TCRA, BASATA zafungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz ft Zuchu - "Watasubiri Sana"

TCRA, BASATA zafungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz ft Zuchu - "Watasubiri Sana"

MBONA PAPA HAKUUFUNGIA WIMBO WA SHAGGY UNAITWA REPENT? TENA ULE ASILIMIA KUBWA WAMESHUTI KANISANI NA PADRI AKIWA NA HERENI???
 
Hivi Yale si yalikua mazoezi ya kwaya?..wanauhakika Kama wana kwaya hua hawapokei simu au kutoka nje wakati wa mazoezi ya kwaya!!..kazi kweli kweli
Mbona sababu ya kipumbavu sana hii
 
Hivi Yale si yalikua mazoezi ya kwaya?..wanauhakika Kama wana kwaya hua hawapokei simu au kutoka nje wakati wa mazoezi ya kwaya!!..kazi kweli kweli
Acha utoto!.
 
Mamlaka ya wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeufungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz na Zuchu unaoitwa "Watasubiri Sana' baada ya kupata taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuwa wimbo na video hiyo inaleta ukakasi kwa waumini wa dini na dhehebu fulani.

Wimbo huo unafungiwa licha ya kuwa una mwezi mmoja tangu ulipowekwa YouTube, ukiwa umetamzwa zaidi ya mara milioni 10.2.

Imefungiwa bila kufutwa? Embu ingia You tube uone!

Wimbo inafungiwa huku bado unachezwa inamaanisha nini hii sasa?
 
Kituko kikuu ni cha kufikiri peponi kuna vigori 72 vya kugegeda.

Mudi alikuwa anapenda ngono sana, yani akaona awadanganye kabisa oooh mimi mtume wenu Mudi nimeambiwa na mnyazimungu tukifa basi kule peponi tutakuta mabikira 72 tutasugua sana mbususu, kwani hawa wa4 mnaowabandua tope huku earth hawawatoshi?
Unalipiza kisasi
Sasa chagua utolee maelezo (proof) hoja yako au ujibu hoja ya Mkuu hapo juu,
 
Nisamehewe!!!

But in short,imani uliyoitaja hapa msingi wake mkuu ni unafiki,nazini lakini kula nguruwe haramu,naiba ila kunywa pombe haramu,nasali lakini kutukana na kuita majina ya kuudhi asiyefanana na mimi siyo haramu.
Maneno ya kuudhi kama yapi ambayo tunawaita wengine
 
Kumbe wakristo nao humtetea Mungu wao nilidhani hujitetea mwenyewe.
 
Mamlaka ya wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeufungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz na Zuchu unaoitwa "Watasubiri Sana' baada ya kupata taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuwa wimbo na video hiyo inaleta ukakasi kwa waumini wa dini na dhehebu fulani.

Wimbo huo unafungiwa licha ya kuwa una mwezi mmoja tangu ulipowekwa YouTube, ukiwa umetamzwa zaidi ya mara milioni 10.2.

Diamond mwimbaji mzuri lakini hana akili na makuzi yake ni ya mtoto wa mitaani.
No morals whatsoever.
 
Nadhan hii inaleta shida sana maana wao co wakristo ,ila diamond kazidi jamani wamfungie hata choo, hallelujah lyrics kuku huyu hakusikia ,
 
Shida ni Udini Sasa…… Shida sio ile Script, Mshaanza Kuruhusu Udini Tanzania [emoji1241]. Mbona Wakristo wengi tuu wanaigiza na Kanzu? na Wanaigiza vitu vya Kiislamu?
Wavaa kanzu halisi walishakufaga,wasasa wengi wao wamesahau imani zao wanakula kitimoto kuliko wagalatia.
Bora mkae kimya coz kimsingi hamueleweki mko wapi.
 
Back
Top Bottom