TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

Kuna wakat nilikuwa na mwanangu wa darasa LA 3 tunaangalia TBC mwanangu aliniuliza swal moja had Leo nimebak mdomo waz ...kuwa kwan hii steshen n ya ccm au maana kila akifungua anakuta n habar za ccm tu kwa kaul hyo had watoto wanajua kuwa hampo na usawa kifup MJIREKEBISHE
 
Kuna wakat nilikuwa na mwanangu wa darasa LA 3 tunaangalia TBC mwanangu aliniuliza swal moja had Leo nimebak mdomo waz ...kuwa kwan hii steshen n ya ccm au maana kila akifungua anakuta n habar za ccm tu kwa kaul hyo had watoto wanajua kuwa hampo na usawa kifup MJIREKEBISHE
Halafu wanaomba Ushauri..
Ni afadhali nisome gazeti la Uhuru Nikiwa Najua ni la Chama cha Mapinduzi kuliko kuangalia Television ya Taifa kifanya kazi za chama..
 
Nadhani umepotoka ndugu yangu,kati ya stesheni zenye vipindi vya kufundisha katika Taifa hili,Tbc wanaongoza kwa kuwa na vipindi vya ubunifu wa hali ya juu,hongereni sana Tbc.
Nyie ndio mnaowapa kibur na ndio maana wanazid kuboronga siku had siku angalia comment za wadau au wewe peke yako unaridhka na utendaj wao maboresho yao yaendane na maudhui ya vpnd s ubora tu wapicha najua wanapata mashnikizo kutoka chama tawala na wao watambue hii n kod ya wananch na s watawala siku mambo yakiharibka hawataangalia order iltoka kwa nan ss tutawafyekelea mbal wote
 
Mbona mimi siijui station ya Tbc ngoja nika muulize mke wangu anionyeshe
 
Wakati wakizindua TBC 2 walijigamba kuwa itakuwa maalumu kwa burudani na michezo mbalimbali, lakini imeishia kuonyesha miziki mibovu mibovu, huku wakishindwa kuonyesha hata mechi muhimu za timu za taifa
 
Haya ili tuifanye TBC mpya kwa pamoja. naombeni kazi, im cameraman & sound engineer, experiment za mtaani za kutosha kuliko class hours.
 
Zimeni hiyo mitambo na kuifunga kabisa hiyo TV. Watanzania hatuitaki tena, inapoteza pesa zetu kuiendesha na kutuchosha tu kiakili. TBC haina faida yoyote kwa watanzania. Ni uchafu mtupu.
 
Sio kwa awamu hii ya 5,kwasasa watangazaji ni kutirrika mwendo wa ngiri kumfurahisha jiwe....kwasasa hatuhitaji kupoteza muda kuishauri TBCCM....Nani anataka kumuangalia JIWE kuanzia vipindi vya asubuhi saa 12 mpaka saa 6 usiku ni JIWE tu.
 
Yaani mnashindwa hata kujua kiswahili sanifu?...kweli Makamu wa Rais KAGOMA?...hiyo ni kashifa kabisa....Mhariri wenu anaruhusu vipi Caption kama hii hata neno AKATAA halifai hapo....kwa sababu kasema huenda akarejea hapo kukifungua baada ya uchunguzi kwanini msiseme AAHIRISHA...aisee nyie kuweni serious basi...hapo story ya kwanza pia caption mlikosea pia badala ya UUZWAJI mmeandika UZWAJI...Editor kuwa serious na kazi yako.
20181028_201043.jpeg
 
Kuna dada mmoja mweusi hivi alikua akikaa tangaza habari anatuangalia/anaweka pozi kama anaongea na watoto wa beki 3!!. Nashukuru mlimtoa!.
mengine yashasemwa huko juu!
 
Mmeshikwa na wenye dola na kamwe hamtakuja kujiendesha kwa faida. Ubunifu wenu ni kupiga kampeni ili mpewe nafasi zingine na wenye dola km ikiwezekana TBC ifutwe kabisa tubaki na media binafsi
 
Acheni kutumika kisiasa! Tunashindwa kuwelewa kama nyie ni Television ya Taifa au tawi la chama?
Ubora wa picha ni sifuri kabisa!
Nchi hii imejaa vijana zaidi ya 70% nyie asilimia 80 ya vipindi vyenu ni vya kizee!
Mnashindwa hata kuonesha mechi ya Taifa stars mmekalia ziara za viongozi wa chama wakitembelea matawi sijui kigoma gani huko!
Mmetangaza kufunga mitambo mipya ya kisasa na picha ndo kabisa zimerudi zile za kiwango cha chini kabisa!
Subirini na wengine wanakuja na mjiandae kwa POVU ZAIDI
Ifike wakati serikali kupitia chama chao wafungue studio yao ambayo itaitwa CCMTV na waonyeshe upuuzi wao wote huko,
 
hii TV(channel) Isitishe kurusha matangazo yake/ifungwe maana maudhui yake yote pia ubora wa picha ni negative( -9) na hakika hakuna hasara..
SAM MAHELA.. ulifuata nn huku...au ndo masilahi/maslai.. asante
 
Ubunifu wenu zero% ajirrini vijana mpate mawazo mapya hao wazee wabaki washauri tu.
 
Ndugu WanaJF,

Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa vipindi na ubunifu.

Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ni wadau wakubwa wa JamiiForums na huwa wanafuatilia taarifa na mijadala mbalimbali inayoendelea hapa. Hivyo tukiitumia vyema nafasi hii, tutawasaidia kuboresha maeneo ambayo yanatakiwa kurekebishwa kwa haraka.

Naomba tutumie uzi huu kutoa maoni, ushauri na mapendekezo kuhusu aina ya vipindi na ubunifu ambao ukitumiwa utasaidia kuifanya televisheni hii ya taifa kuvutia kutazamwa na kufurahiwa.

Tumeshalalamika sana. Sasa ni wakati wa kuchukua hatua na kutaja suluhu kwa mifano ili kuimaliza changamoto hii kabisa.

Karibuni sana.
Daaaaa mnatutafuta lawama yaani duuu aaaa mm sitaki mambo haya bwana kwa ufupi uuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom