TCRA: Kipindi cha Shule ya Uongozi cha Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji

Ccm hawapendi ukweli ndio ajifunze kua jambo la leo kesho linaweza kua kwako.

Wamfute na uanachama wampe kesi ya kuhujumu uchumi
Wakati jiwe akiwepo mbona waliimba taarabu wote wakawa wanaitikia, saivi wamekuwa kama mmoja anaimba reggae mwingine taarabu basi umo ndani kelele si kelele, fujo si fujo ilimradi mambo shagarabagara
 
Tatizo ni akili ndogo Kuongoza akili kubwa
 
Hili tatizo limetengenezwa na uongozi mbovu
Ambao polepole alikuwamo na alihusika kwa 100+%


Ktk kipindi chake niliwahi kusikia , kwa bahati mbaya lkn maana ktk hali ya kawaida siwezi kamwe kusikiliza kipindi cha huyo mchawi, akisema kuwa waziri mkuu hawezi kugombea uraisi (alidai ndiyo katiba inavyosema). Hapo nikajua kuwa kuna tatizo kubwa sana katika akili ya huyu kiumbe!!
 
Mbina aliyaanza yeye kwa baraka za komredi Mwendazake!
 
Safi Sana Hawa wapuuzi wakishirikiana na dikteta uchwara walitunga sheria na kanuni za kipuuzi wakifikiri wanakomoa wapinzani au vyombo vyenye mlengo wa kipinzani Sasa sheria za kipuuzi zinamkomoa yeye sio upinzani..
Akiendelea na upuuzi atapata kesi ya uhujumu uchumi na watamuachia baada ya kulipa milioni 300(magufuli type)
 

Sheria walizozitunga wao kina Polepole na chama chao cha CCM 'Mpya' kuudhibiti umma, sasa zimeanza kuwabana wao wenyewe.
 
walikuwa wapi kusema hayo wakati kipindi kimeendshwa kwa muda tu.hawa watakuwa na agenga yao ya siri dhidi ya hamphrey.siku zote ukisimama kwenye haki utachukiwa na kila mtu na ukiwa mnafiki utaungwa mkono na kila mtu.this is tz.kwa mtindo huu kuyafikia maendeleo ni kazi.watu hawataki kuwa challenged.hakuna maendeleo kama hakuna mawazo mbadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…