TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

Hivi hamjitambui kuwa nyie ni Tv ya taifa na mnahudumiwa kwa kodi za wananchi? Hivi sasa mmeimprove kidogo na hasa kuwa na kipindi kama Ardhio na hata muonekano wa HD.
Sasa mbona mnashindwa kuwa na vipindi vye kuelimisha umma vizuri kama wenzenu Star tv? Angalia kipindi kama Tuongee asubuhi ,jarida maridhawa na vingine vingi tu.
Badilikeni ili muende na wakati maana hii ni karne ya kidigital.
Matangazo ya live ndio mnafeli kabisa yanakatikakatika tu mpaka mnatuchukiza.
 
LIKIANZAGA LILE TANGAZO TU

" TUNATEKELEZA" NA KUMBUKA KUFUNGUA JF APP KWANZA [emoji23][emoji23][emoji23]

mchawi ni binadamu ,paka ni kijakazi
 
Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa picha na ubunifu wa vipindi.
TBC bado ubunifu wenu uko chini. Mnazidiwa na Azam TV ya juzi tu ? Hivi hamwoni wenzenu kama SABC, ABC na hata BBC ? Mnashindwa hata kujifunza kutoka kwao ?
 
Malalamiko hayakwepeki TBC inaliabisha taifa kabisa ningekuwa Raisi ningefumua mfumo mzima nakukaribisha wazoefu wanaoendana na kasi ya karne ya 21.
Njia nzuri ni kufumua kabisa organizational hierarchy ya TBC
 
 
Kila mtu angetoa maoni kwa mtindo huo basi mpaka sasa tungeshapata ya kutosha na kufikia lengo la mnakasha huu.
Idara yao ya masoko ifumuliwe upya. Atafutwe mtu ambaye ni mtaalamu wa digital marketing apewe kitengo na performance targets
Idara ya uzalishaji nayo hovyo kabisa, fumua kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…