Joshua hakuwahi kubatizwa wala kumpokea Yesu! Nimeshangaa sana

Sasa kama Mungu hahusiki na huu ulimwengu hiyo hoja ya Mungu kutoruhusu ulimwengu wenye mateso inakujaje ikiwa hahusiki na huu ulimwengu?
Inakuja kwa sababu wewe unasena yupo.

Wqkati ulimwengu huu kuwapo unaprove huyo Mungu hayupo.

Unaelewa concept ya mutual exlusivity?
 
Inawezekana kwel Mungu yupo Ila kwa din apo na uhakika tulidanganywa na dhumun la kudnganywa Ni ili tutawalike kirahis
Thibitisha Mungu yupo, usiseme tu inawezekana yupo.
 
We huwezi kuwaelewa ila wenyewe kwa wenyewe wanathibitishiana kupitia vitabu vyao wenyewe
Hujajibu nani.

Hujajibu wapi.

Hujajibu unahakikishaje wanathibitisha.

Hayo ndiyo maswali niliyokuuliza.
 
Thibitisha Mungu yupo, usiseme tu inawezekana yupo.
Sasa Kama yeye kaamua kujificha mm nadhibitisha vip? Swala la yeye kuwepo au kutokuwepo atajua mwenyewe bhna kma kweli yupo alafu katuficha then akaniadhibu kwa mm kutokuamni kwngu yupo na kuambia hyo haitakuwa haki
 
Inakuja kwa sababu wewe unasena yupo.

Wqkati ulimwengu huu kuwapo unaprove huyo Mungu hayupo.

Unaelewa concept ya mutual exlusivity?
Ukimuhusisha huyo Mungu na huu ulimwengu ila kama hahusishwi na huu ulimwengu hayo maovu ya dunia yatamuhusu vp?
 
Hawa wanaojiita manabii, 98% ni wizi mtupu. Wachache wana agenda ya kumtukuza Mungu. Wanauza kuanzia maji, mafuta, chumvi mpaka mambo mengine yasiyojulikana. Kuna biashara au mengine?
 
Ukimuhusisha huyo Mungu na huu ulimwengu ila kama hahusishwi na huu ulimwengu hayo maovu ya dunia yatamuhusu vp?
Yanamhusu kwa sababu tabia yake ya upendo wote inazuia maovu yasiwezekane, uwezo wake wa kuweza yote na ujuzi wake wa kujua yote unampa nguvu ya kufanya ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya mabaya usiweze kuwepo.

Ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya ukiweza kuwepo, maana yake Mungu huyo hayupo.

Na Mungu huyo akiwepo, ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya hauwezi kuwepo.

Ulimwengu unaoruhusu mabaya upo.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.
 
Sasa Kama yeye kaamua kujificha mm nadhibitisha vip? Swala la yeye kuwepo au kutokuwepo atajua mwenyewe bhna kma kweli yupo alafu katuficha then akaniadhibu kwa mm kutokuamni kwngu yupo na kuambia hyo haitakuwa haki
You are all over the map like a Magellan fleet.

Kwa mantiki hiyo lolote linawezekana, kwa sababu yoyote iliyojificha na kusema lolote linawezekana ni sawa na kusema lolote haliwezekani, kwa sababu zinazoweza kujificha. Na lolote linamaanisha kila kitu na halimaanishi chochote, kwa wakati huo, au wote au bila wakati.

Basically, a mess of chaotic unreason.

Bora usingeandika kitu.
 
Kwan akiamin hayupo lakini akamkuta atamfanya Nini wakati yeye mwenyewe kaamua asionekane Wala kudhibitika mpka kuleta taharuki kma hii
Tatizo sitaki kuamini tu, nataka kuelewa na kujua, na hakuna aliye prove kwamba Mungu yupo.
 
Yanamhusu kwa sababu tabia yake ya upendo wote inazuia maovu yasiwezekane, uwezo wake wa kuweza yote na ujuzi wake wa kujua yote unampa nguvu ya kufanya ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya mabaya usiweze kuwepo.

Ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya ukiweza kuwepo, maana yake Mungu huyo hayupo.

Na Mungu huyo akiwepo, ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya hauwezi kuwepo.

Ulimwengu unaoruhusu mabaya upo.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.
Huelezi hasa kvp imuhusu? huwezi kusema tu et kwa sababu ana sifa ya upendo wote na ujuzi wote, hoja yako ya contradiction maana yake ni kwamba huyo Mungu hahusiki na huu ulimwengu kuvihusisha hivyo vitu viwili hufanya contradiction,sasa ajabu unalazimisha tena kumuhusisha huyo Mungu na huu ulimwengu.
 
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuachia ulimwengu wenye mabaya kuweza kutokea wakati yeye ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuzuia ulimwengu huo usiweze kutokea ni kama kusema kasinzia kazini.

