Tetesi: TBC wafanya kikao usiku wa manane, kimeisha saa 11 alfajiri

Bara - TBC,
Znz - TVZ
Tatizo haviendi na wakati vipo kisiasa zaidi.
 
Hebu sirikali iruhusu bunge live halafu uone kama watu hawato itazama
 
Wakiacha uchama na kuwa tv ya kitaifa watakuwa super
Walijuwa wamepotea wakaamua kuipoteza na star tv [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni mtoto gani anayelishwa ugali na baba yake anaweza kumkosoa baba huyo anapokosea? Njaa noma, watabaki hapo sana, vikao hata wakeshe siku 3 hakuna mchawi. Wao wanakaa wenzao wanapaa!
 
Sasa kituo cha sisiem wanataka kiwe na kick town......wasubiri muda wa kampeni waanze trna kupiga nyimbo za sisiem
 
Eti hawajui shida ni nini ishu ni kuwa sisi wa pinzani tulishaambiwa na viongozi wetu tusiangalie hiyo tv
 
Wekeni siasa pembeni muone

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo watu wanatoa ajira kwa kuangalia vyeti na si skills. Watu tunakufa na vipaji vyetu kisa ma documents. Vpndi vingi havina mpango ndio maana inadorora. Hawako up to dated. Mwendesha vipindi angalia kilicho bora ohoo
 
TBC waemdelee kutangaza marudio ya kampeni za ccm maana awana jipya hapa mjini zaid ya izo mambo
 
Hivi Tbc bado inafanya kazi?

kungekuwa na kipimo kinachoonyesha wasikilizaji wangapi wako hewani , nafikiri watangazaji wange tafuta shughuli nyingine, manake ni aibu unapotangaza kwa madoido kumbe hakuna hata mtu mmoja anakusikiliza
 
Hebu kuwa na staha ndugu maneno hayo si ya kimaadili ningekua karibu yako nadhani ningekuwa police asee umenichafua sana kwa kweli, nyie ndio mnawagharimu kina Max kutetea upuuzi Kama huu Idiot.

Staha ipi unayotaka niwe nayo? ukweli ni kwamba rioba kamkimbia mtoto wake,,mama aliyezaa naye analalamika,,,sisi tunamfariji...halafu sikia we mbwa...huna chochote unachoweza kunifanya mimi? hata wewe kama umtimizii mkeo na kibamia chako,,tupo mafundi tutamfariji.
koma kabisa kunitisha mbwa koko wewe
 
HIV BADO KUNA MTU ANAANGALIA TBC ZAMA HIZ? MM SIKUMBUKI MARA YA MWISHO NIMEANGALIA LINI TBC. Kazi kweli kweli
Mimi naangalia chereko ndio naamini kile ninachokiona na kukisikia ndio kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…