Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchongo wa nape huo ndo anajitahidi kila mara bos wake asipigwe mBadala ya kushughulikia upatikanaji wa umeme busy na vitu visivyokuwa na kuchwa wala miguu kisa Mange
Amka ww unayemtaja ameshaafariki mika 3 iliyopita ,anayeungoza nchi ni mwanamke ,ww bado unamuota mwenda zakeSheria za kishenzi zilizotungwa enzi za mwendakuzimu zitatutesa sana.
Ukiona hivyo ujue Kuna kitu kinaandaliwa Maana Walifungia Clubhouse Wajanja wakatumia VPN na Kama kawaida vitu vikaendelea,Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imewataka wananchi na makampuni kiujumla ambazo kwa asili ya kazi zao hawawezi kuepuka matumizi ya VPN kutoa taarifa juu ya VPN wanazotumia na taarifa muhimu kabla ya Oktoba 30 mwaka huu.
Aidha mamlaka hiyo imesema iwapo itabainika umetumia VPN kinyume na kanuni zilizowekwa basi adhabu itakayotolewa kwa kosa hilo ni faini ya shillingi milioni tano, au kifungo cha mwaka au vyote kwa pamoja.
View attachment 2781209
Unawezaje kuwasha VPN bila data?Binafsi situmii VPN kwa ajiri ya site zinazokatazwa... mimi na tumia coz sina bandle yaan free of charge
Binafsi situmii VPN kwa ajiri ya site zinazokatazwa... mimi na tumia coz sina bandle yaan free of charge
Sheria za kishenzi zilizotungwa enzi za mwendakuzimu zitatutesa sana.
Torrent siyo kosa wataenda kupakua kwenye torrent sites.Haya kataa ndoa, wazee wa kujidunga hatimaye mmefikiwaaa🤣🤣🤣 Kifungo au faini🤣🤣🤣🤣🥟
baadhi ya website pendwa (na watanzania wengi) huwezi kuzi access bila vpn mzee uko duniya gani weeHivi kumbe x zinadanlodiwa kupitia VPN tu? Basi mimi simo duniani
Nazipataje?Twitter mbona mzigo upo hazarani yani oya oya bila kisimbusi
Hapa tupo wengi sijui itakuwajeBinafsi situmii VPN kwa ajiri ya site zinazokatazwa... mimi na tumia coz sina bandle yaan free of charge
Watu Wa Dar mna maswali ya kimbwembwe sana!!Wkt unaingia mjini daslam stand uliikuta ubungo au mnazi mmoja?
Watumieni watalaamu wa it kuzizua hizo vpn ama kuwafungia juu kwa juu na sio vitisho kuwafunga, watu washindane ki mbinu hii dunia ya ujuzi saivi. Kama wamewekwa wawapishe vijana wakae hapo. Africans we've a long journey to travelMamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imewataka wananchi na makampuni kiujumla ambazo kwa asili ya kazi zao hawawezi kuepuka matumizi ya VPN kutoa taarifa juu ya VPN wanazotumia na taarifa muhimu kabla ya Oktoba 30 mwaka huu.
Aidha mamlaka hiyo imesema iwapo itabainika umetumia VPN kinyume na kanuni zilizowekwa basi adhabu itakayotolewa kwa kosa hilo ni faini ya shillingi milioni tano, au kifungo cha mwaka au vyote kwa pamoja.
View attachment 2781209
Kisutu.Wkt unaingia mjini daslam stand uliikuta ubungo au mnazi mmoja?