TBT: Foleni ya kwenda kwa Babu wa Loliondo

now ni mwamposa akitoka mwamposa anayefuta ni mimi kuwaambisha.
 


Good analytical -watu Kama nyie mpo wachache Sana hapa Tanzania
 
Haina Haina tofauti na foleni ya kwa Mwamposa
 
Wachokonozi wanasema watu wenye umri wa miaka 48 na kuendelea ni watu wapumbavu kuwahi kutokea kwenye nchi ya Tanzania.Hao walioenda hapo Samunge kulishwa magome ya miti umri wao ndo huo.
Kuna nyakati binadamu anakosa namna ya kutatua tatizo lake kabisa na kinachobaki ni faith, Sasa ukishategemea Faith ujue hakuna kutumia Logic huko.

Hapa ndo unaweza wekewa upupu kwenye makalio ukiambiwa kadri unavyowashwa ndivyo wadudu wa kansa wanavyokufa.
 
wengi washakufa kwani walikuwa wanaumwa, kama ulikua huumwi huwezi kwenda kule kunywa maji ya mng'ongo pori kwa madai kwamba unatibu ukimwi.
 
Hii nchi bhana ...
 
Hii ilidhihirisha kuwa watanzania ni wajinga.ukiwaambia hata mkia wa fisi unatibu magonjwa yote ukiula wataamini Hivyo.

Hili tukio lilitia aibu sana nchi yetu na kutupa sifa ya kuwa nchi ya wajinga wengi na inayoamini ushirikina zaidi duniani. Cha kushangaza mawaziri na viongozi wote almost walienda.. sasa elewa level hiyo ya ujinga, halafu tathmini kama viongozi hao wana uwezo wa kuleta, kushawishi, kuchochea maendeleo yoyote nchi hii.
 
Mzee alikufa bila kutaja formula
Hakuna formula yoyote man, mti wa Moringa ni jamii ya miti dawa inayojulikana kimataifa, ipo kwenye kundi moja na akina aloe vera,mlonge, na mwenzake muarobaini, miti yote hii inatambulika kuwa ni tiba kwa magonjwa mbalimbali ya binaadamu na wanyama na pia ndege, issu iliyokuwepo pale loliondo ilikuwa ni ku exagerate ubora wa tiba hiyo, na kuufanya mti wa moringa kuwa unique kuliko miti hiyo mingine, hata wewe ukiweza kuutangaza muarobaini kwa namna ile utapiga hela vizuri tu.
 
This old man will go down as the most creative ๐Ÿ˜Š yaani alifanya biashara zikaboom ghafla sio watu masikini au matajir.
 
Halafu alipiga timing kali kweli,kipindi kile ARV's zilikuwa za kutafuta kwa tochi,kwahiyo wengi wa waliokwenda walikuwa tayari wameumia ...
 
Good analytical -watu Kama nyie mpo wachache Sana hapa Tanzania
Amechambua vizuri sana,lakini mi nakumbuka issue ya ma Dr ilimalizwa na Dr Ulimboka, ndiyo ikaibuka issue ya CDM walikuja na kitu kinaitwa Operation Kimbunga mkoa kwa mkoa, ndiyo sasa wazee wa kazi wakaja na CD ya Babu wa Loliyondo, na kweli wachezaji wote wakahama kutoka maandalizi ya Operation Kimbunga kwenda kwa Babu! Na Operation Kimbunga ikajifia yenyewe!! Enzi ya Jakaya hiyo!!
 
Wachokonozi wanasema watu wenye umri wa miaka 48 na kuendelea ni watu wapumbavu kuwahi kutokea kwenye nchi ya Tanzania.Hao walioenda hapo Samunge kulishwa magome ya miti umri wao ndo huo.
ERoni Babe una umri gani?
 
Ujinga umewaondoka lini? Sasa hivi wanajazana kwa mwamposa.
 
Hats off to the late master Ambilikile Mwasapile. Mass hypnosis is real and currently extending relentlessly to an ever growing majority of Tanzanians. Itโ€™s even become a vital political tool.

Religious and motivation gurus have taken over the mantle and are mercilessly hitting on those wretched, bewildered masses with neither hope nor faith in reality. ๐Ÿ˜•
 
Watanzania wapuuzi sana

Leo wanajaa kwa mitume kukanyaga mafutaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