TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

Hivi hamjitambui kuwa nyie ni Tv ya taifa na mnahudumiwa kwa kodi za wananchi? Hivi sasa mmeimprove kidogo na hasa kuwa na kipindi kama Ardhio na hata muonekano wa HD.
Sasa mbona mnashindwa kuwa na vipindi vye kuelimisha umma vizuri kama wenzenu Star tv? Angalia kipindi kama Tuongee asubuhi ,jarida maridhawa na vingine vingi tu.
Badilikeni ili muende na wakati maana hii ni karne ya kidigital.
Matangazo ya live ndio mnafeli kabisa yanakatikakatika tu mpaka mnatuchukiza.
 
Sasa mbona mnashindwa kuwa na vipindi vye kuelimisha umma vizuri kama wenzenu Star tv? Angalia kipindi kama Tuongee asubuhi ,jarida maridhawa na vingine vingi tu.
Kwani kuna tatizo?
images - 2020-04-05T060825.705.jpeg
 
LIKIANZAGA LILE TANGAZO TU

" TUNATEKELEZA" NA KUMBUKA KUFUNGUA JF APP KWANZA [emoji23][emoji23][emoji23]

mchawi ni binadamu ,paka ni kijakazi
 
Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa picha na ubunifu wa vipindi.
TBC bado ubunifu wenu uko chini. Mnazidiwa na Azam TV ya juzi tu ? Hivi hamwoni wenzenu kama SABC, ABC na hata BBC ? Mnashindwa hata kujifunza kutoka kwao ?
 
Lakini lengo la Uzi huu sio kutema nyongo..

Zipo nyuzi lukuki za TBC ambazo zimebeba kero na malalamiko. Hapa tunataka tupate solutions kupitia constructive ideas zitakazotolewa..

Lete idea kama unayo, sio nyongo.
Acheni watu tuteme nyongo zetu, mnakera sana sana na tabia yenu ya kujifanya watetezi wa ccm
 
Kila mtu angetoa maoni kwa mtindo huo basi mpaka sasa tungeshapata ya kutosha na kufikia lengo la mnakasha huu.
Idara yao ya masoko ifumuliwe upya. Atafutwe mtu ambaye ni mtaalamu wa digital marketing apewe kitengo na performance targets
Idara ya uzalishaji nayo hovyo kabisa, fumua kabisa
 
Back
Top Bottom