TCRA, BASATA zafungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz ft Zuchu - "Watasubiri Sana"

Hahahahahah
 
Waende msikitini
 
WAKRISTO SOMETIMES MNACHEKESHAGA SANA NA DOUBLE STANDARDS ZENU... VILE VITUKO VYA AKINA MASANJA NA ORIJINO COMEDY... NA YALE MAUNO YA NYIMBO ZENU ZA INJILI YAPO SAWA...? ILA HII YA DIAMOND INALETA UKAKASI...
Sasa mond ni mkristo?
 
Badala ya kutoa ushauri WA kuboresha Sanaa wao wapo busy kufungia kAzi za wasanii ili hao busata waonekane wapo kazini
 
Nasikia yule wa msalabani naye alikuwa hana demu maisha yake yote

Ila alikuwa anapakuliwa tope na wale wanafunzi wake 12
 
Uchokozi wa kiimani.

Ndugu usiende huko
 
Huyo si freemanosory. Kulikuwa hakuna haja ya kuanzia kanisani. Video ingeanza anapoongea na simu kisingeharibika kitu, labda kwa kuwa na ajenda ingine
 
Mwenye link ya hiyo video ailete hapa tuione.
 
We jamaa ni kibokoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila Diamond ni kama anapenda shindana na serikali, ipo siku watamkazia
 
WAKRISTO SOMETIMES MNACHEKESHAGA SANA NA DOUBLE STANDARDS ZENU... VILE VITUKO VYA AKINA MASANJA NA ORIJINO COMEDY... NA YALE MAUNO YA NYIMBO ZENU ZA INJILI YAPO SAWA...? ILA HII YA DIAMOND INALETA UKAKASI...
Kwa nini atumie maudhui ya Kanisani kwenye huo wimbo wake, badala ya Msikitini? Au huyo Zuchu na jamaa yake wamekuwa Wakristo siku hizi?

Ingetokea Msanii wa imani ya Kikristo akatengeneza maudhui ya wimbo wake kwenye Msikiti wenu, mngetulia tu kirahisi na hizo nongwa zenu? Si mngepiga kelele za "Takbir" na kutishia kufanya fujo!

Halafu huwezi ukatolea mifano ya akina Joti na Masanja kwenye jambo ambalo halina uhusiano! Wale wanaigiza nyimbo, na siyo kuleta masihara kwenye imani za watu wengine.


Hivyo wakati mwingine nendeni msikitini mkafanye huo upuuzi wenu, ila siyo kwenye makanisa yasiyo wahusu.
 
kwahiyo upuuzi ufanywe na wakristo... Wakifanya upuuzi ule ule waislam ni kosaa... Hahahah

Nimekubali hilo ndio kosa lake...
 
Wanahamisha mjadala ili tuendelee kuumia na bei mbaya ya mafuta[emoji36]
 
kwahiyo upuuzi ufanywe na wakristo... Wakifanya upuuzi ule ule waislam ni kosaa... Hahahah

Nimekubali hilo ndio kosa lake...
Inawezekana hujanielewa nilicho maanisha. Na ni jambo la kawaida kwa sisi binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…