Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani kuna ubaya gani hata citizen tv, BCC, Al Jazeera, zbc, DW, RT na vituo vinginevyo vya television vikitangaza matokeo ya uchaguzi huo muhimu sana wa marikani mapema wiki kesho?🐒Katika kuendeleza kufungua nchi. Waandishi wa TBC1 wapo Washington tayari Kwa ajili ya kuripoti MATOKEO ya uchaguzi Mkuu nchini humo.
Kama nchi ina wajinga kama wewe ni lini itaendelea.? Kwenda marekani kuripoti uchaguzi ni kufungua nchi? Ni lini marekani watafunga safari kuja kuripoti uchaguzi wa Tanzania?Katika kuendeleza kufungua nchi. Waandishi wa TBC1 wapo Washington tayari Kwa ajili ya kuripoti MATOKEO ya uchaguzi Mkuu nchini humo.
Ukisha copy sio live tena hahahTBC kuripoti live, wanamaanisha nn? Labda waseme watakopi live . Marekani ilivyo kubwa vile TBC Wana uwezo gani wa kutwanya waandishi wa habari nchi nzima ya Marekani?
Kukopi live hata Millard Ayo anaweza, siyo habari ya kuwekwa JF.
Washenzi hawaKatika kuendeleza kufungua nchi. Waandishi wa TBC1 wapo Washington tayari Kwa ajili ya kuripoti MATOKEO ya uchaguzi Mkuu nchini humo.