MWANA SENGU G
Member
- Dec 12, 2016
- 12
- 3
Hiyo TV ya watangaji wenyewe tu ila siyo watazamaji
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kituo cha sisiem wanataka kiwe na kick town......wasubiri muda wa kampeni waanze trna kupiga nyimbo za sisiemUonngozi wa juu wa TBC na wafanyakazi wengine wa kituo hicho usiku wa kuamkia leo wamefanya kikao cha dharura kuangalia sababu za kudorora kwa kituo hicho kikubwa cha TV ambacho kimemalizika saa 11 alfajiri.
Pamoja na mengine kitu kilichoonesha kuwaumiza kichwa zaidi ni jinsi gani kituo kikubwa kama hicho kinachopata ruzuku kubwa kutoka serikalini kinakuwa na ratings za mwisho huku kikizidiwa na vituo ambavyo havina hata miaka mitano hewani.
Mkurugenzi amesisitiza sana na kuwaomba wafanyakazi wa TBC kama ikitokea rais anapiga tena simu kwenye kituo chochote cha TV basi iwe TBC na ikiwa anatuma kadi ya salamu basi iwe TBC.
Wekeni siasa pembeni muoneUonngozi wa juu wa TBC na wafanyakazi wengine wa kituo hicho usiku wa kuamkia leo wamefanya kikao cha dharura kuangalia sababu za kudorora kwa kituo hicho kikubwa cha TV ambacho kimemalizika saa 11 alfajiri.
Pamoja na mengine kitu kilichoonesha kuwaumiza kichwa zaidi ni jinsi gani kituo kikubwa kama hicho kinachopata ruzuku kubwa kutoka serikalini kinakuwa na ratings za mwisho huku kikizidiwa na vituo ambavyo havina hata miaka mitano hewani.
Mkurugenzi amesisitiza sana na kuwaomba wafanyakazi wa TBC kama ikitokea rais anapiga tena simu kwenye kituo chochote cha TV basi iwe TBC na ikiwa anatuma kadi ya salamu basi iwe TBC.
Kaka umesema kweli katika channel ambayo inaonekana vibaya basi tvt inaongoza.. Ikifuatiwa na chaneli kumi. HahahahaSasa mkuu unalinganisha TV1 na TBCCM? Kwanza wana picha mbaya utadhani wanatumia kamera ya Kodak.
Hivi Tbc bado inafanya kazi?
Hebu kuwa na staha ndugu maneno hayo si ya kimaadili ningekua karibu yako nadhani ningekuwa police asee umenichafua sana kwa kweli, nyie ndio mnawagharimu kina Max kutetea upuuzi Kama huu Idiot.
Mimi naangalia chereko ndio naamini kile ninachokiona na kukisikia ndio kweli.HIV BADO KUNA MTU ANAANGALIA TBC ZAMA HIZ? MM SIKUMBUKI MARA YA MWISHO NIMEANGALIA LINI TBC. Kazi kweli kweli
hawezi kurudi huko kamwe,mzee bakharesa anamlipa vizuri sana.