technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Huu ni zaidi ya uhujumu uchumi kwa taifa rais wetu anahutubia taifa katika kipindi kama hiki matangazo yanakatwa Youtube ya ikulu hakuna kinachoendelea, Twitter hakuna update hivi mnaajiriwa kufanya kazi gani kama hotuba ya rais kipindi kigumu kama leo rais wa nchi anaongea na umma bila kuonekana. nashauri watu wachukuliwe hatua haraka sana.