Uchaguzi 2020 TBC, sasa tumewachoka kwelikweli, mnachochea hasira kubwa msiyoweza kuizima


Pole Mkuu. Polepole muelimishe mzee wetu kwa upole na mapendo. Atakushuru sana baadaye.
 
Kumbe bado mnaiangaliaga ??? Si mlisema hamuitazami tena ?? Mmefuata nini huko
 
Pale walifurushwa sabb walikuwa hawatangazi, walikuwa wanafanya UNAFIKI tu

Wewe hujui Kama ile ni TV ya umma, na wala siyo ya magufuli?!
Na ndege ni za umma sio zake kapande bure
 
Chadema wakiingia ikulu wataifuta TBC kuuza mitambo yao mpaka majengo na kuanzisha upya chombo kingine cha kitaifa chenye kuzingatia usawa pasipo kupendelea chama Tawala
 
TBC yaweza kuwa ndiyo TV ya hovyo kuliko zote Duniani kwa sasa , hata watangazaji wake 80% ni washamba washamba fulani hivi, wenye Akili ni wachache tena wale wa michezo yule mzee mchambuzi wa soka na wengine wachache
 
Vipi Chauma mzee wa ubwabwa Nate aliwafukuza?

Mbona hawamrushi

Haki huinua TAIFA

Chauma umewasikia wapi wakitoa malalamiko kwa TBC?

Kwenu, kila kitu CHADEMA ndio yenye kuonewa. Hii inawafanya muonekane wakosa akili, pumbafffff
 
Mwambieni mwenyekiti wa freemedia afungue station yake, kuliko Kulialia hapa huku mwenye chama akihonga ruzuku zenu, michango yenu kwa vitumaalum wake. Moja ya chama hovyo kabisa kuwahi Kutokea Tanzania, mtakula kwa mabeberu na vibaraka wenu. JPM tano tena.
 
TBC yaweza kuwa ndiyo TV ya hovyo kuliko zote Duniani kwa sasa , hata watangazaji wake 80% ni washamba washamba fulani hivi, wenye Akili ni wachache tena wale wa michezo yule mzee mchambuzi wa soka na wengine wachache
TV ya hovyo kwa sababu haitangazi zezeta wenu right?. Mbona Mbowe hana hiyo hata ya hovyo?. Ninyi mapunguani wa Ufipa mpaka mtwangwe kwenye kinu ndio ujinga uwatoke. Mbowe hana cha kuwapa watanzania, mlaghai na mjanja mjanja tu. Oct 28, ndio mnaungana na TLP rasmi. Hongereni sana wazee wa faru John.
 
Haya ni mawazo yako pumbavu wewe.Mliwafukuza mbele ya macho ya watanzani kwa ajili ya kutaka sifa tu sasa unataka wawafanyie nini.
Wala hamuwezi kutisha watu kwenye mitamdao kwamba wanachokitafuta watakipata.Hebu anzeni ujinga wenu wa mambo ya kuiga halafu muone.
 
Hivi kuna chombo kinaitwa TBC??? Nilishaga kisahau nikajua kimefungiwagwa huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…