TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

HAPA KAZI TU! MUDA WA KUANGALIA BUNGE HAKUNA SUBIRI USIKU! SAFI SANA! WATANZANIA MAENDELEO HULETWA KWA KUFANYA KAZI SI KUANGALIA TV WAKATI WA KAZI.


Huna lolote la kusema "Hapa Kazi Tu", shida yako wahusika wa ESROW na UDA wasianikwe hadharani kuficha mabwana zako!
 
UNo longer at easy ...alisema Chinua Achebe.Leo nimeona mantiki ya maneno yake katika nchi yangu.Tbc haitaonyesha tena bunge live sababu ni kubana matumiz pili et watu watakuwa kwenye shughulizao mchana HAPA KAZI TU....Binafsi sababu ya matumizi haina uzito Tbc ilipoanzishwa tulijua lazima ,tutaingia kwenye matumizi ,hilo li wazi ,kama tunataka kupunguza matumiz Tbc,ifutwe kabisa haina maana ya kuwepo kwasababu inatugharimu .Sababu ya pili eti watu mida ya asubuhi na mchana wapo kwenye kazi mbona mikutano ya ccm ,ilikuwa inaonyeshwa live saa tatu asubuhi ?? au watu kipindi cha kampeni walikuwa hawana kazi ?? baada ya kampeni watanzania wanakazi je wadau ambao ni wananchi wameshirikishwa kuhusu Tbc yao kuwa mzigo kwao katika kuwapasha habari au ni udikteta wa waziri wa habari ?.Serekali ikumbuke demokrasia inagharama zake mojawapo nikuwapa watu habari.Wadau wa habari na wananchi wasipoangalia tutakuwa kama nchi zinazo abudu mifumo ya kidikteta. UHURU WA HANARI NA KUPATA HABARI ANAUZKA NAPE,ila historia itamhukumu.Baada ya miaka mitati mbele tunaweza.kubaki na vyombo vya habari vya chama na serekali kasi ya kupata habari inapunguzwa.Katika dunia ya sayansi ma teknolojia sis tunaabudu bado katika kuwapimia watu habari .Mwisho kabisa kama uhuru wa habari unadidimizwa hivyo tutegemee mafisadi wa chache wa kineemeka kwa kisingozio cha hapa kazi tu.
 
Kwani si uchangie tu mjadala wa mwenzako? Kwani ni lazima uanzishe mada?
 
HAPA KAZI TU! MUDA WA KUANGALIA BUNGE HAKUNA SUBIRI USIKU! SAFI SANA! WATANZANIA MAENDELEO HULETWA KWA KUFANYA KAZI SI KUANGALIA TV WAKATI WA KAZI.
kwa hiyo toka uzaliwe huu ndo mwaka wako wa kwanza kufanya kazi???,alafu usi claim kuwa kazi zinafanyika mchana tu kama mawazo yako yanakutuma kuwa tv zitafanya watu wasifanye kazi basi zingekuwa zinarusha vipindi vyao usiku tu
 
Wanabana matumiz Kwan hela zinatoka mifukon mwao hela ni za serekali na ni kodi zetu ss wanannchi. Saa Nne usiku tutakuwa tumelala kuna siri gani kubwa ambayo Wanataka wanannchi tusiione?
 
Mlishaambiwa na Kikwete kuwa Magufuli ni mkali. Sasa mnaia lia ini?


Nia ya kuficha wahusika wa Escrow na Uda, kutajwa hadharani ndiyo inapelekea kuwaondoa TBC hewani ili wananchi huko mbeleni wasisikie wahusika ambao tayari minong'ono imezagaa!

Ukweli haufichwi, hata ukizikwa chini kwa urefu gani! Yoote yatakaa hewani na kufahamika kwa kila mwananchi!
 
Wauza sura wote wanahangaika sasa. Mbunge atapimwa kwa utendaji wake jimboni na si bungeni
 
Wanabana matumiz Kwan hela zinatoka mifukon mwao hela ni za serekali na ni kodi zetu ss wanannchi. Saa Nne usiku tutakuwa tumelala kuna siri gani kubwa ambayo Wanataka wanannchi tusiione?
Mbona Rais alipozuia safari za nje kubana matumizi mlishangilia ila kwa TBC kutorusha baadhi ya mikutano iwe nongwa?
 
Azam Extra watarusha Live Vipindi Vya Bunge sasa tuone Nappe atawakataza au vipi.
Screenshot_2016-01-27-12-58-52 - Copy.png
 
Kipindi cha Kampeni kilikuwa ni muhimu sana, siyo tu kwa mikutano ya CCM bali ya vyama vyote. Sasa hivi hakuna sababu ya kutumia gharama kama hakuna ulazima.
 
Kipindi cha Kampeni kilikuwa ni muhimu sana, siyo tu kwa mikutano ya CCM bali ya vyama vyote. Sasa hivi hakuna sababu ya kutumia gharama kama hakuna ulazima.
Bunge sio muhim,tena ? bunge ni kwa muda mfupi tu .....tulienda hatua elfu mbele tunarudi nyuma hatua elfumbili.....uhuru wa habari= tu maendeleo ,kama hakuna uhuru wa habari wachache wataendelea neemeka subiri muone madikteta wachache watakavyo itafuna nchi kwa kisingizio cha hapa kazi tu
 
Kuna hoja ya msingi hapa zaidi ya watu kufanya kazi muda kazi na siyo kuangalia Bunge? Kama Serikali ingekataza kuonyeshwa Bunge kabisa hapo sawa lkn litaonyeshwa lote jioni baada ya kazi, tatizo liko wapi hapo?
Acha uvivu wa kusoma wewe kizazi cha nape,umeambiwa ni saa 4-5 kwa maana ya lisaa 1,wewe unafahamu bunge linakaa masaa mangapi kwa siku?
 
Kuna jamaa aliahidiwa kupewa furusa....! na sasa yawezekana kaipata...!!!Live bila chenga kupitia bara hili.
 
Sijui kama wachangiaji hapo juu wanajua maana ya live na recoded with edit tofauti zake katika kuhabarisha.
Halafu hilo swala la kazi jee ni TZ pekee yenye kazi SAA hizo za bunge?
Mbona hata mabunge kama Uingereza yanaonyeshwa?
 
Back
Top Bottom