Mwendabure
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,138
- 1,044
Watanzania wanapenda mambo ya ovyo ovyo na yenye kusisimua hisia zao.TBC ni chombo cha umma lazima kiwe na maadili ya kutoa taarifa lakini zaidi lazima itoe elimu kwa umma,sio miziki na mambo ya ovyo ndio muone inawafaa.
Kwa mwandio huu wa ITALUDI huwa napata picha kwamba aliyeandika ni mtoto wa shule au ke..sidhani kama italudi kwenye chat tena
ccm imewaponza
Fuji film,Kodak ni toleo la juz juz tuuSasa mkuu unalinganisha TV1 na TBCCM? Kwanza wana picha mbaya utadhani wanatumia kamera ya Kodak.
Itakuwa ni masuala ya kadi ya krismas ya clouds. Kama bias mbona na wenyewe wanayo? Kitu wasichoweza kuwafikia favourites ni kutoa matusi ya hapa na pale, kujadili habari na kufanya judgement, kuinyanyua habari isiyokuwa na kichwa wala miguu na kuifanya iwe habari ya mwaka.Uonngozi wa juu wa TBC na wafanyakazi wengine wa kituo hicho usiku wa kuamkia leo wamefanya kikao cha dharura kuangalia sababu za kudorora kwa kituo hicho kikubwa cha TV ambacho kimemalizika saa 11 alfajiri.
Pamoja na mengine kitu kilichoonesha kuwaumiza kichwa zaidi ni jinsi gani kituo kikubwa kama hicho kinachopata ruzuku kubwa kutoka serikalini kinakuwa na ratings za mwisho huku kikizidiwa na vituo ambavyo havina hata miaka mitano hewani.
Mkurugenzi amesisitiza sana na kuwaomba wafanyakazi wa TBC kama ikitokea rais anapiga tena simu kwenye kituo chochote cha TV basi iwe TBC na ikiwa anatuma kadi ya salamu basi iwe TBC
Lakini kwanini rais atume salam clouds aache TV ya taifa?Kadi ya Xmas waliyotumiwa clouds imewauma tbccm
Ova
Hawa wameshakuwa mayatimahata wakifanya kikao mpaka January hakuna mabadiliko yoyote
Kuna mtu atakuwa anatakiwa kuachia ngaz kama yule jamaa wa kaskazin kule lupangoAnasumbua wafanyakazi bure, kwanini kikao kisifanyike siku nyingine au leo ndiyo ametambua tatizo?
Hivi Ryoba anajielewa kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uonngozi wa juu wa TBC na wafanyakazi wengine wa kituo hicho usiku wa kuamkia leo wamefanya kikao cha dharura kuangalia sababu za kudorora kwa kituo hicho kikubwa cha TV ambacho kimemalizika saa 11 alfajiri.
Pamoja na mengine kitu kilichoonesha kuwaumiza kichwa zaidi ni jinsi gani kituo kikubwa kama hicho kinachopata ruzuku kubwa kutoka serikalini kinakuwa na ratings za mwisho huku kikizidiwa na vituo ambavyo havina hata miaka mitano hewani.
Mkurugenzi amesisitiza sana na kuwaomba wafanyakazi wa TBC kama ikitokea rais anapiga tena simu kwenye kituo chochote cha TV basi iwe TBC na ikiwa anatuma kadi ya salamu basi iwe TBC
Wakati Alipo kuepo Tido Muhando Aliludisha Iman Kwawatazamaji Lkn Alipo Ondoka Wakaludi Ktk Mfumo Wao Kama Chombo Cha Kisiasa Mimi Kwangu Imekua Nikama Mwiko Kutadhama Chombo Icho Mpaka Watakapo Jirekebisha