Well done, Ndio mumeamka sasa, anyway its good and its time to pull up your socks.
Mkitaka kuwavutia watu kwanza, jitahidini sana kuwavuta watu kwa kuintroduce programs za starehe kama , Episods za TV nzuri nzuri, muwe na Uwezo wa kutengeneza programs zenu wenye , kama TV SERIES, mnaweza kuanza na vitu kama story ya Mkwawa, Kimweri nk.
Translate or Dubbing program za Kihindi au Turkish, ambazo ni very very popular world wide. K.M. Kuna TV Series ya KiTurki inayoitwa MUHANAD , hii ilidubiwa Kiarabu ikawa ime be serialized kupitia MBC, ikawa inaonyeshwa Gulf Countries zote (SAUDIA, QATAR, UAE na OMAN ) Ilipendwa sana hata baada ya miezi kadha, Utalii kutoka nchi hizi kwenda Uturuki Ulipand kwa asilimia 200 ya ilivyokua hapo awali.
A program ambapo Mnafuatilia Maisha ya Ukweli wa Watanzania waliopo Ughaibuni ( Diaspora), na Matatizo yanayo wakumba, hii itasaidia sana kuwafungua macho wadogo zetu wanofikiria kuwa kwenda ulaya ni kuzuri zaidi ya kwao, na pia itawapa ari ya vizuri vingi na fursa nyingi tulizo nazo.
Mnao uwezo wa kuwa the leaders, lazima muliendeshe hilo shirika kibiashara na sio kisiasa.