Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa shida kidogo sio kama itakavyokuwa mbeleniHata sasa hivi ukifanya kimeo hawakukamati?
Tunaiga wavimba macho kule ukipost chochote ambacho serikali haikipendi hakiendi hewaniYaani wanataka ikiwezekana wajue kila Mtanzania anaongea nini daah!!
Ukichunguza kuna ile pin2 huwa hatuitumii.PIN na PUK zipo tangu mwaka 1996 kwenye SIM card yako.
Huu ni ushamba tu.
Hamna kitu hapoAmna ktu apo
Hiyo hutoweza ku disable ila waweza kubadilisha. Na tayari line mpya tokea mwishoni mwa 2020 zina huo utaratibu.Wakulungwa hii ina tofauti gani na Sim Pin Code?! Au hii hutokuwa na uwezo wa kuidisable?!
Tunajidanganya, kina jambo limejificha hapo. Kwa nchi ambayo unataka kujua hata ya chumbani ya raia, ni muda, tuwe na subira.Hata sasaivi kuna line ukinunua zinakuwa na PIN activated na huwezi iweka off labda kubadili, mimi yangu ya airtel ipo hivyo na nimeona hata nyingine za halotel PIN iko activated. Hata hivyo hiyo ni nzuri kama ukipoteza simu mtu hawezi itumia kwa uhalifu or utapeli.
Very likely, time will tell.hapo wanasakwa wakosoaji wa jiwe tuu
Unapopewa ATM card mpya unaambiwa ubadilishe password uweke ya kwako. Pia huwa unasmell fish?Ndugu Mteja, laini zote za simu zitakazotolewa kuanzia Julai 1 zitakuwa na Neno la siri ambalo Mteja atatakiwa kulibadili ili kutumia laini mpya yenye usalama.
I smell a fish juu ya laini hizi. Nitahakikisha sipotezi laini ilikuepuka kurenew laini nakuingia huku.
--
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imesema ifikapo Julai mosi, laini zote zitakazotolewa zitakuwa na neno la siri ambalo mteja atatakiwa kulibadilisha ili kutumia laini mpya yenye usalama.
Kwa mujibu wa ujumbe uliosambazwa jana kwenye simu za wateja mbalimbali ambao ulithibitishwa na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa TCRA, Semu Mwakyanjala, utaratibu huo utalinda wateja.
Alisema utaratibu huo una lengo la kuwalinda wananchi kwenye matumizi ya mawasiliano.
“Laini inapopotea ikachukuliwa na mwingine anaitumia vibaya lakini kwa kuwa na neno la siri, itamlinda mtumiaji na kuondokana na utumiaji usio salama,”alisema.
Mwakyanjala alisema utaratibu huo ni kwa mujibu wa sheria ya Kielektroniki na Posta ya mwaka 2010 na kanuni zake za 2018.
“Tunataka matumizi bora ya mifumo ya simu si kwa ajili ya kuongea bali kama benki, hivyo usalama ni muhimu kwa ajili ya kuwalinda watumiaji, watu watumie simu kwa biashara na maendeleo kuliko kufanya uhalifu,”alisema.
Chanzo: IPP
Umeona eeh hata mimi nmehisi k
Una wasiwasi gani. Kwani unaplan kufanya uhalifu hapo baadae?Hiyo code inakuwa linked na TCRA kwahiyo ukifanya kimeo chochote hawahangaiki kukupata
Awa TCRA ata siwaelewi majukumu yao,, Mitandao inatunyonya, network mbovu, wao kazi kufungia TV station tu...