TBC ni TV ya waislam na wakristo wakatoliki?

Lianza lalamiko kwanza kwa uongozi husika kabla ya kufika hatua hiyo
Serikali lazima itumie busara, kuna baadhi ya madhehebu mafundisho na ibada zao yamejaa chuki na kashfa kwa dini/madhehebu mengine. Mfano ni wasabato ambao mafundisho yao yote ni dhidi ya ukatoliki nk.
 
Wewe ni mpumbavu tu mnaanzisha makanisa yenu kama sacoss kwa sababu ya tamaa zenu za kutajirika kupitia watu waliomwasi Mungu kwa sababu tu ya elimu na ukwasi wa mali.Kumbuka kipindi TBC wanaanzishwa Roma Catholic na Waislam walikuwepo na ndio chanzo cha ukuaji wa hiyo taasisi.Usilaumu bali peleka muswada ili ombi lako likubaliwe usituke kutufanya wajinga.
 
Hayo maudhui yao warushe kwenye TV yao hakuna atakaye lalama
 
Serikali lazima itumie busara, kuna baadhi ya madhehebu mafundisho na ibada zao yamejaa chuki na kashfa kwa dini/madhehebu mengine. Mfano ni wasabato ambao mafundisho yao yote ni dhidi ya ukatoliki nk.
Kazi ya serikali sio kutangaza dini yoyote ile hiki wanacho fanya TBC ni upumbavu wa kiwango cha juu
 
Ndio Mimi ni mpumbavu ambae siwezi kukubali kuona kazi ya kutangaza dini inafanywa na serikali kupitia television ya taifa
 
Ndio maana mmepewa Uhuru wa kua na TV yenu Upendo TV fungua kula tenzi za Rohoni siku iende kwani lazima ufungue TBC?
Hao ni walutheri na wanarusha ibada zao tu, wengine kama kina katunzi wa EAGT wana vipindi vyao huko ila sio EAGT yote
 
Hapo chuki yako kuubwaa ni uislam
 
Kwanini mnapenda kufananisha Uislam na Ukatoliki? Hamuwezi kutaja Ukatoliki bila uislamu? Acheni kuchanganya maji na mafuta
 
Moja ya nyuzi zake humu jamvini Taifa linaloona Urais ni kupokezana vijiti baina ya wakristo na waislam ni taifa la wajinga
 
Hao ni walutheri na wanarusha ibada zao tu, wengine kama kina katunzi wa EAGT wana vipindi vyao huko ila sio EAGT yote
Sasa unalia lia nini Mzee wangu? Idadi yenu ni ndogo wao hawawezi wakarusha kipindi kitazamwe na watu laki 1 kati ya million 60 huo ni upuuzi
 
Umeongea jambo la maana sana. TBC wana madhehebu yao mawili ktk dini mbili. 1. Waislamu (). 2. Wakristo (Roman Catholic). JAMBO HILI SIYO SAWA.
 
Ndio maana imeitwa Televisheni ya Taifa, inatangaza pande zote mbili, ikikuboa angalia televisheni zingine, serikali haina dini, wangekuwa wanatangaza dini moja ingekuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…