TCRA mnaniharibia Kazi kuzima mitandao ya Kijamii. Mitambo ya Kiwanda inakufa

Ila kweli ni upeo mdogo sana kuwakomoa watanzania wote kwa sababu ya wahalifu wachache.
Washauri wao hawajielewi
 
wale ambao huwa hamumuani Kigogo naona akili imewakaa sawa sasa. aliandika sana kuhusu suala la kuzimwa mitandao na wapo waliombishia.
Nenda twitter huko Aibu tupu [emoji3] walifikir kigogo anaongea ngonjera
 
Ukiona mtu ana roho mbaya (hasa kiongozi) ujue huyo sio msukuma hata kama anaongea kisukuma huyo sio msukuma
Meko pia sio msukuma niamini bwashee
 
We kama mfanya biashara hukupata fununu kuwa kutakuwa na huu mkwamo? Mkapewa na mbinu mbadala. Sasa unalialia. Next time jiongeze
 
Google haifunguki mkuu
Kuna shida mahali, Kama wewe ni mtu wa siasa Kali na antimagufuli, nakushauri achana na hizo VPN..ridhika kwanza na hapa JF Hadi pale watakapo release

Nimeanza kusikia 'harufu ya kudukuliwa' watu hapa.
 
Attachments

  • 4A701028-E16B-4CAE-9EB7-A18608A8BF3E.jpeg
    126.6 KB · Views: 2
Kuna shida mahali, Kama wewe ni mtu wa siasa Kali na antimagufuli, nakushauri achana na hizo VPN..ridhika kwanza na hapa JF Hadi pale watakapo release

Nimeanza kusikia 'harufu ya kudukuliwa' watu hapa.
Ni kweli mkuu teknoji zinashindana Cha msingi ukigundua tu kudukuliwa restart simu, na utajuaje Kuna neno lolote utaletewa na vpn ukichelewa funguo ikipotea kwenye screen ujue umeanza kuonekana ulipo, restart Rudi hewani wataanza upya ukiona tena restart Sasa watashinda na wewe[emoji23]
 
kama ni VPN simu yangu ilireject toka Jana.

labda kama kuna mpya

nenda kwenye settings ya vpn yako then itatuma e-mail yeyenyewe Tanzania problem then itaji connect
 
nenda kwenye settings ya vpn yako then itatuma e-mail yeyenyewe Tanzania problem then itaji connect
simu yangu haipokei VPN au app yoyote inayohusiana na google
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…