Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Nikikwambia inawezekana wewe ni robot utasemaje wakati kusema hivyo hqkumaanishi wewe uwe robot?Duh aisee! naanza kupata mashaka na utimamu wa ufahamu wako. Neno "inawezekana" ni kauli dhaifu sana, sasa povu linakutoka la nini? et huwezi hata kulipinga.
Ukipinga na kusema wewe si robot, nitasema sijasema wewe ni robot, nimesema inawesekana wewe ni robot.
Maana yake inawezekana usiwe robot.
Kauli ya "inawezekana" is neither here, nor there.
Vague.
Umekimbia mjadala wa kuthibitisha kwamba Mungu yupo na "mutual exclusivity" ya uwepo wa Mungu na ulimwengu unaoruhusu mabaya.
Thibitisha Mungu yupo.