share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
- Thread starter
- #181
Huwa nakereka pale ninapomtembelea bi mkubwa nyumbani alafu tukiwa sebuleni hataki channel nyingine zaidi ya TBC. Ni mfanyakazi, ameathiriwa sana na mfumo wa uongozi wa mzee huyu lakini sijui kwanini hataki kusikia habari nyingine zaidi ya za CCM tu, eti oh nyinyi vijana hamjui lolote kuhusu siasa.
Ngoja niishie hapa kwanza.....
Pole Mkuu. Polepole muelimishe mzee wetu kwa upole na mapendo. Atakushuru sana baadaye.