.... lakini hiyo article hapo juu imeonyesha baadhi ya Nchi duniani kutokana na upungufu wa pilots katika Nchi zao wameongeza umri huo hadi miaka 67 na Nchi nyingine ziko mbioni kuongeza umri huo.
Labda walidhani hicho walichosema sababu zisizoeleweka kitabaki siri tusikijue. Poor Makene!Jamaa wa chadema wanataka huruma kutoka kwa jamii hawajui kwamba taasisi zinaendeshwa kwa kufuata taratibu zilizopo kimaandishi.
Kichwa maji soma vizuri waliomba kibali cha msamaha wa kutumia rubani wa zaidi ya umri ulio wekwa kisheria na wamekataliwa kwakuwa ni kinyume cha sheria kutumia rubani mwenye umri wa zaidi ya 65 years!
Mnapaswa kuwaomba radhi Mamlaka ya anga muache kuropoka ropoka
Maandiko yanasema ficha upumbavu wako usiifiche hekima yako, hiyo sheria ipo na inatumika miaka yote kwa nini hamkuhoji? nani kawadanganya kwamba nyie ni special sana? sio nyie kila uchao mnalalamikia uvunjwaji wa sheria na vyombo, taasisi au watu kadhaa? wakifuata na kusimamia sheria pia ni kosa? hamjui hata mnataka nini, jiandaeni na 5% ya kura zote 28 October.
JPM anachana mikoa miwili kwa siku na anahutubia karibu kila kata, acheni uvivu, tembeeni barabarani muone kero za wananchi ili msijeropoka tena kwamba Magufuli anajenga miundombinu tu.
Huyo Makene ni mtu aliyeshindwa kazi muda mrefu sana. Yupo katika nafasi yake kwa kulindwa na waajiri wake sio kwa uwezo wake.Labda walidhani hicho walichosema sababu zisizoeleweka kitabaki siri tusikijue. Poor Makene!
CCM wanakimbia majukwaa ya kampeni kujibu hoja za ushindani, sasa wanatumia "preemptive approach" ili kuzuia wapiga kura wasifunguliwe akili zao kuhusu uchakavu wa sera za CCM. Wanajaribu kuzuia mafuriko kwa mikono kitu ambacho kamwe hakiwezekani.
Kwa kadiri wanavyofanya hila kwa vyama vya upinzani, hasa kwa Rais Mtarajiwa Tundu Lissu, ndivyo ambavyo watu wengi wanajenga shahuku ya kutaka kuzisikia nondo zake. Huyu Tundu ni mfano hai kabisa wa madini ya thamani kubwa kutokana na ubora wa chama chake na uwezo wake mkubwa wa kujenga hoja awapo jukwaani.
Ukweli utabaki kuwa, uwepo wa mgombea wa CCM kisera na kihoja, ni sawa tu uwepo wa wingi wa madini ya chumvi ambayo bei yake sokoni ni ya chini mno, lkn mgombea wa CDM ni sawa na madini ya dhahabu, ambapo mchakato wake wa kuyapata na uchache wake huyapa thamani kubwa sana yawapo sokoni. Wana CCM ikumbukeni sana hii namba, yaani ushindi wa Lissu wa 65% kwa yenu ya 30%
Hesabu siku zote haziongopi. Baada ya kufanya kampeni kwa kilugha, sasa itawapasa kuva kaniki ili muonekane kuwa na nyinyi ni wanyonge kutokana na sera mnazozihubiri kwa watu wasiokuwa na uelewa wa kutosha wa mambo ya kisiasa.
Utaanza kunyongwa wewe kwanza!Kuna siku mtanyongwa! Kama siyo nyinyi ni watoto wenu!
Sharia haitaki sio tathimini unatathimini nini wakati sheria hairuhusu?Je, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?
Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
Hizo taasisi hazioni matumizi ya kisukuma kwenye kampeni?
Wanaoongea kiingereza vipi?Hizo taasisi hazioni matumizi ya kisukuma kwenye kampeni?
Ni vizuri watuambie pia siku zote ni nani aliyekuwa anaendesha hiyo helikopter???? Kama ni rubani huyohuyo imekuwaje wamzuie sasa???
Hiyo Helcopta angeomba baba mwenye nyumba alieyumba angepewa fasta sana!Safi sana waache upotoshaji
Mbona barua imeweka wazi kuwa rubani aliyekataliwa kibali ana zaidi ya 65!
Huko ni Japan na China sio TanzaniaJapanβs civil aviation authority raised the mandatory retirement age to 67 in 2015, and the Civil Aviation Administration of China, which currently sets the maximum retirement age at 60, is considering extending that age, too.
Kisukuma ni mojawapo ya lugha 120 za Tanzania. Ina haki kutumika.
Ingawa naona kama vile umeingiza mada katika uzi tofauti kabisa.
Marubani wanaoendesha ni wazee wa miaka 65?Kwa hiyo harmonize na diamond wanavibali vya kuzunguka na chopa watakavyo
Kiinglish wanafahamu wakina matonya tu, Wacha chichi tiliesomea ngumbaru tunyamaze. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeMbona barua imeweka wazi kuwa rubani aliyekataliwa kibali ana zaidi ya 65!
unaelewa lakini au ni ubishi tu, mnataka wabatilishe kanuni na taratibu zilizowekwa? madhara yakitokea mtarudi hapa na lugha nyingineJe, TCAA walifanya tathmini ipi ya huyo rubani wa zaidi ya miaka 65 kwamba atahatarisha usalama wa wasafiri?
Mara ya mwisho huyo rubani kurusha helicopter akiwa above 65 YO ilikuwa lini?
Uzee sana unaanzia miaka mingapi? Tuanzie hapo.