Kwa kosa gani hasa? Hata ukifuta rekodi zipo mbonaWe ifute tu mkuu. Au uwe tayari kulipa fine tajwa.
🤭Thubutu yaani niache kutumia vpn halafu x ntaangalia na nini
Wapuuzi sana hao Washenzi,yaani tusitumie VPN kisa?Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imewataka wananchi na makampuni kiujumla ambazo kwa asili ya kazi zao hawawezi kuepuka matumizi ya VPN kutoa taarifa juu ya VPN wanazotumia na taarifa muhimu kabla ya Oktoba 30 mwaka huu.
Aidha mamlaka hiyo imesema iwapo itabainika umetumia VPN kinyume na kanuni zilizowekwa basi adhabu itakayotolewa kwa kosa hilo ni faini ya shillingi milioni tano, au kifungo cha mwaka au vyote kwa pamoja.
View attachment 2781209
Hivi kumbe x zinadanlodiwa kupitia VPN tu? Basi mimi simo dunianiThubutu yaani niache kutumia vpn halafu x ntaangalia na nini