Tetesi: TBC1 kuripoti live MATOKEO uchaguzi Mkuu Marekani

Tetesi: TBC1 kuripoti live MATOKEO uchaguzi Mkuu Marekani

TBC kuripoti live, wanamaanisha nn? Labda waseme watakopi live . Marekani ilivyo kubwa vile TBC Wana uwezo gani wa kutwanya waandishi wa habari nchi nzima ya Marekani?

Kukopi live hata Millard Ayo anaweza, siyo habari ya kuwekwa JF.
 
Katika kuendeleza kufungua nchi. Waandishi wa TBC1 wapo Washington tayari Kwa ajili ya kuripoti MATOKEO ya uchaguzi Mkuu nchini humo.
kwani kuna ubaya gani hata citizen tv, BCC, Al Jazeera, zbc, DW, RT na vituo vinginevyo vya television vikitangaza matokeo ya uchaguzi huo muhimu sana wa marikani mapema wiki kesho?🐒
 
Back
Top Bottom