Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
......katika comment zooote za mwaka huuu hii nimecheka mnoU
Aisee inakera Sana,,, mungu anagetuondolea hawa ccm Siku moja,,maana yeye ndo kawaweka, sisi tulisha wakataa katika sanduku la kura
Mimi naona ni maamuzi ya busara sana tena sana maana kuna watu hakuna jambo la msingi lakini linaoneshwa live hivyo pesa inatumika bure tuu!
Pia kuonesha bunge live kulikuwa kuna changia vurugu bungeni maana kuna watu wanaligeuza bunge kama sehemu ya kujipatia umaarufu na wengine wanaona ndio sehemu ya kufanyia uhuni!
Sioni sababu ya msingi ya kuonesha bunge live ikiwa kuna kipindi jioni cha bungeni leo!
Mimi napendekeza hata TV binafsi zipigwe marufuku kuonesha bunge live na wafate maelekezo ya TBC na wawe wanachukua kupitia TBC!
Najua hili ni pigo kwa UKAWA kwani wamezoea kufanya vurugu wakijua wanaonekana live.....
Kenya wanarusha even uganda na rwandaKwa nchi za jirani hali huwa inakuwaje, wanarusha live au kurecord
Tutamkumbuka Vasco Da Gama mara 100.Baada ya wabunge kuanza bunge, udhaifu wa serikali ya Magufuli umeanza kuonekana.
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na
Michezo, Nape Moses Nnauye, amesema
Televisheni ya Taifa imeacha kurusha LIVE
kipindi cha Bunge kuanzia jana ili kubana
matumizi. Na itakuwa ikirekodi baadhi ya
matukio na kuonyesha usiku.
Kama mtanzania, unadhani unatendewa
haki?
Hakuna Bora ndani ya CCM,
Huu upuuzi unaofanywa sasa na Magufuli usikufanye umuone Kikwete ni mzuri.
Kikwete is the Gross of the Gross.
Na bado huu ni Mwanzo tu.
Kama ni hivyo basi hata kula na kujisaidia ipigwe marufuku kwa sababu inafika wakati unaenda ofisini unaambiwa muhusika ameenda kula au kujisaidia. Sisi hatuna haja ya kuangalia, tunataka kusikia. Jee redio itakuwa wazi? Editing ya saa moja wakati bunge linaendelea kwa masaa 10, umeiona wapi hiyo? Watarusha nini na kuwacha nini? Ni mbinu ya kuzuwia wananchi wasione na kusikia michango ya wapinzani tu. Bilioni 4 ni makusanyo ya TRA ya masaa 2 na nusu tu. Kama TBC haiwezi basi muwape right hiyo TV inayoweza kurusha live. Kuna opportunities za matangazo ya biashara yanayoweza kuzidi mara mbili ya gharama kama hiyo nafasi itatumiwa ipasavyo
Serikali imechukuwa uamuzi sahihi kabisa, ilikuwa inafikia wakati unakwenda ofisini kupata huduma wafanyakazi wamekodoa kwenye luninga wanaangalia Bunge, Nasema SAFI SANA NAPE!
Zile bilions za NIDA, bandari zifanye nn? shirikisha ubongo wako weweSafi kabisa. Hizo pesa zipelekwe kwa watoto wetu wanaokaa chini na wamama wanajifungulia njiani kwa kukosa huduma za dispensary au ambulance za kutosha. Pia zingine ziongezwe kwenye changamoto ya elimu na maji.
Queen Esther
BR. UMECHEMSHA KUONYESHA BUNGE SI KWA AJILI YA UKAWA NI KWA AJILI YA SIE MAKABWELA NA SIO SEHEMU KUONYESHA UMAARUFU KAMA HUJUI KUCHANGIA HOJA UTALAZIMISHA KUONEKANA,Mimi naona ni maamuzi ya busara sana tena sana maana kuna watu hakuna jambo la msingi lakini linaoneshwa live hivyo pesa inatumika bure tuu!
Pia kuonesha bunge live kulikuwa kuna changia vurugu bungeni maana kuna watu wanaligeuza bunge kama sehemu ya kujipatia umaarufu na wengine wanaona ndio sehemu ya kufanyia uhuni!
Sioni sababu ya msingi ya kuonesha bunge live ikiwa kuna kipindi jioni cha bungeni leo!
Mimi napendekeza hata TV binafsi zipigwe marufuku kuonesha bunge live na wafate maelekezo ya TBC na wawe wanachukua kupitia TBC!
Najua hili ni pigo kwa UKAWA kwani wamezoea kufanya vurugu wakijua wanaonekana live.....
Tunaomba na mishahara ya hao mawaziri ifutwe ili tuendelee kufanya matumizi vizuriWaziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na
Michezo, Nape Moses Nnauye, amesema
Televisheni ya Taifa imeacha kurusha LIVE
kipindi cha Bunge kuanzia jana ili kubana
matumizi. Na itakuwa ikirekodi baadhi ya
matukio na kuonyesha usiku.
Kama mtanzania, unadhani unatendewa
haki?
Zile bilions za NIDA, bandari zifanye nn? shirikisha ubongo wako wewe
Tunaomba na mishahara ya hao mawaziri ifutwe ili tuendelee kufanya matumizi vizuri
Ha ha ha! Jk alisema watanzania tutamkumbuka, je alimaanisha nini hapa?
Ungekua unakijua ulichokiandika ungefahamu tu kua sio kila anaemiliki TV na anataka kuangalia bunge Live Mchana ni muajiriwa!!Ninakijua sana kwamba watu wafanye kazi na waache uvivu kwa kuanglia luninga muda ambao walipaswa wafanye uzalishaji na kuongeza kipato chao na cha nchi kwa ujumla!
SAFI SANA W. NAPE!