mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,108
- 3,155
Mkuu naona unajaribu kunyunyizia petrol moto ulipuke vizuriMarehemu Tb Joshua alikuwa Muisilamu mwenzetu sema unajua tena katika shughuli za utafutaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naona unajaribu kunyunyizia petrol moto ulipuke vizuriMarehemu Tb Joshua alikuwa Muisilamu mwenzetu sema unajua tena katika shughuli za utafutaji.
Sitaki kuamini, nataka kuelewa na kujua.Hivi mkuu unaamini kuna electrons,protons,gama rays na beta rays?
AU wapi sayansi imethibitisha kuwa hakuna MUNGU
Ukipata muda naomba umchunguze na baba askofu Gwajima Kama amempokea yesu na kubatizwa ili nijue sadaka yangu jumapil naipeleka kwake au nitombeee tu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kampala kwa m7 au Kampala ya Samia?View attachment 1817234nakupa namba ya hio pisi kali kutoka kampala ukamalizie shida zako, incase jibu la Gwajiboy likija negative[emoji28][emoji28]
WAPI:kwenye nyumba za ibada ukisoma maandikoHujajibu nani.
Hujajibu wapi.
Hujajibu unahakikishaje wanathibitisha.
Hayo ndiyo maswali niliyokuuliza.
Nikisema naamini wewe ni robot, si mtu.WAPI:kwenye nyumba za ibada ukisoma maandiko
NANI:mapadri/wachungaji,ma imamu na manabii
NATHIBITISHAJE:kupitia nguvu ya imani
Hapana! itahitaji uthibitishoNikisema naamini wewe ni robot, si mtu.
Hapo nimethibitisha kwamba wewe ni robot, si mtu, kwa nguvu ya imani?
Kwa nini tuhitaji uthibitisho?Hapana! itahitaji uthibitisho
Unaweza kuamini hivyo, lakini lazima utathimini ubora na uhalisia wa unachokiamini.Kama tunaenda kwa imani tu.
Kwa nini niamini nimezaliwa na nisiamini sijazaliwa nimekuwapo tu siku zote?
SwadaktaaKama hujaokoka hupaswi kujadili habari na Mtumishi huyu. Kwanza haikuhusu Wanaohusika nae wamenyamaza
Hata kusema tu Mungu hawezi kuwepo(siyo measurable).Kuwepo kwa machafuko ulimwenguni bado siyo uthibiti wa kutokuwepo kwa MUNGU,Sitaki kuamini, nataka kuelewa na kujua.
Hizo electrons, protons na gamma rays si vitu vya kuamini. Ni vitu vya kuelewa na kujua, vinapimika, vinaeleweka, hata wewe hapa unavitumia. Havina contradiction kama iliyopo kwenye habari za kuwepo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Sayansi imethibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, hawezi kuwepo.
Kwa sababu, angekuwepo, asingeruhusu ulimwengu unaoruhusu mabaya, magonjwa, njaa, matetemeko ya ardhi, ma tsunami, vita etc kuwepo.
Ulimwengu huu kuwepo ni "mutually exclusive" na uwepo wa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote.
Maana yake ni.
1. Unaweza kuwa na ulimwengu huu unaoruhusu mabaya, ikiwa tu, huyo Mungu hayupo.
2. Huyo Mungu anaweza kuwa yupo, ikiwa tu ulimwengu huu unaoruhusu mabaya haupo.
Ulimwengu huu unaoruhusu mabaya upo.
Hivyo, Mungu huyo hayupo.
Mkuu ina imani zake,kuna kipindi sayansi iliishi kwa theories(mf geocentric na baadae heliocentric) usikute hata heliocentric theory ikabadilikaKwa nini tuhitaji uthibitisho?
Si tunakwenda kwa nguvu ya imani umesema.
Unathibitishaje imani fulani imejengwa kwenye ukweli, na imani nyingine imejengwa kwenye upotofu?
Nilisoma kwenye Daily Nation la Kenya wakawa wameeka Historia yake kuwa amelelewa na Mjomba wake ambae ni Practising Muslim kwakweli nilishangaa.Mkuu naona unajaribu kunyunyizia petrol moto ulipuke vizuri
Watu tuna dini zetu humu mkuu.Nilisoma kwenye Daily Nation la Kenya wakawa wameeka Historia yake kuwa amelelewa na Mjomba wake ambae ni Practising Muslim kwakweli nilishangaa.
Mimi huwa wananijua sio mtu wa ushabiki wa KidiniWatu tuna dini zetu humu mkuu.
Nashangaa mpaka sa hivi hawajakujia na marungu
Kwa muda huu tulipo hatuwezi kupima vitu tukaangalia ukweli na upotofu?Mkuu ina imani zake,kuna kipindi sayansi iliishi kwa theories(mf geocentric na baadae heliocentric) usikute hata heliocentric theory ikabadilika
MAANA yangu ukweli na upotofu wakati mwingine huamuliwa na muda
Kwani kuamini wewe ni robot kunakufanya wewe uwe robot?Hata kusema tu Mungu hawezi kuwepo(siyo measurable).Kuwepo kwa machafuko ulimwenguni bado siyo uthibiti wa kutokuwepo kwa MUNGU,
Kwa wanaoamini wanapata uthibitisho kupitia matokeo ya kile wanachokiamini
Mfano mtu amesumbuliwa na ugonjwa hospital imeshindikana,anaamua kuombewa anapona,lazima ataamini uwepo wa MUNGU kama wewe ulivyoamini mtiririko wa electron na proton katika sakiti ndio unakupa umeme
Kwa nini kuamini sikuzaliwa ni imani dhaifu?Unaweza kuamini hivyo, lakini lazima utathimini ubora na uhalisia wa unachokiamini.
Lakini je, huoni kuwa ni imani dhaifu kuamini kuwa hukuzaliwa?
Hakuwa na hela. Mali yote ilikuwa Mali ya Huduma. Alikuwa mnyenyekevu sana sana.Mbona nasikia huyo TB joshua ni cha mtoto hata 8 bora kwa utajiri wa wachungaji huko naija hayumo.
Popular lakini hamsogelei kabisa mzee wa winners Yule nasikia anamakanisa makubwa hadi ukrain, tanzania tu mkanisa bonge sana pale banana. Wakati TB yeye anapambana na SCOAN tu.
Hii ilikuwa kweli miaka ya 2004 hivi maana nasikia hadi serikali iliwahi kumfungia asitumie TV kwa fitna za hao walokole wenzake. Jamaa kwa ubishi akahamia kwenye satellite na online hapo ndio alikula vichwa afrika nzima hadi wakuu wetu tz