Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,564
Of course wananchi wanatakiwa wapate Habari za maendeleo na pia wapate Habari za ubaya na dhulma inayofanywa na serikaliMimi sio mfuatiliaji wa vipindi vya t.v. lakini ninachojua tbc wana vipindi vingi sana vinavyohusu maswala ya maendeleo ya nchi, vikielezea miradi tofauti katika sekta tofauti tofauti, changamoto na mabadiko chanya katika jamii.
Ila sababu hivyo vyote vimefanyika chini ya serikali ya chama kilichopo madarakani wapinzani wanaona kama ni kampeni huku wakisahau wananchi wana haki ya kuhabarishwa maendeleo yao
Ndio maana nimesema changamoto na mafanikioOf course wananchi wanatakiwa wapate Habari za maendeleo na pia wapate Habari za ubaya na dhulma inayofanywa na serikali
Shilling inatakiwa ionyeshwe pande mbili
Mimi sio mfuatiliaji wa vipindi vya t.v. lakini ninachojua tbc wana vipindi vingi sana vinavyohusu maswala ya maendeleo ya nchi, vikielezea miradi tofauti katika sekta tofauti tofauti, changamoto na mabadiko chanya katika jamii.
Ila sababu hivyo vyote vimefanyika chini ya serikali ya chama kilichopo madarakani wapinzani wanaona kama ni kampeni huku wakisahau wananchi wana haki ya kuhabarishwa maendeleo yao
Mkuu.. uwe tu mkweli! TBC1 Haikukifu?!! Kuna vyama 17 vitashiriki uchaguzi mkuu Oktoba, kutwa nzima kila siku uwe unaoneshwa maudhui ya chama kimoja tu tena mada za kujirudiarudia kama miradi mikubwa inayojengwa kila siku!Wengine bado tunaipenda
πππ Eti hasira.Sasa wewe hutaki watupandishe hasira! Waache watuongezee chuki ila wakawaulize Malawi Broadcasting Corporation waliokifanya inachofanya TBC na kilichowakuta baada ya uchaguzi.
Ndio maana nimesema changamoto na mafanikio
Vipi Chauma mzee wa ubwabwa Nate aliwafukuza?MBOWE: "TBC tunawapa dakika 15 za kukusanya vitu vyenu na kuondoka hapa".
Kiongozi wenu si aliwafukuza tbc? Mnalalamika nini sasa?
Hii channel nina miaka 3 sijawahi kuitazama...Matangazo ya TBC hususani kampeni za Uchaguzi Mkuu ni utopolo mtupu uliokosa weledi na busara za kiutangazaji kama chombo cha umma kinachogharamiwa na kodi za wananchi wote.
Tumevumilia sana, sasa tumechoka. Ni ujinga, hata kama mnalazimishwa, kuitangaza CCM pekee na Wagombea wake kuanzia Asubuhi mpaka jioni kana kwamba ndiyo chama pekee.
Hili limezua hasira kuu, chuki mbaya, na kimsingi badala ya kuieneza CCM mmeiua kabisa CCM kwenye mioyo ya wananchi. Badilikeni haraka, la sivyo, mnachokitafuta, kwa ujinga wenu, mtakipata.
ππππ Lakini hiyo haiwapunguzii kitu.Hii channel nina miaka 3 sijawahi kuitazama.
Matangazo ya TBC hususani kampeni za Uchaguzi Mkuu ni utopolo mtupu uliokosa weledi na busara za kiutangazaji kama chombo cha umma kinachogharamiwa na kodi za wananchi wote.
Tumevumilia sana, sasa tumechoka. Ni ujinga, hata kama mnalazimishwa, kuitangaza CCM pekee na Wagombea wake kuanzia Asubuhi mpaka jioni kana kwamba ndiyo chama pekee.
Hili limezua hasira kuu, chuki mbaya, na kimsingi badala ya kuieneza CCM mmeiua kabisa CCM kwenye mioyo ya wananchi. Badilikeni haraka, la sivyo, mnachokitafuta, kwa ujinga wenu, mtakipata.
Inawapunguzia reputation wao wenyewe na taifa kwa ujumla linawadharau.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Lakini hiyo haiwapunguzii kitu.
Kodi zako wataendelea kuzitumia tu lakini,bila kujali Kama utawatazama au lah.Inawapunguzia reputation wao wenyewe na taifa kwa ujumla linawadharau...
Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app
ZimeshatokaBasi watoe taarifa za tadea na cuf
Walikimbia bunge la katiba mpya waliojiona wajanjaMkiambiwa kuhusu katiba mpya yenye lengo la kupunguza mamlaka ya rais, hamuelewi. Hata ungekuwa wewe mleta mada ndio MD pale TBC, umeteuliwa na mgombea wa CCM, ungempigia debe mgombea wa CHAUMA kweli?