Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,508
Ubunifu wautoe wapi? Watu wameacha kutazama TBC kwa sababu inatumika na chama. Tbc inaendeshwa kwa kodi zetu lakini ikifika kipindi cha kampeni wanajiunga na ccm.Hawana ubunifu, sijui wanasoma chuo gani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kuanzia tv mpaka wafanyakazi hawana mvuto hata kidogo.
Pamoja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Habari yao kubwa Tunahamia DodomaMwache kutangaza kama wasemaji wa chama be neutral. Inaboa sana kuangalia hii TV kutwa kutafuta habari positive kwa ccm basi
He si walewale tu! Ila Clouds nakiliakilizChatoawa za Chato!Kadi ya Xmas waliyotumiwa clouds imewauma tbccm
Ova