Sio jambo la ajabu kwa shanga kutajwa unapokuwa na hawara yako chumbani au unapokuwa kwenye vijiwe vya kahawa lakini unapokuwa kwenye bunge tukufu la JMT halafu unaongelea shanga za kiuno na kuvuana chupi hapo napata wasiwasi wa uwezo wako wa kifikra.kwani kutaja shanga ni jambo la ajabu? tunapoteza pesa nyingi zaidi ya bilioni 4 kwa mambo ya hovyo...
mtoa mada huna hoja. cha msingi kama ulivyotangulia kusema ume confuse. kinachopiganiwa na wabunge wetu ni shirika la umma TBC kurusha LIVE vikao vyote vya bunge ili waajiri wa wabunge wajue nini kinafanywa na wabunge wao bungeni. hoja ya kusema kwamba star tv na Azam kurusha live haiondoi hoja ya msingi ya kuitaka TBC iende live. kwani tbc ni chombo kinachoendeshwa kwa kodi zetu. star tv na azam hawalazimiki kurusha mikutano ya bunge bali nimapenzi yao tu kwa taifa letu na watu wake.
Information is knowledge:: ww ujui kama nape anasema sababu mojawapo ya kuondoa bunge lisirushwe live ni kuwafanya wafanyakazi wafanye kazi na sio kukomaa na bunge mwa mwiiWadau, amani iwe kwenu.
Nimefuatilia sana mjadala unaoendelea bungeni hususani hoja iliyotolewa na serikali juu ya kutorusha Live baadhi ya mijadala bungeni. Hakika iam totally confused. Ukisikia michango ya wabunge na baadhi ya wadau humu mitandaoni hakika unakuja kugundua kuwa ama hii hoja imepokelewa kisiasa ama kuna watu wameamua kujivika ujinga. Nasema haya kutokana na jinsi michango ya watu ilivyo.
Ukisikiliza na kuangalia kwa jicho pevu michango hiyo utagundua kuwa kweli tuna safari ndefu. Wapo wanaoamini kuwa Serikali haitaki mikutano ya bunge irushwe live kwa sababu haitaki wananchi waone mijadala inayoendelea bungeni kwa lengo la kuwakandamiza wapinzani. Wengine wanasema kuwa serikali inataka kuedit kwanza michango ya wabunge ndipo iwafikie wananchi. Wengine wanasema serikali ni waoga sana na hivyo wanaogopa michango ya wapinzani.
Hakika hoja zote hizi ni za kijinga. Kwanini nasema hivyo kwasababu serikali haijapiga marufuku kuoneshwa live kwa vikao vya bunge. TBC1, Star TV na Azam TV wamekuwa wakirusha hewani kipindi cha maswali na majibu bungeni. Then Star TV na Azam TV kupitia Channel ya Xtra wamekuwa wakirusha moja kwa moja mijadala yote inayoendelea bungeni.
Hakika nimestaajabu sana kuona wabunge wetu wamekuwa wakitoa mapovu kwa mambo yasiyo na tija as if sisi wananchi hatujui nini kinaendelea. Serikali imekuwa very clear kueleza kwa nini wamechukua maamuzi hayo. Hivyo basi wapinzani kuweni wawazi. Msitudanganye sisi wananchi.
Kwani TBCCM imeanza kuonesha matangazo live Leo? Mbinu mbovu zenu za Kidikteta tulishazistukia mapeema.kamanda nashauri utoe ushauri wa vyanzo vya mapato ambavyo vitaendelea kutufanya tutumie bilioni hizo kwa mwaka ili tu enjoy matangazo ya bunge.
mkuu upo morogoro ipi?Kwa mahitaji yako ya maparachichi, tuwasiliane
0784572272
Nipo Morogoro
Basi na ofisi zote zisiwe na TV maana si kweli kuwa kinanchoangaliwa kweny TV ni Bungetu! Jiongeze acha kutumia akili za mizoga kuwaza.
Serikali imechukuwa uamuzi sahihi kabisa, ilikuwa inafikia wakati unakwenda ofisini kupata huduma wafanyakazi wamekodoa kwenye luninga wanaangalia Bunge, Nasema SAFI SANA NAPE!
Basi na ofisi zote zisiwe na TV maana si kweli kuwa kinanchoangaliwa kweny TV ni Bungetu! Jiongeze acha kutumia akili za mizoga kuwaza.
Ndiyo uelewa wako siwezi kukulaumu! Nadhani jana mmejitathimini mlivyo watupu baada ya TL na Zitto kuwaambua na umbumbumbu wenu. Kumuelimisa Mpumbavu ni gharama kweli.Ukiniulza mimi, ndiyo zilipaswa TV ziondolewe, ingawaje ni kweli kwamba kinachoangaliwa siyo Bunge tu lkn wakati wa Bunge huwa ni shida hata kupata huduma mara nyingi sana nimeshacheleweshewa huduma Benki kwa kuwa walikuwa wamekodolea Bunge wakati wanapashana!
Hivyo Naunga HOJA kwa 100%!
Ndiyo uelewa wako siwezi kukulaumu! Nadhani jana mmejitathimini mlivyo watupu baada ya TL na Zitto kuwaambua na umbumbumbu wenu. Kumuelimisa Mpumbavu ni gharama kweli.