Halafu wanaomba Ushauri..Kuna wakat nilikuwa na mwanangu wa darasa LA 3 tunaangalia TBC mwanangu aliniuliza swal moja had Leo nimebak mdomo waz ...kuwa kwan hii steshen n ya ccm au maana kila akifungua anakuta n habar za ccm tu kwa kaul hyo had watoto wanajua kuwa hampo na usawa kifup MJIREKEBISHE
Nyie ndio mnaowapa kibur na ndio maana wanazid kuboronga siku had siku angalia comment za wadau au wewe peke yako unaridhka na utendaj wao maboresho yao yaendane na maudhui ya vpnd s ubora tu wapicha najua wanapata mashnikizo kutoka chama tawala na wao watambue hii n kod ya wananch na s watawala siku mambo yakiharibka hawataangalia order iltoka kwa nan ss tutawafyekelea mbal woteNadhani umepotoka ndugu yangu,kati ya stesheni zenye vipindi vya kufundisha katika Taifa hili,Tbc wanaongoza kwa kuwa na vipindi vya ubunifu wa hali ya juu,hongereni sana Tbc.
Channel ya kuitangaza Ccm Tanzaniasorry wandugu kwan iyo TBC ndio kitu gani at?
UchocheziB-)TBC ya Mhando ilikuwa bora kuliko tv station zoote tz
Ifike wakati serikali kupitia chama chao wafungue studio yao ambayo itaitwa CCMTV na waonyeshe upuuzi wao wote huko,Acheni kutumika kisiasa! Tunashindwa kuwelewa kama nyie ni Television ya Taifa au tawi la chama?
Ubora wa picha ni sifuri kabisa!
Nchi hii imejaa vijana zaidi ya 70% nyie asilimia 80 ya vipindi vyenu ni vya kizee!
Mnashindwa hata kuonesha mechi ya Taifa stars mmekalia ziara za viongozi wa chama wakitembelea matawi sijui kigoma gani huko!
Mmetangaza kufunga mitambo mipya ya kisasa na picha ndo kabisa zimerudi zile za kiwango cha chini kabisa!
Subirini na wengine wanakuja na mjiandae kwa POVU ZAIDI
nimeona vipindi vingi vipya vya kuelimisha jamii hongereni sanaSiipendi TBC na naikwepa kuiangalia, baasdi ya vipindi vyake vinakera.
Daaaaa mnatutafuta lawama yaani duuu aaaa mm sitaki mambo haya bwana kwa ufupi uuuuuuuuuuuuuuuuuuuNdugu WanaJF,
Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa vipindi na ubunifu.
Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ni wadau wakubwa wa JamiiForums na huwa wanafuatilia taarifa na mijadala mbalimbali inayoendelea hapa. Hivyo tukiitumia vyema nafasi hii, tutawasaidia kuboresha maeneo ambayo yanatakiwa kurekebishwa kwa haraka.
Naomba tutumie uzi huu kutoa maoni, ushauri na mapendekezo kuhusu aina ya vipindi na ubunifu ambao ukitumiwa utasaidia kuifanya televisheni hii ya taifa kuvutia kutazamwa na kufurahiwa.
Tumeshalalamika sana. Sasa ni wakati wa kuchukua hatua na kutaja suluhu kwa mifano ili kuimaliza changamoto hii kabisa.
Karibuni sana.