TBC watimuliwa mbio na CHADEMA baada ya kukata mara kwa mara matangazo ya uzinduzi wa kampeni Mbagala Zakhiem

TBC watimuliwa mbio na CHADEMA baada ya kukata mara kwa mara matangazo ya uzinduzi wa kampeni Mbagala Zakhiem

Status
Not open for further replies.
Naangalia TBC 1 hapa.
1.Wanakatakata matangazo ya live kutoka Mbagala.
2.Wanaongea pointless watangazaji wao hapo studio.
3.Wanaonyesha vitoto vidogo vilivyopo mkutanoni.

My take: Chadema wasirudie kuiruhusu TBC 1 kurusha matangazo yao.
Hahahaaa...nini maana ya uhuru wa vyombo vya habari mnaolilia kila siku humu? hapo hamna dora mkiishika si ndo hakutashikika aisee?
 
Ndio,wana milki kwa siku ya leo kwa mujibu wa NEC!
Unajua maana ya milki? Viwanja hivyo ni mali ya halmashauri na hata ukipewa kufanya shughuli haina maana kwamba umemilikishwa, wenye mamlaka ya kumuondoa yeyote hapo ni halmashauri tu na sio aliazimwa.
 
Nilisema mapema kwamba wana kwenda kimkakati. Nashangaa wao wanaongea kukiko mwenye shughuli
 
Safi sanaaaaa
Lazima mtu acheze keleb kidigo hapo

Ova
 
Ndio washatimuliwa sasa.. Wasubiri wa mbogamboga waendelee na uchambuzi wao.
 
Chadema wanawatoa TBC kwenye viwanja vya umma kama nani?

Chadema wana milki au mamlaka yoyote kwenye hivyo viwanja?
Nenda kaonge utumbo wako hapo uchezeeeee
Na wewe

Ova
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom