TBC sio Shirika la Biashara.
Linaendeshwa kwa kodi zetu....
Wanao shabikia hii Serikali watunze akiba ya manenoGharama za Kurusha Mikutano ya Bunge zinatokana na Kodi zetu wananchi, ni fedha zetu wananchi, Tuna haki ya kujua ni kwa namna gani wawakilishi wetu wanatuwakilisha bungeni na pia tunataka kujua kuwa Serikali yetu ina majibu gani juu ya matatizo yetu.
Hii hatua ambayo serikali inaichukua kuzuia sisi wananchi kufuatilia LIVE mambo yetu kupitia bunge letu, ni hatua ya KIDIKTETA, kinyume cha Utawala bora na kinaturudisha nyuma hatua kadhaa katika suala zima la Uwazi.
Ni ajabu serikali ya Magufuli imeanza kupiga hatua moja nyuma kwa kutaka kujipa power zaidi juu ya wananchi kwa kujaribu Kucontrol Information juu ya namna gani nchi hii inaendeshwa.
Ni matumaini yangu kuwa Wananchi hatutokubali kitendo hiki cha "Kioga" kilichofanywa na Wizara ya Habari.
SERIKALI INAOGOPA GHARAMA KWANI FEDHA SI NI KODI ZETU, NA TBC SI NI SHIRIKA LETU?.
Hii ni hatua ya Kisiasa tu na wala haina mantiki yoyote!
hapanaaaaaaaaaaaaaa bhana eti wote wanapata tbc ngoja niingie mitamboni ntapata jibu saa hiiKwani si wengine wote walikuwa wanapata feed kutoka tbc? Sio kwamba ndio maana hata star tv nao wameshindwa kurusha? Kwa maana hiyo hata itv wakipata si itakuwa hiyo hiyo edited version ya tbc? Unless watu bungeni warekodi wenyewe kwenye smartphone zao, je inawezekana?
Haiwajibiki ndio... na kwakuwa bunge ndio huipangia FBC bajeti ni vema kuanzia mwaka 2015/2016 wawapangie 0Tzs ya ruzuku ili wajiendesheUko sahihi mkuu lakini pia Kuna mihimili mitatu.kuna Bunge,mahakama,na SERIKALI.Hiyo TV ni mali ya Serikali sio ya bunge.Huwezi lazimisha mali za muhimili mwingine zitumikaje na muhimili mwingine.TBC hawalazimiki kisheria kurusha mijadala ya bunge.
Hii wizara jipu kabisa na limeiva kabisayelewiiiiiiiiiiiiiiiii sasa tutarajie kuona harusi live kwa wingi
hivi itv star na wengine ambao wanajitegemea wanafanyaje aisee hii wizara ni jipu.. badala kufanya ubunifu wapate jinsi ya kutuonyesha jambo hili muhimu kwa taifa wanaleta longolongo piga chini muhusika
Okay ngoja tusubiri majibu watakayokuja nayoStar tv nao sidhani kama wangeweza kurusha, maana na wao si walikuwa wanapata feed kutoka TBC.
Ni ya kwako na ya kwanguKWANI TBC YA NANI?
wala hatuna hamu ya kumskia si kwamba alitulea kimaandazi ila alikuwa busy na........ to be continuedWapinzani mtamkumbuka Kikwete. Aliwalea sana kama mayai
Sasa humu jamii forum saa hizi unafanya kazi? Ungesubiri hiyo saa tano usiku.Tatizo siyo gharama amesema hivyo ili wavivu msilalamike lkn sababu hasa ni kwamba huu ni muda wa kazi na siyo wa kuangalia luninga, hivyo fanyeni kazi na Bunge mtaliona jioni baada ya kazi au wkend!
Cku zote viongoz wetu si watu wa kutatua matatizo ni watu wa kuyaahirisha tu, hii dunia ya sasa imebadirika huwez kuongoza kwa kuahirisha matatizo na ujanja ujanja, haya mambo athari zake huwa hazionekani hapo hapo huwa zinachukua muda, baadae mtakaa uchi tu lazima. Sasaiv ukizuia tv zisioneshe wabunge watarecord SOUND CLIPS watatuma kwenye social media tutapata ukweli tu japokuwa inaweza isiwe timely hizo recorded mtaangalia ninyi na wake zenu by the way hakuna mtu anaangalia tbc saiv