Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Huyo Mungu tabia zake ziko mutually exclusive na uwepo wa ulimwengu ilunaoruhusu mabaya kuwepo.Nimekuuliza huyo Mungu kazi yake kuzuia ulimwengu wenye mabaya? maana kama ni upendo hata binaadamu wanao upendo,ujuzi na uwezo.
Nimekuuliza, unajua "mutual exckusivity" ni nini?
Hujaj8bu. Tuj8k8te hapo kwanza maana haoo ndipo pana mzizi wa fitina.
Kwenye hqbari za binadamu.
Kwa hiyo unafananisha ujuzi, uwezo na upendo wa binadamu na wa huyo Mungu?
Kwamba huyo Mungu wako ujuzi wake ni sawa na ujuzi wa watabiri wa hali ya hewa wanaoweza kukuambia kesho itanyesha mvua, halafu kukawa na jua kali bila hata wingu wala mvua yoyote?