one nronga
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 414
- 163
Hivi nape ni waziri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu saidia Tanzania. Huyu ni aina ya msomi wetuMimi naona ni maamuzi ya busara sana tena sana maana kuna watu hakuna jambo la msingi lakini linaoneshwa live hivyo pesa inatumika bure tuu!
Pia kuonesha bunge live kulikuwa kuna changia vurugu bungeni maana kuna watu wanaligeuza bunge kama sehemu ya kujipatia umaarufu na wengine wanaona ndio sehemu ya kufanyia uhuni!
Sioni sababu ya msingi ya kuonesha bunge live ikiwa kuna kipindi jioni cha bungeni leo!
Mimi napendekeza hata TV binafsi zipigwe marufuku kuonesha bunge live na wafate maelekezo ya TBC na wawe wanachukua kupitia TBC!
Najua hili ni pigo kwa UKAWA kwani wamezoea kufanya vurugu wakijua wanaonekana live.....
Kwani unadhani wananchi wanapenda vurugu?Mimi naona ni maamuzi ya busara sana tena sana maana kuna watu hakuna jambo la msingi lakini linaoneshwa live hivyo pesa inatumika bure tuu!
Pia kuonesha bunge live kulikuwa kuna changia vurugu bungeni maana kuna watu wanaligeuza bunge kama sehemu ya kujipatia umaarufu na wengine wanaona ndio sehemu ya kufanyia uhuni!
Sioni sababu ya msingi ya kuonesha bunge live ikiwa kuna kipindi jioni cha bungeni leo!
Mimi napendekeza hata TV binafsi zipigwe marufuku kuonesha bunge live na wafate maelekezo ya TBC na wawe wanachukua kupitia TBC!
Najua hili ni pigo kwa UKAWA kwani wamezoea kufanya vurugu wakijua wanaonekana live.....
Wewe ni bendera inayofuata upepo, kazi yako ni kuunga mkono kila jambo la CCM, liwe jema au baya haijalishi!
Serikali imechukuwa uamuzi sahihi kabisa, ilikuwa inafikia wakati unakwenda ofisini kupata huduma wafanyakazi wamekodoa kwenye luninga wanaangalia Bunge, Nasema SAFI SANA NAPE!
Je,Unadhani ni haki kwa serekali kukatiza matangazo ya moja kwa moja kwa shughuli za bunge?
Tutoe maoni yetu hapa serekali itayaona na kuyafanyia kazi.
Karibuni!