Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifutacho CCM…..Wamfute na uanachama wampe kesi ya kuhujumu uchumi
Hapana hizi sheria kali za maudhui ya mtandaoni/sheria ya huduma za habari na takwimu zilipitishwa kipindi polepole ni katibu NEC!!I might not agree with what you say.., but I will defend it to the death for your right to say it....
Haya mambo ya kuzibana midomo na kufungiana inabidi tuyakatae wote kwa pamoja..., leo anafungiwa adui yako, kesho utafungiwa wewe kwa mtaji uleule aliofungiwa adui
Wapige hadi damu zimtoke puani
Mkuu huu sio USTAARABU.Polepole amet*mbw* bila cond*m na wauaji wenzake!
Ungekuwa umemaikiliza vzr Wala usingepata shida na alifafanua, itafute kwenye shule ya uongozi utaona ufafanuzi, usimsikilize ukiwa na chuki nae huwezi kumweelewaAmbao polepole alikuwamo na alihusika kwa 100+%
Ktk kipindi chake niliwahi kusikia , kwa bahati mbaya lkn maana ktk hali ya kawaida siwezi kamwe kusikiliza kipindi cha huyo mchawi, akisema kuwa waziri mkuu hawezi kugombea uraisi (alidai ndiyo katiba inavyosema). Hapo nikajua kuwa kuna tatizo kubwa sana katika akili ya huyu kiumbe!!
Big up TCRA, huu sasa ni mwanzo mzuri wa kuelekea kwenye professionalism ya utangazaji, sio kila Tom, Dick and Harry, anaweza kuwa mtangazaji hata wa online TV, utangazaji ufanywe na watu wenye taaluma pekee.Kipindi cha Shule ya Uongozi cha Humphrey Polepole TV kusimamishwa kwa muda mpaka pale atakapofanya yafuaatayo. Kuwa na wafanyakazi wenye taaluma ya uandishi wa habari na utangazi na kuleta tija na ufanisi katika vipindi vyake.
Kwa hakika ushapata mwanafunziBig up TCRA, huu sasa ni mwanzo mzuri wa kuelekea kwenye professionalism ya utangazaji, sio kila Tom, Dick and Harry, anaweza kuwa mtangazaji hata wa online TV, utangazaji ufanywe na watu wenye taaluma pekee.
Najipanga kufungua shule ya Utangazaji wa Redio na TV, naamini tayari nitapata mwanafunzi wangu wa kwanza wa kuanzia, HP, karibu shule, karibu kwenye fani!.
NB. TCRA pia toeni muongozo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, ahakikishe, wakurugenzi wa habari na uenezi, wa vyama vyote vya siasa, lazima wawe wataaluma wa taaluma husika, na sio wabwabwajaji tuu. Haya mambo ya kupeana tuu vyeo kwasababu mtu anajua sana kubwabwaja, ndio yametufikisha hapa!.
P
Hlo kwa mtu yeyote alilitarajia, japo kikiboreshwa kidg tu kiandolewa mapungufu, kikawekwa kitaaluma kabisa, bado naamini kipindi nikizuri,Big up TCRA, huu sasa ni mwanzo mzuri wa kuelekea kwenye professionalism ya utangazaji, sio kila Tom, Dick and Harry, anaweza kuwa mtangazaji hata wa online TV, utangazaji ufanywe na watu wenye taaluma pekee.
Najipanga kufungua shule ya Utangazaji wa Redio na TV, naamini tayari nitapata mwanafunzi wangu wa kwanza wa kuanzia, HP, karibu shule, karibu kwenye fani!.
NB. TCRA pia toeni muongozo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, ahakikishe, wakurugenzi wa habari na uenezi, wa vyama vyote vya siasa, lazima wawe wataaluma wa taaluma husika, na sio wabwabwajaji tuu. Haya mambo ya kupeana tuu vyeo kwasababu mtu anajua sana kubwabwaja, ndio yametufikisha hapa!.
P
Akiwemo Kiroboto enzi hizooo [emoji12][emoji12]Hili tatizo limetengenezwa na uongozi mbovu
Polepole ni insignificant katika maslahi ya nchi ni sawasawa wewe unachoma nyumba yako ili kuua kunguni waliomo ndani na unafurahia bila ku-consider hasara ya kupoteza nyumba....Hapana hizi sheria kali za maudhui ya mtandaoni/sheria ya huduma za habari na takwimu zilipitishwa kipindi polepole ni katibu NEC!!
Je hakujua hizo sheria ni kandamizi kiasi aje kulia lia sahivi? Kipindi anazuia blog zenye mawazo kinzani zisi operate alikua hajui umuhimu wa uhuru wa maoni?
Cha kuchekesha hyu polepole anaweza gombea Urais 2025 kupitia ACT alafu ataanza kulia lia tume huru ilihali alipokua na cheo CCM hakukumbuka umuhimuwa tume huru!!
Fundisho ni kuwa ukipata cheo andaa mazingira mazuri ya kesho yako kwa kutovunja madaraja yote uliyovuka kufikia hapo ulipo; otherwise ukipoteza cheo utashindwa kusimama tena maana atakayerithi kiti chako atatumia sheria hizo hizo mpya kukunyoosha
Akili zao zinafanana naoKwa hiyo tcra ni chadema?
Nilimkubali sana wakati wa mchakato wa Katiba Mpya uliowekwa kabatini. Baada ya hapo simwamini tena kwa aliyoyasema na kuyaamini baada ya kupewa madaraka makubwa na anayosema na kuyaamini sasa baada ya kutenguliwa. Kwangu amejionesha kuwa na sura tatu zisizofanana; sura ya wakati wa mchakato wa Katiba Mpya, sura ya ukatibu Mwenezi na sura ya ubunge wa kuteuliwa. Nipo njiapanda kumtambu kati ya hao watatu ni yupi alie yeye aliye halisi.walikuwa wapi kusema hayo wakati kipindi kimeendshwa kwa muda tu.hawa watakuwa na agenga yao ya siri dhidi ya hamphrey.siku zote ukisimama kwenye haki utachukiwa na kila mtu na ukiwa mnafiki utaungwa mkono na kila mtu.this is tz.kwa mtindo huu kuyafikia maendeleo ni kazi.watu hawataki kuwa challenged.hakuna maendeleo kama hakuna mawazo mbadala.