Sasa huyo Mungu hapo hapo ana uwezo wote kuzuia ulimwengu wenye mabaya, hapo hapo anasinzia kazini ulimwengu wenye mabaya unatokea?
 
Tatizo sitaki kuamini tu, nataka kuelewa na kujua, na hakuna aliye prove kwamba Mungu yupo.
Mungu yupo Tena yupo katka utatu , maji , jua na ardhi ndio Mungu nafkiri nimekuzbitishia na ndio kaumba viumbe vyote na ndie mwenye mamlaka ya kutoa uhai kwa kila kiumbe , Ngoja nikupe mfano ukasema mungu ayupo binadamu katokea tu haingii akilin kulko kusema Mungu yupo , mfano tupo wawil tunatembea tukakuta saa barabaran imedondoka ,alafu mm nikasema hii saa imetokea tu kwanza utaniona mm Ni kichaa , kwasabu hyo saa lazma Kuna mmiliki wake kaidondosha apo , ata binadamu na viumbe vyote vina chanzo chake,Tena hicho chnzo Kina akili sana, tazama mifumo mblmbal ya mwil , mfumo wa brain ilivyopangiliwa kitaalamu , mfumo wa mzunguko wa damu , mfumo wa upumuaji , mfumo wa utoaji taka mwil , mfumo wa uzaz , utajua kabsa umepangiliwa kitaalamu sna na mtaalmu mwenye akili ya ajabu , Ndo maana mantiki ya Mungu yupo inaingia akili kuliko ya kutokuwepo ,. Tatzo lako Unahisi Mungu Ni kiumbe chenye damu na nyama ndo maana unataka udhibitisho wa kisayansi , wanasayansi wenyewe wanaamin jua lipo na vtu gan vipo kwenye jua kwa kuangalia matokea yake . Mungu Ni nishati flan yenye nguvu Zaid yako na chochte kile ukiwa kwenye ulimwengu wa nyama hauwez dhibitisha ulimwengu wa roho . Pia ukitaka kudhibisha vingi ambavyo hao wanasayansi walikuficha ili usiwe na maarifa kuliko wao jarbu kufanya meditation (Astra body projection) utakuja kujua we Ni Zaid ya ulivyo , pia utadhibitisha pekee yako , Kuna ulimwengu mwngne Zaid ya huu unaouona kwa macho.
 
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuachia ulimwengu wenye mabaya kuweza kutokea wakati yeye ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuzuia ulimwengu huo usiweze kutokea ni kama kusema kasinzia kazini.

Sasa huyo Mungu hapo hapo ana uwezo wote kuzuia ulimwengu wenye mabaya, hapo hapo anasinzia kazini ulimwengu wenye mabaya unatokea?
Mungu kakupa uwezo wa ww binadamu wa kutambua mema na mabaya kakupa Uhuru wte bila yeye kukuingilia kimawazo . Hayo mabaya unayoyaona sjui matetemeko magonjwa na mengne mengi , Ni maamuz ya binadamu mwenyewe kaamua kuchakua upande huo wa mabaya kwa madhumuni flan bila kuingiliwa na Mungu Kama alivyoamua kutupa uwezo wa kujiamulia kusuka au kunyoa Uharbifu wa mazngra umechangia hayo majanga unayoyataja , pia ata magonjwa mengi yanasbabishwa na machaguo yetu wenyewe, na mengne tumeyatengeneza kwa sbbu za kibiashara . Kifo kwa sabbu za uzee Ni matokeo ya huu mwili kuchka tu ili tuishi Tena kwenye ulimwengu mwngne wa kinishati Zaid . Mfono hautaweza sema Albert enstern hayupo kwa sababu technology aliyo igundua dunia imeamua kuitumia kutengeneza atomic bom na kusababisha madhara makubwa (kule Japan) Albert katupa uwezo wa kuitumia hyo technology kwenye mazur na mabaya Sasa apo maamuz yako ndio yatakusaidia ww upate matokea chanya au hasi bila kuingiliwa na muumbaji wa hyo technology
 
Marehemu Tb Joshua alikuwa Muisilamu mwenzetu sema unajua tena katika shughuli za utafutaji.
 
Mtumishi wa Mungu kaishi maisha yake yote akimtumikia Mungu na kubadilisha maisha ya wengi, Leo hii amemaliza mwendo ndio mnaanza kumjudge eti hakuwahi kumpokea kristo? Wapentekoste ndio maana makanisa yenu hayaendelei, mnajihesabia haki sana na kusahau kumhubiri yesu.
 
Una USHAHIDI na hilo?
Naam, Ustaadh Tb Joshua alilelewa na Mjomba wake ambaye ni Muisilamu kabla ya kufungua Sinagogi la ujasiria mali ili mkono uende kinywani, na sasa amerejea kwa Allah.
 
Back
Top Bottom