TB Joshua hakuwahi kubatizwa wala kumpokea Yesu! Nimeshangaa sana

Vita ya kugombea waumini inahusika hapa. Temitope Joshua alikuwa anawaburuza kwa wafuasi wengi hence sadaka ya kutosha. Kwa kifo chake wapo viongozi wa makanisa watakao'nnya' mafungu mafungu kwa furaha. Dunia simamaaaaa nishuke.

Mkuu umegonga mulemule kabisa.
Na mimi naamini hiyo ndio sababu, hakuna nyingine. Ule uzushi na unafiki aliousema Mtume Paulo makanisani umetawala sana.
 
{A} Mungu mjuzi wa yote,mwenye uwezo wote na upendo wote.
{B} Kaumba ulimwengu wenye maovu.

Vitu hivyo viwili ukiviweka pamoja ndio inakuwa contradiction kwa maana haiwezekani huyo Mungu kuwa ndio kaumba huu ulimwengu, na kwa sababu huo ulimwengu unaodaiwa kuumbwa na huyo Mungu upo maana yake huu ulimwengu haujambwa au kuundwa na huyo Mungu.

Sasa hoja yangu ni kwamba kwanini unakimbilia kuhitimisha kuwa huyo {A}Mungu mwenyewe upendo wote ujuzi wote na uwezo wote kuwa hayupo na si kufikiri kwamba huyo Mungu wa sifa hizo hahusiki na na uumbaji wa {B}ulimwengu wenye maovu? kwa sababu contradiction hapa ipo kwa huyo Mungu kuwa ndiye kaumba huu ulimwengu sasa suala la kusema kuwa huyo Mungu hayupo hilo jambo unalilazimisha tu hapa kwa sababu kama nilivyosema kuwa inawezekana huyo Mungu akawepo ila asiwe anahusika na kuwepo kwa huu ulimwengu.
 
Kwa sababu, Mungu huyo na ulimwengu huu ni vitu viwili vilivyo mutually exclusive.

Mungu huyo akiwepo, ulimwengu huu hauwezi kuwepo.

Ulimwengu huu ukiwepo, Mungu huyo hayupo.

Ulimwengu huu upo.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.
 
alikua mganga wa kienyeji aliyeboresha namna ya utoaji huduma za kilozi
 
Kwa sababu, Mungu huyo na ulimwengu huu ni vitu viwili vilivyo mutually exclusive.

Mungu huyo akiwepo, ulimwengu huu hauwezi kuwepo.

Ulimwengu huu ukiwepo, Mungu huyo hayupo.

Ulimwengu huu upo.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.
Ni vp hivyo vitu viwili haviwezi kuwepo ikiwa havihusiani? narudi tena kwamba hoja yako ya contradiction ipo Kwenye huyo Mungu kuhusishwa na huu ulimwengu sasa ikiwa hivyo vitu viwili havihusiani utasemaje haiwezekani vyote kuwepo?
 
Ni vp hivyo vitu viwili haviwezi kuwepo ikiwa havihusiani? narudi tena kwamba hoja yako ya contradiction ipo Kwenye huyo Mungu kuhusishwa na huu ulimwengu sasa ikiwa hivyo vitu viwili havihusiani utasemaje haiwezekani vyote kuwepo?
Kwa nini unasema vitu viwili hivyo havihusiani?

Shilingi ina kichwa na mwenge. Ikiangukia kichwa haijaangukia mwenge. Ikiangukia mwenge, haijaangukia mwenge.

Utasemaje kichwa na mwenge havihusiani wakati ukiona imeangukia kimoja hapo hapo unajua haijaangukia kingine?

Tabia ya huyo Mungu ya upendo wote haitaruhusu aache ulimwengu wenye magonjwa, njaa, matetemeko, ma tsunami etc uwepo.

Uwezo wote na ujuzi wote unamfanya aweze kuumba ulimwengu ambao hauna na hauwezi kuwa na mabaya hayo.

Ulimwengu wenye mabaya hayo ukiwepo, Mungu huyo hayupo.
 
Hivyo vitu viwili vikihusishwa ndio inatokea hiyo contradiction, sasa hapo huwezi kusema tu Mungu hayupo kwa sababu ya hiyo contradiction maana suala la Mungu kuwa hayupo ni jambo lengine si sababu ya hiyo contradiction, contradiction hapa ni kuhusishwa vitu viwili huyo Mungu anayeelezewa na huu ulimwengu kuwa ndio kaumba hapo ndio kwenye contradiction yako.
 
Mungu mwenye upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote hawezi kuwepo akaruhusu ulimwengu wenye mateso mengi uwepo.

Ama Mungu huyo yupo na ulimwengu huo haupo.

Ama ulimwengu huo upo na Mungu huyo hayupo.

Ulimwengu huo upo, ni huu tunaouona.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.

Hii ndiyo sababu huwezi kuthibitisha Mungu huyo yupo, unabaki kuamini tu.

Kama unabisha, thibitisha Mungu huyo yupo.
 
Hizi dini uongo mtupu mwanzo mwisho.

Hakuna hata mmoja anayeweza kuthibitisha huyo Mungu yupo.
Inawezekana kwel Mungu yupo Ila kwa din apo na uhakika tulidanganywa na dhumun la kudnganywa Ni ili tutawalike kirahis
 
Sasa kama Mungu hahusiki na huu ulimwengu hiyo hoja ya Mungu kutoruhusu ulimwengu wenye mateso inakujaje ikiwa hahusiki na huu ulimwengu?
 
Kwan akiamin hayupo lakini akamkuta atamfanya Nini wakati yeye mwenyewe kaamua asionekane Wala kudhibitika mpka kuleta taharuki kma hii
 
Mbona nasikia huyo TB joshua ni cha mtoto hata 8 bora kwa utajiri wa wachungaji huko naija hayumo.

Popular lakini hamsogelei kabisa mzee wa winners Yule nasikia anamakanisa makubwa hadi ukrain, tanzania tu mkanisa bonge sana pale banana. Wakati TB yeye anapambana na SCOAN tu.

Hii ilikuwa kweli miaka ya 2004 hivi maana nasikia hadi serikali iliwahi kumfungia asitumie TV kwa fitna za hao walokole wenzake. Jamaa kwa ubishi akahamia kwenye satellite na online hapo ndio alikula vichwa afrika nzima hadi wakuu wetu tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…